Ni kweli Bongo movie haijanitoa lkn siyo sababu ya mimi au wewe kuichukia!! tena huenda mie ndo ningeichukia kuliko weye!....pia jua kuwa sina sababu ya kutoka kimaisha kwa kuwa Baba yangu alishamaliza yooote kulicho bakia ni mie kula Bata tu!! bata na mimi!...nihangaikie nini?Kwahili povu itakua ushajaribu bongo movies ila mpaka leo unaelekea uzeeni haijakutoa.
#MaendeleoHayanaChama
Utapata wapi mtoto bomba km Mimi!! Hata utambike uchi kumbe mkuu unatamani uzae km mie??Mimi sio Baba yako,
Bora ukimbie mara mia zileee shule za UPE! sizo kabisa!! drs la saba atakufundisha nini?..wewe ulienda ndo maana unaziwaza!shule Kama ulikimbia shule ukaenda kuigiza upuuzi subiri wataangalia wenzako ambao walikimbia umande.
Yes! si ndo umaarufu wenyewe huo!! ....sasa weye unaonekana kwenye Danguro palee temeke wailles!! then unakufa na ukimwi ....elimu yako ya Upe kwisha nani zaidi!....kwa umaarufu?? hivi najibishana na mlevi au!...mkuu umelewa???Mtu asiyesoma kitu kizuri kwake ni aonekane kwenye Luningaπππ
Utapata wapi mtoto bomba km Mimi!! Hata utambike uchi kumbe mkuu unatamani uzae km mie??
Bora ukimbie mara mia zileee shule za UPE! sizo kabisa!! drs la saba atakufundisha nini?..wewe ulienda ndo maana unaziwaza!
Yes! si ndo umaarufu wenyewe huo!! ....sasa weye unaonekana kwenye Danguro palee temeke wailles!! then unakufa na ukimwi ....elimu yako ya Upe kwisha nani zaidi!....kwa umaarufu?? hivi najibishana na mlevi au!...mkuu umelewa???
Afadhali huyo/sisi tunavyo viwili!!......wivu utakuua! na bado!! sasa ndo tutaleta vikali zaidi na ma-vogue ya kufa mtu!....hutaki kuangalia weye!!!! mashabiki wetu mpaka nje ya nchi wapo tele Congo, zaire, kenya rwanda Brundi soko tunalo!! .....naamini ki ivi utajinyonga tu hakuna namna!Uliona wapi mtu akata kuangalia Uharo!!
Afadhali huyo/sisi tunavyo viwili!!......wivu utakuua! na bado!! sasa ndo tutaleta vikali zaidi na ma-vogue ya kufa mtu!....hutaki kuangalia weye!!!! mashabiki wetu mpaka nje ya nchi wapo tele Congo, zaire, kenya rwanda Brundi soko tunalo!! .....naamini ki ivi utajinyonga tu hakuna namna!
ughaibuni mama weee!! wasanii wetu aluta continua Wamatumbi hawatupendi tunavotanua!....kazeni kambaaa............ hata kwetu wapooo!!....
Wapi nimeandika kila mtu anatuonea wivu?? ..usinilishe maneno ajili ya chuki zako hizo! ...hata basi kusoma tu bandiko rahisi la kiswahili unashindwa?? ndo matokeo ya UPE hayo!sasa Kama mnafikiri kila mtu anaakili kisoda Kama ninyi mpaka awaonee wivu ni Sawa.
Kama watu hawaangalii tunapata wapi hela nyingi za, Migari bei mbaya, kusomesha watoto shule bei mbaya, zaidi na kujenga Majumba ya maana tena sehemu zile nyeti na aghali nchini?? kuliko nyie mliosomea shule za UPE? saana weye unakaa maji matitu kule! tandare darajani!mtu mwenye Akili anaweza kuangalia Bongo movie ya kizazi hiki?
