Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Jamani ni rahisi sana ukujicontrol si lazma kutumia haya mavitu ya kidhungu. Nahisi wao hawatumii wanatuletea sie. Binadamu kaumbiwa ajili na Mungu tumia. Binafsi sjawai tumia hayo mambo na Niko ndani ya ndoa miaka 5 sasa mubashara.
 
Mke wangu ametumia vidonge awamu mbili tu lakini tayari amepata pancha maana anasikia maumivu makali akiwa hedhi na hudhuma mpaka mwisho wa hedhi
 
Aiseee na nimekuwa nikizitilia sana mashaka

Wanawake wanaopatwa na cervix cancer & breast cancer 99.9% ni watumiaji Wa hizi family plans
 
Sorry hapo unakua muuwaji how na wakati umejikinga tuu na mimba
Ni uuaji kwa maana kwamba mimba huwa inatungwa lakini inaharibika katika hatua za mwanzo kabisa hasa kwa wanaotumia kitanzi na ndio maana hata wakati wa period damu huweza kutoka nyingi kuliko ilivyokuwa mwanzo
 
Kuna x mchepuko wangu ni single mother.....ameweka kile kidude mkononi hapa juu kidogo ya kiwiko kama kijiti dah nilishangaa. Ndio kinaitwaje kile?
kama hadi unaona chini ya kiwiko afu bdo unamuita x gf? tu,duh
 
"Withdraw" is the best method, mwaka wa pili huu napiga na kumwaga nje bila kufuata kalenda na mambo yako vizuri.
 
kama hadi unaona chini ya kiwiko afu bdo unamuita x gf? tu,duh
Mkuu yule mwanamke mpaka namwonea huruma sana. Alikua mamsap wangu kabla hajaolewa, akaja akaolewa. Ndoa hata mwaka haijaisha imevunjika, sasa hivi yupo single tu. Mimi sijaowa, ila huwa tunapasha kiporo chetu mara nyingi sana. Weekend zangu huwa zinaishia kwake hata kulala sometimes huko huko. Anajua nina mchumba uzuri hayupo mkoa nilipo mimi. Anatamani nimuowe lakini ndio hivo tena.
 
Kama huna imani na wazungu, asilimia 95% ya dawa zote wanatengeza wao na unazitumia
 
Calendar inasumbua kwa sababu mwili wa mwanamke na kiwango cha hormones hubadilika badilika kulingana na vyakula,hali na utulivu wa akili,mazingira,magonjwa,dawa n.k.
Yani ni kazi sana.
Wengi wanaosema, calender [emoji413] awapo katika ndoa. Wewe unalala na mke, na hali ya hewa hii, utayakumbuka makalenda hayo. Kumbuka mapenzi ndani ya ndoa ni wakati wote minyege ikipanda, sana sana awe katika breed. Calendar ni ishu sana, tusidanganyane na kuhusu maswala ya dawa za uzazi kusumbua ni hali ya kuwa na mke asiekwenda Hospital [emoji541] kucheki hali yake
 
eti hoteli ya majini.hapo ndo nmeamini pointi zako sio za kitaalamu ni za kishirikina
Mkuu sionkwamba anamaanisha papuchi inalowesha mashuka yote kwa hiyo unakula mlo ukiwa majini na sio majini viumbe !
 
Jaman tuache utani huu mtihani from day 9_17 mr akikukumbatia tu akakuambia I love you unaweza kumwambia ntakufanya uwe malaika, unamsamehe yote' sijui Mungu hakuliona hili
 

Mi mtu alale chumba chake kwakweli?? Ntaita mwiziiiiiiii aje tu tukizaa basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…