Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Kwa kweli...nasikia hizo njia za hospitali zinaweza sababisha ukatoa maji mengi sana.
Ila nchi zilizoendelea kabla ya kutumia njia yeyote mtu anafanyiwa test ni ipi itamfaa.
Na siamini kama kwao wanatumia dawa hizihizi zenye kuleta kizaa zaa.
Hizi dawa ni mbaya sana. Wengi niliowaona wametumia zimewaletea madhara. Hasa ya kuwa shapeless. Unakuta kila kitu kimejaza sehemu moja. Bado ukitaka kuzaa uanze kuhangaika.
 
Kuacha hilo tendo. Hujui ndo starehe ya sisi maskini???
Hilarious.. Ni kweli ndio furaha pekee ya jamii maskini, lakini ukifikiria au siku ukashuudia mateso yaletwayo na starehe hiyo ni rahisi kuacha na kutolichukulia kama starehe tena.
 
Hilarious.. Ni kweli ndio furaha pekee ya jamii maskini, lakini ukifikiria au siku ukashuudia mateso yaletwayo na starehe hiyo ni rahisi kuacha na kutolichukulia kama starehe tena.
Mkuu hili ni tendo takatifu na ndio maana linatuletea watoto kudhihirisha utakatifu wake.
 
Aya matataka cyapenɗi na wife nshamwamɓia akishachomwa ayo masindano hata siku zake hazioni tena anapta hata miezi mi3 uwa nawaza sana isije mpa matatizo mbeleni kwa kweli wazungu wanatumaliza kwa kasi ebu watalamu twambie njia nzuri ni ipi tuwamɓie wenza wetu condom siwezi iyo natumia kwenye magendo tu
 
Zipo,wazee wa male wanajua.Mfano mbegu za mnyonyo kama sijakosea...Sijajua vizuri ila nasikia zipo ila sio efficient unaweza kunasa mimba.
Wife wangu aliwekewa kijiti mkononi ya miaka 3 lakini hajafika hata mwaka akaenda kutolewa baada ya hilo dude kumdhoofisha kiafya. Akaanza kutumia mbegu za mnyonyo mwezi wa sita tangu aanze kutumia, tatizo limekuja tena huwa anaona siku zake kati ya tar 14 mpaka 16 lakini leo ni 21 bado hajaingia period.Mnyonyo nayo haiaminiki
 
Mbegu za mnyonyo zinatumikaje?
 
Reactions: BAK
elezea kibaiolojia.....tafadhali.yani kila njia na athari zake weka wazi
 
Basi litumie kwa kukuletea watoto na hapo ndio utakatifu wake ulipo na pia ndio dhumuni kuu la wepo wa tendo hilo.
Dhumuni kuu?kwa hiyo watu wenye matatizo ya uzazi hususani ugumba na wanajitambua kabisa hawana uwezo wa kupata watoto kwa njia ya kujamiiana waache kabisa?
BTW mimba huweza kutungwa hata bila tendo.
Siamini kama unamaanisha unachosema
 
Reactions: BAK
Sasa ukitaka kuacha kuzaa kabisa baada ya kuwa na watoto mliojipangia, let say watatu, ipi ni njia sahihi ya kuzuia kupata mimba?
 
Babu na bibi huwa hawalali chumba kimoja, kila mmoja ana chumba chake, bibi kazi yake ni kuhesabu siku, akiona yupo fiti basi anaibukia chumbani kwa babu. Na hats siku moja hawezi kukosa kwenda kwa babu kama yupo vizuri.

Tatizo letu sisi maisha ya kizungu, mna lala mitanda kimoja, hamwoni kama ni kuongeza majaribu.

Hii technique ya babu na bibi nimeipenda sana.
 
eti hoteli ya majini.hapo ndo nmeamini pointi zako sio za kitaalamu ni za kishirikina
 
Uliyoongea ni sahihi kabisa mkuu.Tena umeweka kwa ujumla,ukiyadadavua yanatisha.Cha ajabu ni kwamba wenyewe hawaoni wala hawasikii,ukiwaambia wabishi kama nini.

Madaktari nao ni viongozi wa vipofu,wanatetea kweli masumu hayo, ambayo they are not fit for human consumption.Sijui aliyetuloga nani.Hatujui hata kwamba overall goal ya wenzetu "The Elite"(akina Billgates, Rockefeller,Rostchild nk.) wakimtumia hasa Marie Stoppes(mama muuaji) ni kutupunguza.Jamani kizazi kinaangamizwa hiki!
 

OMG vidonge ni shidaa nilianza kutumia siku tatu mbele nikaanza kusikia km mwili unachemka ndani
Nilivyoflash vyote vilivyobak,Nowdays niko makini na calendar
Mungu atusaidie tu mwehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…