Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah acha tu kweli kwa mtu ambae hajawahi kubeti aache kabisa huu mchezo!! tunaliwa ila kupoteza ni kwing zaidi..jana tu nimetumbukiza ka hela kama twenty kameenda kote.😥..na huwa naweza cheza wiki nzima siku nyingine nawala ila natamani kuendelea kucheza..hela ukipata majanga mengine yanakuja hapo hapo kanaisha kote.Umewahi bet mkuu
Dah! Eti kubet ni kufight?!Hahahaahha vijana wa Dar nyie acheni uzembe ndo mana tunaskiaga mnajinyonga kisa dem kakutumia sms mbaya.
MOSI;Kama mwanaume tugemea mikimiki na stress kibao za maisha,wee ukitaka maisha yasiyo na stress kubali kuolewa.
PILI;Ukizoea kutokuwa na stress km unavotaka huwezi kuwa rational investor ata siku moja kaka,jifunze kuhandle mambo no matter what
TATU;Naamini kubet kunawapa hari flani wabetiji ya kufight na kupambana mpk tone la mwisho of which to me its good thing mana one day wanaweza kufanikiwa kwa hari iyo(Betting inaitaji akili na sio vinginevyo)
MWISHO;Investor wote wakubwa kiuhalisia ni wabetiji tu(Unanunuaje share leo ili utegemee baada ya miaka 10 au 15 kampuni itakuwa inafanya vizuri.)
YAPO MENGI ILA CHUKUA AYO MACHACHE
Nikugeukie hapahapa eenhShunie geuka basi[emoji23]
mkuu umeonge ukweli ni bora ni bet kuliko kuhonga mwanamke..nimeacha kuhonga sijui nisidie elfu 30, 20... bora nibetie...na siku nyingine huwa nawapiga..!!Sasa kama umeweka stake milioni ay kuanzia 100k.lazima upate ugonjwa wa moyo ila kama umeweka jero kama mimi hapo huo ugonjwa wa moyo unaupata wapi.
BET KIASI UNACHOWEZA KUKIPOTEZA. KAMA PESA UNAYOHONGA MWANAMKE, YA PIA, YA BANDO ETC
Mkuu Mimi nilitenga million na laki 2 kuanzia January ili nione kama bet ni good thing,Daah acha tu kweli kwa mtu ambae hajawahi kubeti aache kabisa huu mchezo!! tunaliwa ila kupoteza ni kwing zaidi..jana tu nimetumbukiza ka hela kama twenty kameenda kote.[emoji26]..na huwa naweza cheza wiki nzima siku nyingine nawala ila natamani kuendelea kucheza..hela ukipata majanga mengine yanakuja hapo hapo kanaisha kote.
Nani kasema kubet ni kufight,soma vzr iyo post.Dah! Eti kubet ni kufight?!
Mm mzima sana tu hofu kwako uliyeadimikaZa siku,mzima mrembo wa watu.
Sioni tofautiNani kasema kubet ni kufight,soma vzr iyo post.
".....Naamini kubet kunawapa hari flani wabetiji ya kufight na kupambana mpk tone la mwisho ...." wazungu wanasema SPIRIT
Mkuu bora hiyo hela ungeielekeza sehemu ingine hata kusaidia ndugu na watoto yatimamkuu umeonge ukweli ni bora ni bet kuliko kuhonga mwanamke..nimeacha kuhonga sijui nisidie elfu 30, 20... bora nibetie...na siku nyingine huwa nawapiga..!!
Kama ulibet ili utoke kimaisha ni halali yako kupigwa tena naomba Mungu upigwe haswaaaa.OVERMkuu Mimi nilitenga million na laki 2 kuanzia January ili nione kama bet ni good thing,
Nikawa nabet kidogo kidogo elfu 2,1,hata 500.
Kweli wakati mwingine nakula Ila mhindi anachukua nyingi zaidi.
Kuvikia April hiyo hela ilikuwa imeisha yote!!
Mbali na hivyo bet inaharibu personality tamaa ya pesa inaongezeka na hasira za kuliwa na matumizi ya ovyo ya muda.
Mkuu Mimi nilitenga million na laki 2 kuanzia January ili nione kama bet ni good thing,
Nikawa nabet kidogo kidogo elfu 2,1,hata 500.
Kweli wakati mwingine nakula Ila mhindi anachukua nyingi zaidi.
Kuvikia April hiyo hela ilikuwa imeisha yote!!
Mbali na hivyo bet inaharibu personality tamaa ya pesa inaongezeka na hasira za kuliwa na matumizi ya ovyo ya muda.
Huwaga naonaga likes zakoMbona huwa nachungulia
True!, kuna ugumu mno kuacha ni kama kuacha masturbation![emoji23]Upo sahihi kiongozi..umechukua hatua gani kuacha!! vipi ume Uninstall app za betting? au umeamua kutumia simu ya tochi.. ? maana kuacha betting ni ngumu kiongoz
Sasa km ni for fun unapagawa nini hapo na mapovu kibao,its for fun right.Wala sikuwa na nia hiyo nilikuwa nafanya for fun ila the negative is true.betting is a destructive game