Athari mbaya za Bongo Movies kuwa na Vilaza wengi ndani ya jamii

Ila chadema Ni Kama mna bonge la kamasi kichwani badala ya ubongo
Bongo " mavi" ndio jina lao halisi ni wapumbavu flan na mataga wa ccm hivi chadema wakiwa na kamasi kichwa ccm na mwendazake watakuaje!?? Hebu tuwe serious
 
Nakuunga mkono kwa 100%
 
Nilikuwa na ndoto ya kuwa muigizaji na director nikiwa mdogo sana, kilichonikatisha ndoto zangu ni jinsi bongo movie ilivoshikiliwa na makahaba na mashoga, nilighairi kabisa, hata daftari langu la stori sijui liko wapi, Bongo movie umeiongelea kidogo sana ukiichimba vizuri itakutia kichefu kichefu.
 


Bado unanafasi Mkuu. Wewe ndio unaweza kuwa sehemu ya kuleta matokeo chanya kwenye Tasnia hiyo
 
Sasa wenda industry ilikuwa inakusubiri wewe ulete mabadiriko.
 
Ukiangalia bongo movie za kina Ray na wema sepetu unaweza kusema watu wa dasilamu wote Wana maisha mazuri na wanatembea na gari kali

Ndo maana hata vijana wengi wa mikoani wanakimbilia daslamu mwsho wa siku wanaharibikiwa zaid
Tanzania uigizaji ni wa kiwango cha chini mno mno. Kwanza wanaigiza vitu ambavyo hawana uwezo navyo. Wangejifunza sana kama wangekuwa wanajaribu kufuata nyao za watu kama akina Mzee Jongo na Jangala. Hawa walikuwa wanaigiza michezo ya redio na maigizo yao yali-base kwenye matukio yanayotokea kwenye jamii.
 
wacha wivu!! hao wenye bachelor degree wako wapi?? hayo ndo mavilazaaaaa!!! Mond ako juu!! ana mihela kuliko wanamuziki wenye bachelor wako hao!! hata kuwa Msanii tu!! kipaji chako kinakupa Masters degree! tatizo ni karatasi tu huna!

Kingine wanavijiji mna shida kubwa sana sana ya uelewa.....ku-act wakiwa na Magari makubwa. Majumba nk! ndo maana ya Neno usanii!......weye unataka wafanye km mnavo jadiliana na wanakijiji wenzako!!

wewe nawe ingia kwenye tasnia ufanye unavohisi ni sahihi!! hujakatazwa hutaki waache km walivo.... kwani lazima kutizama movie zao?? km inakuuma saana si ujikate kivyako tuuu?....ivo wanavyo act ndo vijana walivyo km kwenu kijijini wameanza 2000 kuvaa suruali basi walichelewa sana!

la mwisho ...jifunze kuheshimu kazi za watu wenzio!! labda km hujui film actors manake nini!
 

Ulipoambiwa usome uliona wazazi wako Wajinga ona sasa unavyodhalilika, sasa umeandika kitu gani hapa.

Rudi shule Kwanza ili uweze kujadili Kwa kutumia Akili.
 
Tatizo umeleta mjadala amaboa hauna weledi nao kiundani hili ndio tatizo kubwa sama la watanznia
 
Ulipoambiwa usome uliona wazazi wako Wajinga ona sasa unavyodhalilika, sasa umeandika kitu gani hapa.

Rudi shule Kwanza ili uweze kujadili Kwa kutumia Akili.
Acha wivu wa kike huo!! na roho mbaya za kiswahili hizo!...shule gani za UPE hizo ulizo soma weye ndo nikasome mie Thubutuu!!!!?? ndo maana uko hivo!! hizo shule za Bongo nazo shule??? kabisaaa zee zima unatamba niende darasa ya chini ya Mwembe?.....shule ambazo huajiliwi popote Duniani?? Pwiii!kwa hasira hizi wewe ni matokeo ya hii shule hapo pichani kabisaa wala hamjifichi.....umeshindwa kuwa km wasanii. sasa unalalama tu.

unadhani km umetokea mahali hapa utakuwa na ubongo mzuri kweli? unaona ya wengine tuuuu unaumia moyo!! fanya yako mazuri tuone!! ..........halafu nakushauri utoke humu Jf! siyo jukwa sahihi kwako.... jiuzuru tu! hufai!! ....!
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sasa unalia nini?
Mimi sio Baba yako, wewe shule Kama ulikimbia shule ukaenda kuigiza upuuzi subiri wataangalia wenzako ambao walikimbia umande.

Mtu asiyesoma kitu kizuri kwake ni aonekane kwenye LuningaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Tasnia ya filamu ya Bongo movie ni takataka kabisa huwezi angalia ujinga ujinga tu.

Ukitaka kustaajabu ya Bongo mavie angalia scene mfano za udaktari na character wake [emoji1787] mtu anajifanya daktari wakati huo ajui a,b,c Wala d kuhusu utabibu[emoji1787]

Elimu Elimu Elimu
 

Alafu watakuambia kipaji, kipaji au upuuzi,
Kuna Dani zinahitaji elimu ili kipaji kiwe Bora,
 
Kwahili povu itakua ushajaribu bongo movies ila mpaka leo unaelekea uzeeni haijakutoa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…