Amanikullaya Unasema haya:
"Kuna madhara mengi ya kutumia njia za uzazi wa mpango wa kisasa zinazo patikana katika vituo vya (maria stopes). Nitaweka ninazo zifahamu:
1.saratani y matiti au y kizazi,
2.cd4 kushuka,
3.Kuaribika umbile,
4.sehemu za nwana make kuwa baridi,
5 .huchangia opresheni 50% unapo hiari kupata mtoto,6.magonjwa ya Mara kw Mara,
7.uzito kupungua au kungezeka ,
8.mtoto aneye zaliwa baadae kuathiriwa,
9.cku za mwanake kubadilika badilika,
10.kuwa hotel ya majini,
11.kadhirika ubongo,
12.furaha ya tendo la ndoa inapotea,
13.kubwa kuliko yote mi uuwaji na n:k"
Nina maswali machache.
Maelezo yako yanao msingi katika utafiti wowote wa kisayansi?
Vipi kuhusu faida za njia unazozitaja?
Kuna mbadala gani?
Mbadala huo unazo faida gani?
Mbadala huo unazo hasara gani?
Kuhusu namba 13, unaongelea uwaji wa ovum na spermatozoa?
Kuna tatizo gani kuua gametes?
Nasubiri majibu.