Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

Huna hoja yoyote mpya wewe, na isitoshe hizo hoja unazotoa wewe siyo chanzo. Kama umejiridhisha Mungu hayupo kwanini usikae kimya na kuendelea na maisha yako kama kawaida? Ina ku cost nini?
Wenzio hawajaja kuchangia wamepita kushoto

Waliohisi inamaana kwao wamechangia ilihali kuna nyuzi nyingi kama hizi.

Kwakutumia hoja hiyo hiyo,
Kwanini uskae kimya usije kuchangia kwenye huu uzi mkuu, ukikaa kimya
Inakucost nini?
 
Mkuu huyu Jamaa itakuwa mmojawapo mlowaona anatembea mwezini, maana ubishi wake hata hauna mantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…