Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Aiseee na nimekuwa nikizitilia sana mashaka

Wanawake wanaopatwa na cervix cancer & breast cancer 99.9% ni watumiaji Wa hizi family plans
Asilimia 90 ya wanaopata kansa ya shingo ya kizazi ni wale wenye wanaume wanaobeba HPV.
 
hizi njia za uzazi wa mpango mbaya sana yaani kuna binti nilikuwa nae tukiwa faragha alikuwa anamwaga damu yaani full kubleed mashuka kulowa damu tupu ilifika kipindi nikimuomba mchezo akikumbuka suala la kumwaga damu anapata mfadhaiko sana sasa kama mtu anafadhaika kabla ya tendo husitegemee mtu kufurahia tendo hata mwanaume ukazane vipi. tatizo sex tumeifanya kama starehe ndio maana hofu ya mimba imekuwa kubwa ila kama sex ingechukuliwa kama hitaji la mwili basi lingepangiwa utaratibu ambao ungeweza kuzuia mimba hisiyotarajiwa hata bila kutumia hizo njia za kimagharibi.
Ni ukweli mtupu mkuu, yaani hata mimi yameshawahi kunikuta! Ikifika wakati wa kugegedana hata mimi nilikuwa napata mfadhahiko kutokana na uchafuzi mkubwa wa mashuka uliokuwepo! Nashukuru baada ya ushauri wa Dr mambo yakaja kukaa sawa! Hawa Wazungu hawana nia nzuri kabisa na sisi jamani!
 
Sorry hapo unakua muuwaji how na wakati umejikinga tuu na mimba
Njia zote hizo hufanyakazi baada ya yai kurutubishwa hvy in uuwaji kwn uhai unaanza pale yai NA mbegu zinapo kutana sekunde hyhy kama unatumia acha kabisa
 
Sasa tutatumia nini jamani? Maana hayo ya wazungu kweli yanaside effects mbaya kabisa, hakuna njia ya asili nyingine ukiacha calendar?
Apo umenena Dada yangu nikipata muda ntakuwekea natural family plan,ambazo n salama Kabisa asante.
 
Mimi sijaelewa hapo number 10 Kuwa hotel ya majini
Vichanga n damu ya mabonge ile n chakula cha majini /wachawi hivyo unapotupa tayari unatupa na kiumbe haiishii hapo kw wenzako n mali
 
Amanikullaya Unasema haya:

"Kuna madhara mengi ya kutumia njia za uzazi wa mpango wa kisasa zinazo patikana katika vituo vya (maria stopes). Nitaweka ninazo zifahamu:

1.saratani y matiti au y kizazi,
2.cd4 kushuka,
3.Kuaribika umbile,
4.sehemu za nwana make kuwa baridi,
5 .huchangia opresheni 50% unapo hiari kupata mtoto,6.magonjwa ya Mara kw Mara,
7.uzito kupungua au kungezeka ,
8.mtoto aneye zaliwa baadae kuathiriwa,
9.cku za mwanake kubadilika badilika,
10.kuwa hotel ya majini,
11.kadhirika ubongo,
12.furaha ya tendo la ndoa inapotea,
13.kubwa kuliko yote mi uuwaji na n:k"

Nina maswali machache.

Maelezo yako yanao msingi katika utafiti wowote wa kisayansi?
Vipi kuhusu faida za njia unazozitaja?
Kuna mbadala gani?
Mbadala huo unazo faida gani?
Mbadala huo unazo hasara gani?
Kuhusu namba 13, unaongelea uwaji wa ovum na spermatozoa?
Kuna tatizo gani kuua gametes?

Nasubiri majibu.
Mbadala upo safi kabisa na nitauweka cku za usoni,hauna adhari kwani humezi chochote n kufuata maumbile tu,ndio zimedhibitiswa kitaalamu na pia wanao toa ukipata majanga wanakuambia uache au uchague nyingine.
 
Amanikullaya Unasema haya:

"Kuna madhara mengi ya kutumia njia za uzazi wa mpango wa kisasa zinazo patikana katika vituo vya (maria stopes). Nitaweka ninazo zifahamu:

1.saratani y matiti au y kizazi,
2.cd4 kushuka,
3.Kuaribika umbile,
4.sehemu za nwana make kuwa baridi,
5 .huchangia opresheni 50% unapo hiari kupata mtoto,6.magonjwa ya Mara kw Mara,
7.uzito kupungua au kungezeka ,
8.mtoto aneye zaliwa baadae kuathiriwa,
9.cku za mwanake kubadilika badilika,
10.kuwa hotel ya majini,
11.kadhirika ubongo,
12.furaha ya tendo la ndoa inapotea,
13.kubwa kuliko yote mi uuwaji na n:k"

Nina maswali machache.

Maelezo yako yanao msingi katika utafiti wowote wa kisayansi?
Vipi kuhusu faida za njia unazozitaja?
Kuna mbadala gani?
Mbadala huo unazo faida gani?
Mbadala huo unazo hasara gani?
Kuhusu namba 13, unaongelea uwaji wa ovum na spermatozoa?
Kuna tatizo gani kuua gametes?

Nasubiri majibu.
Yai la ke+ mbegu ya me = kimbe,NA madawa hayo huanza kufanya KAZI baada tendo hill kufanyika
 
eti hoteli ya majini.hapo ndo nmeamini pointi zako sio za kitaalamu ni za kishirikina
Rudi nyuma nimeijibu,in kweli vichanga na damu ina uhusiano mkubw na wachawi n majini
Uliyoongea ni sahihi kabisa mkuu.Tena umeweka kwa ujumla,ukiyadadavua yanatisha.Cha ajabu ni kwamba wenyewe hawaoni wala hawasikii,ukiwaambia wabishi kama nini.

Madaktari nao ni viongozi wa vipofu,wanatetea kweli masumu hayo, ambayo they are not fit for human consumption.Sijui aliyetuloga nani.Hatujui hata kwamba overall goal ya wenzetu "The Elite"(akina Billgates, Rockefeller,Rostchild nk.) wakimtumia hasa Marie Stoppes(mama muuaji) ni kutupunguza.Jamani kizazi kinaangamizwa hiki!
 
3314f3070bf8647ceeb30d26e0668e05.jpg

Hii ndio njia sahihi,
Hakuna kulala kitanda kimoja
 
Back
Top Bottom