Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muosha naniliu au muosha runguHasa kwako mtoto mzuri mbona huniiti muosha...[emoji125]
yaah musturbation mtu akisema ameacha huyu inabidi tumtoe kwenye chama..maana anadanganya kabisa..watu wapo wameoa tena wake wazuri lakini kujilipua kupo pale pale😀True!, kuna ugumu mno kuacha ni kama kuacha masturbation![emoji23]
Sijafuta chochote nimeacha kama ukumbusho wa machungu na kila nizionapo apps hizo nazichukia zaidi!
Pia nikipata temptation ya kubeti nasoma vitabu au kufanya kitu kingine muhimu
Umeongea vizuri kabisaMkuu kubet ni kamari, kuna madhara mengi ya kijamii katika kucheza kamari---- kifupi kamari ni mchezo ambamo mtu mmoja anapata na mwingine anakosa yaani kupata kwa mmoja ni huzuni kwa mwingine na kukosa kwa mmoja n furaha kwa mwingine, sasa jamii ikifikia hali hiyo hapo roho za hiyo jamii "hukomaa" yaani polepole jamii inakosa roho ya utu katika mambo mengi sana kwa sababu ya hiyo kamari kwasababu ni hulka mbaya sana mtu kunufaika kutokana na shida na taabu za wengine (kumbuka kamari siyo huduma kama kuchonga majeneza).
Jambo jingine katika jamii ya wacheza kamari ni kwamba kamari inayo (addiction) uraibu, ukisha anza kucheza na ikatokea siku moja umeshinda basi utanogewa na ndiyo baadhi utasikia wamefilisika kwa kuuza mali zao kwa ajili ya kamari na hata wengine hufikia kujinyonga kutokana na hasara kwa kucheza kamari, na hata kumepata kutokea baadhi ya watu kuuawa kwa sababu tu walihongwa na wacheza kamari ili wafanikishe ili upande mmoja wa wwchezaji kamari ushinde dhidi ya upande mwingine.
Madhara mengine ya kamari katika jamii ni kuharibika shughuli za uzalishaji kutokana na fedha nyingi isiyozalisha kuingizwa kwenye mfumo wa kamari hivyo shughuli nyingi za uzalishaji huzorota hivyo kuharibu uzalishaji kama kilimo nk.kwa sababu watu watakuwa wameona kwamba kamari ndiyo njia nyepesi ya kujipatia kipato kama DECI.
Hivyo michezo ya kubahatisha, betting, bahati nasibu nk zote hizo ni Kamari a ni haramu.
Ahsante,hoja nzima imehitimishiwaaa hapa.Sema watu hawajui tu ila huu ndio ukweli mchunguMimi naamini maisha yote ni kamari
Ahsante,hoja nzima imehitimishiwaaa hapa.Sema watu hawajui tu ila huu ndio ukweli mchungu
Mbona hii tumeshasema sana kaka,bet what u can afford to lose.Inshort ile ela ya kuonga madem au ya kunywea bia ndio ubetie,na husibet karo,mtaji, etc.Maisha yapeleke vile wewe unataka achana na poyoyo za watu.OVERUsipokuwa makini na betting,inakuaribu hata kwenye maisha ya kawaida
Mfano,unaweza kupata hela kutoka kwenye michongo yako mingine,lakini ukaitumia hovyo huku ukiamini hela itapatikana tu kucover uliyoitumia hovyo
HahaahahhahaDah...mbona Mimi sibeti na wala hiyo pesa ya maana sina? [emoji44]
Nakupenda pia muosha naniliuu [emoji8] nipo mimi bwana we ndio umefungiwa [emoji847]Nakupenda shunie na nimekumisi kweli mrembo