ATCL yatolea ufafanuzi kuhusu simtofahamu ya msanii Diamond Platnumz

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Uongozi wa shirika letu pendwa siku ya leo wataongea na waandishi wa habari kuhusu yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu hujuma zinazofanywa na baadhi ya watumishi kuruhusu uuzwaji wa ticket moja mara mbili.
Ni mashirika machache sana yanayoweza kutolea ufafanuzi mambo mazito yanayaanzia mitandaoni,kweli hii ni ATCL mpya
66e6bdf0-5282-4176-9784-744112298e18.jpg

--------------
Dun03raX4AACJdS.jpeg
 
Hii ishu sio ya ATCL. Ni ya Airport ya Mwanza. Niliwahi kufika pale dk 40 kabla ndege kuondoka, ikabidi nitoe rushwa ya elfu 10 ili niruhusiwe kuingia. Hii ilikuwa mwaka 2014.
Huu ni mchezo wa muda mrefu.
Mamlaka ya viwanja vya ndege inabidi imuondoe bosi wa uwanja wa Mwanza, atupwe airport ya Singida huko kwa kushindwa kudhibiti uozo huu.
Narudia tena. Wenye makosa wanaweza wasiwe ATCL bali mamlaka ya uwanja wa Mza.
 
Siku zote wanawake ni mama wa nyumban ...kazi zingine tumelazimisha tuu..hawawezi
 
Uongozi wa shirika letu pendwa siku ya leo wataongea na waandishi wa habari kuhusu yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu hujuma zinazofanywa na baadhi ya watumishi kuruhusu uuzwaji wa ticket moja mara mbili.
Ni mashirika machache sana yanayoweza kutolea ufafanuzi mambo mazito yanayaanzia mitandaoni,kweli hii ni ATCL mpya
View attachment 970349
Nyoko kweli, yaani utajibu mangapi ya mtandaoni? Utaitisha media mara ngapi? Are serious kweli??
 
vile vijamaa vya airport Mwanza vina njaa hatari.
 
Hii ishu sio ya ATCL. Ni ya Airport ya Mwanza. Niliwahi kufika pale dk 40 kabla ndege kuondoka, ikabidi nitoe rushwa ya elfu 10 ili niruhusiwe kuingia. Hii ilikuwa mwaka 2014.
Huu ni mchezo wa muda mrefu.
Mamlaka ya viwanja vya ndege inabidi imuondoe bosi wa uwanja wa Mwanza,atupwe airport ya Singida huko, kwa kushindwa kudhibiti uozo huu.
Narudia tena. Wenye makosa wanaweza wasiwe ATCL bali mamlaka ya uwanja wa Mza.
Hapo kwenye red,Kwani huko Singida ndipo wanapohitajika watu walioshindwa kudhibiti uozo sehemu zingine?!
 
Alichokisema ni kweli tupu. Na huo ujinga ATCL wanaufanya sana.
ah ah sasa mzee mwenye nyumba kafukuza mangi kwe nyumba yake halafu kamweka mwanae afungue duka bila uwezi kisa yule mchaga anapata sana faida unategemea nn...tutakuja umia sana kwenye swala la fast jet kuibania na kuamini ATC itaweza bila kuipa mfumo ..ndege mpya watumishi walewale
 
ATCL ni uozo mtupu, ngoja nitulie niwasikilize wapanda ndege
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii ishu sio ya ATCL. Ni ya Airport ya Mwanza. Niliwahi kufika pale dk 40 kabla ndege kuondoka, ikabidi nitoe rushwa ya elfu 10 ili niruhusiwe kuingia. Hii ilikuwa mwaka 2014.
Huu ni mchezo wa muda mrefu.
Mamlaka ya viwanja vya ndege inabidi imuondoe bosi wa uwanja wa Mwanza, atupwe airport ya Singida huko kwa kushindwa kudhibiti uozo huu.
Narudia tena. Wenye makosa wanaweza wasiwe ATCL bali mamlaka ya uwanja wa Mza.
Kumbe mpaka sasa bado WaTz wenye mawazo ya kumpeleka sehemu nyingine Mfanyakazi aliyeboronga bado mpo.
 
Back
Top Bottom