ATCL yatolea ufafanuzi kuhusu simtofahamu ya msanii Diamond Platnumz

Napita tu
Vizuri,yanapotokea matukio kama haya ni kutulia kusikia upande wa pili na siyo upande mmoja useme,urekodi kisha urushe.unakumbuka yule dada aliyesema kaibiwa dar airport kuangalia cctv haionekani.ila mwisho diamond anatakiwa kuwa managed na watu makini zaidi kwa levo alofika.maneno yake ukiyasikiliza yana arrogance.
 
Droo kamili:

Manchester United v PSG

Schalke v Manchester City

Atletico Madrid v Juventus

Tottenham v Borussia Dortmund

Lyon v Barcelona

Roma v Porto

Ajax v Real Madrid

Liverpool v Bayern Munich

Mechi za kwanza zitachezwa 12-13 na 19-20 Februari, na mechi za marudiano 5-6 na 12-13 Machi, 2019.
 
ni vyema kuhakikisha kuwa kila hujuma haitafanikiwa.
 
Vizuri,yanapotokea matukio kama haya ni kutulia kusikia upande wa pili na siyo upande mmoja useme,urekodi kisha urushe.unakumbuka yule dada aliyesema kaibiwa dar airport kuangalia cctv haionekani.ila mwisho diamond anatakiwa kuwa managed na watu makini zaidi kwa levo alofika.maneno yake ukiyasikiliza yana arrogance.
Anamchukua mtu video bila ruhusa yake Ilee ni kesi ya kujibuu...!! Na kuna viongozi wanakaa wanafurahia ule upuuzi kisa tu ni diamond kafanyaa...non sense kabisa Diamond kaikalia Basata...Kaona haitoshi anataka kuikalia Tz kabisa...
 
Hii ishu sio ya ATCL. Ni ya Airport ya Mwanza. Niliwahi kufika pale dk 40 kabla ndege kuondoka, ikabidi nitoe rushwa ya elfu 10 ili niruhusiwe kuingia. Hii ilikuwa mwaka 2014.
Huu ni mchezo wa muda mrefu.
Mamlaka ya viwanja vya ndege inabidi imuondoe bosi wa uwanja wa Mwanza, atupwe airport ya Singida huko kwa kushindwa kudhibiti uozo huu.
Narudia tena. Wenye makosa wanaweza wasiwe ATCL bali mamlaka ya uwanja wa Mza.
Kwa hiyo boss ndo anachukua rushwa?
 
dah mzee huna huruma kabisa,airport ya Singida?
 
Maneno ya Diamond mwenyewe
"
  • Naomba nisisitize kuwa Siku ya jana tareh 16 | 12 Mimi Nasibu Abdul Juma Issaack, na nilokuwa Nasafiri nao Tokea Mwanza Sikuchelewa ndege Kabisa..Nilifika Muda Sawia kama Usafiri wa ndege za ndani unavyotaka, na kulidhihirisha hilo.. nikiwa niko pale kuna hata Abiria wengine waliingia nusu saa baadae, tena nikiwepo nimesimama palepale... na mmoja ya watu waloingia nikiwepo nimesimama ni @Harmonize_tz ... kilichotokea ni kuwa Mmoja ya watu wenye dhamana pale, siti zetu aliziuza kwa abilia wa fastjet...kwa Abiria watalii wazungu, na Walichokuwa hawajajua pia waliwauzia na baadhi ya Watu ambao ni wafanyakazi wetu wa Wasafi Media...Na Kuthibitisha tena kuwa hatukuchelewa, alikuja tena Mtu wa Air Tanzania na Kutuambia kuwa Siti zimebaki Mbili...Hivyo Tuchague watu wawili tu wasafiri.... kama kweli tulichelewa, sasa Hao wawili, sasa wangewezaje ingia??? tukasema hatuwezi safiri wawili lazima tuwe wote kama tulivyokata... hivyo ni dhahiri kuwa hatukuchelewa....ila kutokana na Ndege nyingi za kuja mwanza zilicancel Trip zao, ikiwepo Fastjet hivyo Tickets zikawa ni Dili sana na ndio yote kutokea....
    USHAURI tu kwa Ndugu zetu walopewa dhamana ya Kuliendesha shirika letu la Air Tanzania....tutambue kuwa Mh Rais, Pamoja na Serikali nzima kwa Ujumla imepambana Usiku na Mchana, imeamua kujinyima na kujitoa kwa hali na mali ili kuhakikisha Watanzania nasi tunakuwa na Ndege zetu, kwa kuamini kuwa Licha tu ya kuingiza kipato, lakini Uwepo wa Air Tanzania ni Heshima na fahari kwenye nchi Yetu....Hivyo tunaomba Mzisimamie Vizuri....na nikiwa kama Mtanzania Mzalendo Mwenye akili Timamu, siwezi tu kukurupuka kusema jambo kwani ni jukumu langu kuhakikisha nalilinda shirika

    hili, nalitangaza na kuwasifia wanapopatia lakini pia ni jukumu langu kuwaambia Mnapokosea ili mfanye marekebisho na AirTanzania kuwa shirika bora Duniani na kuipa sifa Nchi yetu... hivyo nikiwa kama Mtanzania mwenye uchungu siwezi kuona mtu alopewa dhamana ya Kuzisimamia ndege hizo anafanya vitu tofauti halaf eti nikakaa kimya...Ni sawa na Kumvunja moyo Mh Raisi na Serikali nzima kwa juhudi zake hizi... hivyo Mlopewa Dhamana tunaomba Muwe Makini, na kusimamia vyema ili tusitie doa kwenye ndege zetu.."
    .