Wapi nimeandika kila mtu anatuonea wivu?? ..usinilishe maneno ajili ya chuki zako hizo! ...hata basi kusoma tu bandiko rahisi la kiswahili unashindwa?? ndo matokeo ya UPE hayo!
Kama watu hawaangalii tunapata wapi hela nyingi za, Migari bei mbaya, kusomesha watoto shule bei mbaya, zaidi na kujenga Majumba ya maana tena sehemu zile nyeti na aghali nchini?? kuliko nyie mliosomea shule za UPE? saana weye unakaa maji matitu kule! tandare darajani!
usafiri wako daladala zetu tulizo wanunulia kuwasaidia !! ukileta jeuri tutazifungia mkome! si mnajua tuna umoja? letu tukisema linakuwa ni letu? hasa wkt wa mvua! tuone km hamjaja kutupigia magoti kenge nyie!..zile zitasafieisha mashabiki wetu tu!!
Wajinga kwako ndo wajanja kwetu Mkuu piga ua galagaza hatubadiriki tafuta jingine uliseme lkn hilo??? utakesha!!..... tuna waheshimu mnoo kuliko wewe!! hata Yesu aliitwa mjinga!! je wao nani?? wasionekane wajinga???Uliambiwa wajinga hawana pesa?
Misemo ya kishamba hiyo imepitwa na wkt badirika!! utakulaje Mtu km kweli wewe una akili??wajinga ndio waliwao?ππ
Usikariti wewe UPE! kwani hujui Elimu ni Bahari?? ...... Sanaa/Fasihi/ Andishi zote hizo ni Elimu tosha! siyo mpaka uende Cambridge!! yaani inadhihirisha ulivo zao la UPE! ......Elimu ni nini? kasome then uje back ku-argue na mie!...nakufundisha usichukie!wewe nenda kasome,
Uko sahihi!! ......fanya wewe kilicho bora kwako lkn siyo utu pangie sisi, wenyewe sisi tumeamua mkondo wetu ni huo ndo tulivyo!! siyo kwa sababu tu tunapata ugali no!! ile iko damuni hupendi siyo lazima kuanagalia tatizo liko wapi??? usitulazimishe kuwa unavyo taka wewe huo ni ugonjwa wa akili!Tasnia yenu iwe Bora huo ndio ushauri nilioutoa,
sipigi porojo km weye! ila nakuambia ukweli sisi ndo sisi!! hutaki achna na sisi ukifika muda kichaa chako kikipungua uje!Porojo zingine hazitakusaidia lolote katika Tasnia yenu.
Wajinga kwako ndo wajanja kwetu Mkuu piga ua galagaza hatubadiriki tafuta jingine uliseme lkn hilo??? utakesha!!..... tuna waheshimu mnoo kuliko wewe!! hata Yesu aliitwa mjinga!! je wao nani?? wasionekane wajinga???
kama hukusoma sikia mie nikumegee ...ma -idealistic wooote Duniani waliitwa wajinga!! vimbele!! mbele!! wataka sifa/makubwa so wakatengwa lkn hao ndo wana heshimiwa na kukumbukwa michango yao mpaka kesho!!
Kwa mfano Marti luther king. alidharauliwa, Mandela huyu mpaka mke wake wa ndoa alimuacha mazima!.......Nyerere Baba yake hakupenda aingie siasa! nk! lkn wale waliowadharau watu hao minara yao iko wapi leo? ukilinganisha na wao hao??
hata ukiwaita mashabiki wetu wajinga, vilaza ,kamwe unajisumbua haitufanyi sisi tusi waheshimu ndo kwaaanza tunamwaga sebene!! weye kwa kuwa ahutufuatilii hutakaa ulijue wapi linafanyika! tulipoanza kazi hii tulijua na tunajua watu km nyie mpo weengi tu!! haitufanyi tusifanye kile tunacho kiamini!!
