Wewe sijui mturutumbi wa wapi uliekalili maisha hujui kuna vijana wanaingiza pesa kutokana na mitandao ya kijamii.
**** watu wanajifunza mambo mbalimbali mfano kilimo, biashara, technolojia n.k
Suala la kuharibika vijana inategemea na wao wanatumiaje hio mitandao.