Kutwa kuchwa unalala unaiwaza chadema.Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.π€£
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.
Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?
Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongoz, na wanachama wake kua hodari wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.
Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?
Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko?π
Mungu Ibariki Tanzania
gentleman,Kutwa kuchwa unalala unaiwaza chadema.
Gentleman π lecturer wangu kweli chadema imawashika kubaya.
Umeshawashauri wa hapo kwenu?Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.π€£
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.
Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?
Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.
Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?
Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama za heche?π
Mungu Ibariki Tanzania
Tunaendelea na hoja iliyopo mezani,acha kurukaruka,kwani kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwa maharage yenyewe.Jikite kwenye hoja gentleman π
CHADEMA kuna ombwe kubwa la uongoziNa sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.π€£
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.
Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?
Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.
Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?
Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama za heche?π
Mungu Ibariki Tanzania
Bado ipo ngangari na utaendelea kwa ngunguri!Chadema inaishi katika zama za athari za kutoshaurika na kuambilika,
kweli au si kweli gentleman?π
Duka limefungwa unadhani mawinga watapiga mishe gani?Mwamba alikua akiokoto huko anakuja kuwapa ma dusco wana ishi sasa saa hii kazi kazi hakuna mia mbovu hakuna utelezi wanaingia mitini kama TarzanNa sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.π€£
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.
Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?
Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.
Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?
Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama z'a heche?π
Mungu Ibariki Tanzania
Sio kweli,kwani hawajawahi kuteka,kuua,wala kupora uchaguzi.Zaidi wanaonewa,wamekuwa wakiibiwa kwenye chaguzi,waki tengenezewa kesi za kuchonga,wakisumbuliwa kwa kupindisha sheria na taratibu za vyama vya siasa na kudhulumia kwa namna yeyeto mtwawala anayoweza kwa kutumia mamlaka na vyombo vyake.Chadema inaishi katika zama za athari za kutoshaurika na kuambilika,
kweli au si kweli gentleman?π
Hawa UWT ni wapumbavu sn wanajitoa ufahamuUmeambiwa chadema inasonga mbele na inapata uungwaji mkono mkubwa na wananchi licha kupata misukosuko mikubwa. Hebu fuatilia mikutano yao huko musoma
YapDuka limefungwa unadhani mawinga watapiga mishe gani?Mwamba alikua akiokoto huko anakuja kuwapa ma dusco wana ishi sasa saa hii kazi kazi hakuna mia mbovu hakuna utelezi wanaingia mitini kama Tarzan
Kama mchwa kwenye shimo,wanatoka,Wanaoingia hata kijani watakuja na kujaza tone tone la CHADEMA!ngangari inayopasuka right?π