Athari za kubeti

Athari za kubeti

Mwanzoni mwa mwaka huu kama masihara nilijikuta naingia ktk huu mchezo baada ya kujiunga kampuni mojawapo sitoitaja jina.

Kwa kifupi ni kwamba kushinda huwa nashinda ila kuliwa ni zaidi.

Pili nimepoteza fedha ndogo ndogo nyingi ktk huu mchezo ambazo ukijumlisha ni pesa ya maana.

Vile vile upotevu mkubwa wa muda.

Kwa hiyo nimeamua kuachana na hii kitu
Ww hata ukienda mgodini utatoka kapa, moja ya sifa kuu ya mwanaume no kutokukata tamaa lakini pia kuwa na mahesabu makali ili usipoteze usichoweza kukipata tena.. Miezi sita tu umenyoosha mikono!!!
 
Back
Top Bottom