Si ndo furaha yako au?Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.π€£
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.
Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?
Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.
Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?
Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama za heche?π
Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe wewe kwako kuongea ni kuropoka,basi hata Wewe ni mropokaji, gentleman!!!!huenda atakua ameropoka sana gentleman, right?
yule ni muungwana si mropokajihuenda atakua ameropoka sana gentleman, right?
kwa kiasi kikubwa binadamu wengi wamejaaliwa kuongea, na miongoni mwao ndio hao sasa badala ya kuongea vizur kwa utaratibu anaropoka tu kama hawa viongoz wapya wa Chadema πKumbe wewe kwako kuongea ni kuropoka,basi hata Wewe ni mropokaji, gentleman!!!!
Hata Wewe ni mropokaji au Bwakubwaku wa kijani na nduguye Mwashambwa!kwa kiasi kikubwa binadamu wengi wamejaaliwa kuongea, na miongoni mwao ndio wapo sasa badala ya kuongea vizur kwa utaratibu anaropoka tu kama hawa viongoz wapya wa Chadema π
Yuko sawa Labda,utwambie huko kijani mnasemaje?kila analoropka anadai ni msimamo wa chama, hii iko sawa kweli gentleman?π
Ni furaha kwa ccm.Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.π€£
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.
Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?
Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.
Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?
Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama za heche?π
Mungu Ibariki Tanzania
Sema kuropoka!Yes,
nafurahia sana kueleza ukweli gentleman π
Samahani kidogo! Je unafurahia pia Tanzania tusipokuwa na upinzani imara bungeni sio?Yes,
nafurahia sana kueleza ukweli gentleman π
Mengine wasingekuwa wanayatolea matamko bila vikao kiutawala unaweza kusema hilo tualifanyia kazi na kutoa mwelekeo fullstopNa sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.π€£
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi, japo watashupaza shingo kwamba wako sawa kisakolojia.
Je,
kwasababu ya kukosa maono, uongozi mpya wa Chadema Taifa hawakuweza kuyaona haya yanayotokea sasa na kuwakera yakiwa yanakuja?
Tofauti na agenda nonsense ya no reform no elections, uropokaji wa viongozi wa kamati kuu, kutoshaurika wala kuambilika kwa viongozi wakuu wapya, na wanachama wa chadema kua hodari sana wa kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wanachadema walio na maoni tofauti na yao.
Je,
kuna sababu nyingine za ziada kwa chadema kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake na kukataliwa hadharini?
Unadhani maumivu makali ya kuachwa yanaweza kuponya hasira za viongozi wa chadema waliopo na kujirekebisha au ndio wataharibu zaidi chama chao kwa matamko na kauli nonsense kama za heche?π
Mungu Ibariki Tanzania
Yaani anafurahia kusema 'Ndiooo hata penye 'Hapanaa!Samahani kidogo! Je unafurahia pia Tanzania tusipokuwa na upinzani imara bungeni sio?