    Nasubiria kauli ya AirTanzania .

Ati Jiwe kajibana katununulia ndegee...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee
 
ATCL ni uozo mtupu, ngoja nitulie niwasikilize wapanda ndege
Wakitaka libadilike wapige chini ile cruu ya zamani yote waanze upya, na hili swala la mafao watu hawajuhi kuwa sasa unapigwa chini ma mafao hakuna!
 
Maneno ya Diamond mwenyewe
"
  • Naomba nisisitize kuwa Siku ya jana tareh 16 | 12 Mimi Nasibu Abdul Juma Issaack, na nilokuwa Nasafiri nao Tokea Mwanza Sikuchelewa ndege Kabisa..Nilifika Muda Sawia kama Usafiri wa ndege za ndani unavyotaka, na kulidhihirisha hilo.. nikiwa niko pale kuna hata Abiria wengine waliingia nusu saa baadae, tena nikiwepo nimesimama palepale... na mmoja ya watu waloingia nikiwepo nimesimama ni @Harmonize_tz ... kilichotokea ni kuwa Mmoja ya watu wenye dhamana pale, siti zetu aliziuza kwa abilia wa fastjet...kwa Abiria watalii wazungu, na Walichokuwa hawajajua pia waliwauzia na baadhi ya Watu ambao ni wafanyakazi wetu wa Wasafi Media...Na Kuthibitisha tena kuwa hatukuchelewa, alikuja tena Mtu wa Air Tanzania na Kutuambia kuwa Siti zimebaki Mbili...Hivyo Tuchague watu wawili tu wasafiri.... kama kweli tulichelewa, sasa Hao wawili, sasa wangewezaje ingia??? tukasema hatuwezi safiri wawili lazima tuwe wote kama tulivyokata... hivyo ni dhahiri kuwa hatukuchelewa....ila kutokana na Ndege nyingi za kuja mwanza zilicancel Trip zao, ikiwepo Fastjet hivyo Tickets zikawa ni Dili sana na ndio yote kutokea....
    USHAURI tu kwa Ndugu zetu walopewa dhamana ya Kuliendesha shirika letu la Air Tanzania....tutambue kuwa Mh Rais, Pamoja na Serikali nzima kwa Ujumla imepambana Usiku na Mchana, imeamua kujinyima na kujitoa kwa hali na mali ili kuhakikisha Watanzania nasi tunakuwa na Ndege zetu, kwa kuamini kuwa Licha tu ya kuingiza kipato, lakini Uwepo wa Air Tanzania ni Heshima na fahari kwenye nchi Yetu....Hivyo tunaomba Mzisimamie Vizuri....na nikiwa kama Mtanzania Mzalendo Mwenye akili Timamu, siwezi tu kukurupuka kusema jambo kwani ni jukumu langu kuhakikisha nalilinda shirika

    hili, nalitangaza na kuwasifia wanapopatia lakini pia ni jukumu langu kuwaambia Mnapokosea ili mfanye marekebisho na AirTanzania kuwa shirika bora Duniani na kuipa sifa Nchi yetu... hivyo nikiwa kama Mtanzania mwenye uchungu siwezi kuona mtu alopewa dhamana ya Kuzisimamia ndege hizo anafanya vitu tofauti halaf eti nikakaa kimya...Ni sawa na Kumvunja moyo Mh Raisi na Serikali nzima kwa juhudi zake hizi... hivyo Mlopewa Dhamana tunaomba Muwe Makini, na kusimamia vyema ili tusitie doa kwenye ndege zetu.."
    .

    Nasubiria kauli ya AirTanzania .

Naanza kuona matumizi yasiyo ya lazima ya shirika ...tume ya uchunguzi inaundwa kwenda kutafuta ukweli wa jambo hilo
 
Uongozi wa shirika letu pendwa siku ya leo wataongea na waandishi wa habari kuhusu yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu hujuma zinazofanywa na baadhi ya watumishi kuruhusu uuzwaji wa ticket moja mara mbili.
Ni mashirika machache sana yanayoweza kutolea ufafanuzi mambo mazito yanayaanzia mitandaoni,kweli hii ni ATCL mpya
View attachment 970349
Naona jamaa kaamua kujazia na hii
 
Back
Top Bottom