mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
Unadhani hawajui mitandao inawapotezea muda, unadhani hawajui kuna mambo mengine ya kufanya?Wewe sijui mturutumbi wa wapi uliekalili maisha hujui kuna vijana wanaingiza pesa kutokana na mitandao ya kijamii.
**** watu wanajifunza mambo mbalimbali mfano kilimo, biashara, technolojia n.k
Suala la kuharibika vijana inategemea na wao wanatumiaje hio mitandao.
Mitandao ina uraibu.
Jinsi ilivyotengenezwa inachochea sana uraibu. Maamuzi hayana nguvu kubwa, kusingekuwa na walevi na wavuta bangi.