Athari za kuto shaurika na kuto ambilika kwa viongozi CHADEMA taifa zinawatesa kisakolojia

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.

Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?

Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.

Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?

Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama za heche?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Mwaka 2025 utakumbukwa daima.
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia chama baada tu ya Heche na Lissu kuwa viongozi. hili halijawahi kutokea katika uhai wa chadema.
Chama kinaelekea KUZIMU

Quote
 
Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.

Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?

Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongoz, na wanachama wake kua hodari wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.

Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?

Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Kutwa kuchwa unalala unaiwaza chadema.

Gentleman 😊 lecturer wangu kweli chadema imawashika kubaya.
 
gentleman,
acha upotishaji bas gentleman, yaani unalala halafu unawaza?

hiyo nadhani haiwezekani,
hata hivyo,
hebu tujadili hoja mahususi gentleman,
hivi kauli ya chama inatokana na vikao vya chama au kwa kiongozi moja wa chama hicho kukerwa na na jambo fulani na kisha atakachosema baada ya kukerwa ndio inakua msimamo wa chama hicho?šŸ’
 
Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.

Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?

Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.

Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?

Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama za heche?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Umeshawashauri wa hapo kwenu?
 
Tunaendelea na hoja iliyopo mezani,acha kurukaruka,kwani kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwa maharage yenyewe.
Chadema inaishi katika zama za athari za kutoshaurika na kuambilika,

kweli au si kweli gentleman?šŸ’
 
Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.

Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?

Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.

Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?

Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama za heche?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
CHADEMA kuna ombwe kubwa la uongozi
 
Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.

Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?

Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.

Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?

Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama z'a heche?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Duka limefungwa unadhani mawinga watapiga mishe gani?Mwamba alikua akiokoto huko anakuja kuwapa ma dusco wana ishi sasa saa hii kazi kazi hakuna mia mbovu hakuna utelezi wanaingia mitini kama Tarzan
 
Attachments

  • 20250513_152426.png
    20250513_152426.png
    510.9 KB · Views: 26
Chadema inaishi katika zama za athari za kutoshaurika na kuambilika,

kweli au si kweli gentleman?šŸ’
Sio kweli,kwani hawajawahi kuteka,kuua,wala kupora uchaguzi.Zaidi wanaonewa,wamekuwa wakiibiwa kwenye chaguzi,waki tengenezewa kesi za kuchonga,wakisumbuliwa kwa kupindisha sheria na taratibu za vyama vya siasa na kudhulumia kwa namna yeyeto mtwawala anayoweza kwa kutumia mamlaka na vyombo vyake.
 
Back
Top Bottom