Athari za kuto shaurika na kuto ambilika kwa viongozi CHADEMA taifa zinawatesa kisakolojia

Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.

Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?

Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.

Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?

Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama za heche?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Si ndo furaha yako au?
 
Kumbe wewe kwako kuongea ni kuropoka,basi hata Wewe ni mropokaji, gentleman!!!!
kwa kiasi kikubwa binadamu wengi wamejaaliwa kuongea, na miongoni mwao ndio hao sasa badala ya kuongea vizur kwa utaratibu anaropoka tu kama hawa viongoz wapya wa Chadema šŸ’
 
kwa kiasi kikubwa binadamu wengi wamejaaliwa kuongea, na miongoni mwao ndio wapo sasa badala ya kuongea vizur kwa utaratibu anaropoka tu kama hawa viongoz wapya wa Chadema šŸ’
Hata Wewe ni mropokaji au Bwakubwaku wa kijani na nduguye Mwashambwa!
 
Mwaka 2025 utakumbukwa daima.
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia chama baada tu ya Heche na Lissu kuwa viongozi. hili halijawahi kutokea katika uhai wa chadema.
Chama kinaelekea KUZIMU

Quote
Mtetezi Mbowe aongoze.
 
Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.

Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?

Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.

Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?

Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama za heche?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Ni furaha kwa ccm.
 
Watu walikua wanafanya udalali na utapeli mkubwa kwenye siasa wameona platform yao ya kudalalia haipo wanaona wakaunde nyingine sehemu kuna ubaya gani?? Mtu kama Mrema ambae amegombea Ubunge na kupigwa mara zote leo atakuambia atashindia Chauma??

Rungwe kuwa makini hawa madalali watakunyanganya chama mchana kweupe...
 
Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.

Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?

Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.

Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?

Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama za heche?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Mengine wasingekuwa wanayatolea matamko bila vikao kiutawala unaweza kusema hilo tualifanyia kazi na kutoa mwelekeo fullstop
 
Back
Top Bottom