Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Jamani ni rahisi sana ukujicontrol si lazma kutumia haya mavitu ya kidhungu. Nahisi wao hawatumii wanatuletea sie. Binadamu kaumbiwa ajili na Mungu tumia. Binafsi sjawai tumia hayo mambo na Niko ndani ya ndoa miaka 5 sasa mubashara.
 
Mke wangu ametumia vidonge awamu mbili tu lakini tayari amepata pancha maana anasikia maumivu makali akiwa hedhi na hudhuma mpaka mwisho wa hedhi
 
Aiseee na nimekuwa nikizitilia sana mashaka

Wanawake wanaopatwa na cervix cancer & breast cancer 99.9% ni watumiaji Wa hizi family plans
 
Sorry hapo unakua muuwaji how na wakati umejikinga tuu na mimba
Ni uuaji kwa maana kwamba mimba huwa inatungwa lakini inaharibika katika hatua za mwanzo kabisa hasa kwa wanaotumia kitanzi na ndio maana hata wakati wa period damu huweza kutoka nyingi kuliko ilivyokuwa mwanzo
 
Kuna x mchepuko wangu ni single mother.....ameweka kile kidude mkononi hapa juu kidogo ya kiwiko kama kijiti dah nilishangaa. Ndio kinaitwaje kile?
kama hadi unaona chini ya kiwiko afu bdo unamuita x gf? tu,duh
 
"Withdraw" is the best method, mwaka wa pili huu napiga na kumwaga nje bila kufuata kalenda na mambo yako vizuri.
 
kama hadi unaona chini ya kiwiko afu bdo unamuita x gf? tu,duh
Mkuu yule mwanamke mpaka namwonea huruma sana. Alikua mamsap wangu kabla hajaolewa, akaja akaolewa. Ndoa hata mwaka haijaisha imevunjika, sasa hivi yupo single tu. Mimi sijaowa, ila huwa tunapasha kiporo chetu mara nyingi sana. Weekend zangu huwa zinaishia kwake hata kulala sometimes huko huko. Anajua nina mchumba uzuri hayupo mkoa nilipo mimi. Anatamani nimuowe lakini ndio hivo tena.
 
Njia sahihi ya uzazi wa mpango ni kuhesabu siku tu, njia hii ni rahisi na salama kiafya na haina gharama.
Njia za kisasa ni mauaji na kafara kwa shetani, zinaondoa furaha ya ndoa na uaminifu kwa wanandoa. "MWANADAMU HAWEZI KUPATA FURAHA MPAKA ATAKAPOMJUA MUNGU WA KWELI"
Kama huna imani na wazungu, asilimia 95% ya dawa zote wanatengeza wao na unazitumia
 
Calendar inasumbua kwa sababu mwili wa mwanamke na kiwango cha hormones hubadilika badilika kulingana na vyakula,hali na utulivu wa akili,mazingira,magonjwa,dawa n.k.
Yani ni kazi sana.
Wengi wanaosema, calender [emoji413] awapo katika ndoa. Wewe unalala na mke, na hali ya hewa hii, utayakumbuka makalenda hayo. Kumbuka mapenzi ndani ya ndoa ni wakati wote minyege ikipanda, sana sana awe katika breed. Calendar ni ishu sana, tusidanganyane na kuhusu maswala ya dawa za uzazi kusumbua ni hali ya kuwa na mke asiekwenda Hospital [emoji541] kucheki hali yake
 
Jaman tuache utani huu mtihani from day 9_17 mr akikukumbatia tu akakuambia I love you unaweza kumwambia ntakufanya uwe malaika, unamsamehe yote' sijui Mungu hakuliona hili
 
Babu na bibi huwa hawalali chumba kimoja, kila mmoja ana chumba chake, bibi kazi yake ni kuhesabu siku, akiona yupo fiti basi anaibukia chumbani kwa babu. Na hats siku moja hawezi kukosa kwenda kwa babu kama yupo vizuri.

Tatizo letu sisi maisha ya kizungu, mna lala mitanda kimoja, hamwoni kama ni kuongeza majaribu.

Hii technique ya babu na bibi nimeipenda sana.

Mi mtu alale chumba chake kwakweli?? Ntaita mwiziiiiiiii aje tu tukizaa basi.
 
Back
Top Bottom