Misemo ya kishamba hiyo imepitwa na wkt badirika!! utakulaje Mtu km kweli wewe una akili??
Usikariti wewe UPE! kwani hujui Elimu ni Bahari?? ...... Sanaa/Fasihi/ Andishi zote hizo ni Elimu tosha! siyo mpaka uende Cambridge!! yaani inadhihirisha ulivo zao la UPE! ......Elimu ni nini? kasome then uje back ku-argue na mie!...nakufundisha usichukie!
Uko sahihi!! ......fanya wewe kilicho bora kwako lkn siyo utu pangie sisi, wenyewe sisi tumeamua mkondo wetu ni huo ndo tulivyo!! siyo kwa sababu tu tunapata ugali no!! ile iko damuni hupendi siyo lazima kuanagalia tatizo liko wapi??? usitulazimishe kuwa unavyo taka wewe huo ni ugonjwa wa akili!
sipigi porojo km weye! ila nakuambia ukweli sisi ndo sisi!! hutaki achna na sisi ukifika muda kichaa chako kikipungua uje!
Upo sahihi kabisa, mbaya zaidi hizo movies na hiyo miziki vinaharibu watoto wa shule kwa ngazi zote, wiki mbili zilizopita tumewakuta watoto wawili (me na ke) wa nursery school wamejifunika trubai wanaigiza bongo movie kwenye store ya jirani yangu,Huuu uchafu niliacha siku nyingi sana kuuangalia hata hawa wanaojiita wasanii bongo flava wanaoimba ngono huwa si hangaiki nao
Kuna uchafu mwingine umeingia inaitwa singeri. Yaani nateseka Sana kwenye nafs. Singeri Haina tofauti na uwanja wa fisi wanakojiuza Malaya. Najiuliza ga Hawa wanaimba nini.?!Huuu uchafu niliacha siku nyingi sana kuuangalia hata hawa wanaojiita wasanii bongo flava wanaoimba ngono huwa si hangaiki nao
Waache hao, ku undermine kazi za watanzania wenzao..hawajui ni ajira kama ajira nyingine, kama wanaona wanakosea acting wange suggest vitu wa improve, sio kuwakatisha tamaa...mwisho kila movie na hadhira yake., kama unaona ni upuuzi ,kuna wapuuzi kibao ndani ya jamii. hii ni entertainment kama kuna audience na inalipa hao wasanii ..na wana enjoy.. let them be...wacha wivu!! hao wenye bachelor degree wako wapi?? hayo ndo mavilazaaaaa!!! Mond ako juu!! ana mihela kuliko wanamuziki wenye bachelor wako hao!! hata kuwa Msanii tu!! kipaji chako kinakupa Masters degree! tatizo ni karatasi tu huna!
Kingine wanavijiji mna shida kubwa sana sana ya uelewa.....ku-act wakiwa na Magari makubwa. Majumba nk! ndo maana ya Neno usanii!......weye unataka wafanye km mnavo jadiliana na wanakijiji wenzako!!
wewe nawe ingia kwenye tasnia ufanye unavohisi ni sahihi!! hujakatazwa hutaki waache km walivo.... kwani lazima kutizama movie zao?? km inakuuma saana si ujikate kivyako tuuu?....ivo wanavyo act ndo vijana walivyo km kwenu kijijini wameanza 2000 kuvaa suruali basi walichelewa sana!
la mwisho ...jifunze kuheshimu kazi za watu wenzio!! labda km hujui film actors manake nini!
Baelezee! dada baelezee1Waache hao, ku undermine kazi za watanzania wenzao..hawajui ni ajira kama ajira nyingine, kama wanaona wanakosea acting wange suggest vitu wa improve, sio kuwakatisha tamaa...mwisho kila movie na hadhira yake., kama unaona ni upuuzi ,kuna wapuuzi kibao ndani ya jamii. hii ni entertainment kama kuna audience na inalipa hao wasanii ..na wana enjoy.. let them be...