Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

Nadhani kuna tofauti ya kutoamini kitu na kukataa uwepo wa hicho kinachoaminiwa. Kitu ambacho najua na nina uhakika kuwa hakipo basi siwezi kusema siamini uwepo wake bali nitasema hicho kitu hakipo maana hakina nafasi ya imani kwangu.
Yes...wewe mkuu umenielewa
 
Yap sahihi Mkuu.., Most of Scientific Theories hasa zinazohusu origin ya Ulimwengu na viumbe zime base kwenye Imani zaidi.
Mfano utasikia statement kwamba "It's believed that Billions of years ago Mitochondria was not part of a Cell"..... ukiangalia utaona kabisa hiyo ni Imani maana hakuna Scientific evidence yoyote inayothibitisha kwamba Mitochondria haikua sehemu ya seli miaka Billions iliyopita.
Both Creation and Evolution Are theories

Tofauti ni kuwa In creation evidence is "Trust Moses Bro?" Na hakuna room ya kuquestion alichosema Paulo/Muhamad bali ni kukariri na kuamini hiko kitu bila evidence yoyote.

Lakini scientific theories zinabadilika pale new evidence inapopatikana na kuonekana kuiponga old theory.

Bigbang theory imebadilishwa mara nyingi sana kutokea ilipokuwa first proposed.
Hata evolution theory kila siku evidence mpya zinapatikana na kupinga old undestandings.
Mfano watu zamani waliamini kuwa Binadamu wa kwanza aliishi miaka laki2 iliyopita lakini new evidence imeonesha kuwa alikuwepo hata kabla ya hapo na imesogezwa saivi inaaminika ni miaka laki3 huko.

Kwahyo science and religion are both tools looking for ultimate truth but I would choose science because sayansi inatafuta evidence na kuthibitisha na kubadilika ikiona new evidence while religion ni mambo yasiyothibitika na hayabadiliki yani tunakaririshwa.
 
Belief ni sehemu ya muundo wa ubinadamu wetu, watu wanapuuza tu. Lakini, suala la Kuamini evidence. Ni imani pia.

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Shida sio kuamini au kutoamini.
Shida ni unaamini nini?
Kwa uthibitisho upi?

Maana bila kuthibitisha unaweza kuamini uongo na usijue.
 
NINGEPENDA WATU WAJUE HILI.

God is rather TRUTH than REALITY. Kuna tofauti kubwa sana kati ya hiyo misamiati, na maelezo/uthibitisho wake unatolewa na FACTS na LOGICS.

Twende Pamoja...

REALITY inatangulia; je ni kitu gani?
Reality ni uhalisia unaothibitishwa na macho.
Sijui hii definition umetunga au umetoa wapi ila kwenye dictionary ya Mirriam Webster anasema Reality are the things in life that are commonly observed and verified to exist, things that are consistent and not random or influenced by conformity or mass hysteria. Something that is perceived as real and is physically experienced by the senses.

Kwahyo uhalisia (reality) unathibitishwa sio na macho tu, bali na sense zote 21+ za mwili ikiwemo
Touch,smell,taste,proprioception, magnetoception,Equilibrioception(balqnce gravity),Thermoception, Noicoception(Pain),Thirst,Hunger,Time perception, introspection,Body awareness,pressure,kinestgetics etc.
Reality doesn't need explanations at all since its empirical and everybody can talk about it. Therefore, the talk about reality is called FACT.
Actually reality needs to be explained thats why we have science and scientific theories.
Kila mtu anajua ukirusha apple juu litaanguka chini ila explanations ya nini kinasababisha hayo tunahitaji Einstein's theory ya relativity inayoelezea jinsi Gravity inavyochipukia baada ya matter kubend space.
Kila mtu anajua kuna radi ila tunahitaji science ituelezee radi inatokeaje?
FACTS- ni maelezo kuhusu reality. Aidha ufafanuzi ama maelezo tuu. Mfano; wewe ndiye unatumia simu yako, unaiona kwa rangi, jina, pamoja na ukubwa. Hiyo ni reality, huhitaji maelezo kujua ulichoshika ni kitu gani, na kama ukianza kutoa maelezo hayo yanaitwa FACTS.

Umenipata sio?
Nimekupata sasa, kumbe fact ni maelezo tu. Inamaanisha tukienda ndani zaidi kumbe Fact ni branch tu kwenye maelezo. Inamaana maelezo yapo ya aina nyingi.
Kuna maelezo ya uongo ambayo hayaendani na uhalisia tunayaita Uongo/Lies / False facts.
na kuna maelezo yenye ukweli(Truth) unaoendana na uhalisia. Ndio tunayaita facts. Tupo pamoja.
TRUTH- Truth ni Kipande cha REALITY ambacho hakionekani kwa macho. Truth is likely to be told, but reality has to be seen.
Again reality sio lazima ionekane kwa macho. Tunajua upepo upo ni reality ingawa hatuuoni kwa macho.
kwahyo hapa kuna false dilema. Unaact kama vile option zilizopo ni mbili tu kuona au kuambiwa wakati kuna kunusa,kuhisi,kusikia nk.
Mtu akikuambia kuwa jana alikula ugali, huwezi kusema huo sio uhalisia eti kwasababu wewe hukumuona.
Hapa tunatakiwa tujue hivi kuna Maelezo, kuna Ukweli, na Kuna uhalisia.

Kwa definiton yako mwenyewe Fact ni Maelezo ya kweli ambayo yanaelezea uhalisia (bila kujali kama wewe unayeelezwa umeona au hujaona)

Kwahyo kama maelezo ya jamaa aliyesema kala ugali jana yanaweza kuwa fact au uongo lakini inategemea kama ni ya kweli au uongo.
Kama ni kweli alikula basi yanakuwa facts na kama anadanganya basi yanakuwa uongo.
Hii yote haijalishi kama anayeambiwa alikuwepo/aliona au la.
Wanadamu wanafahamu nguvu ya macho yao, lakini hawawezi ku 'deny' hadhi, kazi na nguvu ya viungo vingine kama Masikio katika kujenga na Kulinda Ufahamu. Hapa ndipo inapatikana TRUTH. Hatuwezi kusema jambo, ama kitu fulani hakipo ati kwa sababu hatujawahi kukuiona. NO!
Kumbe unajua hilo, sasa kwanini maelezo yako ya juu yalikuwa yameegemea tu kwenye kuona?
Mfano; most people know the TRUE you, not the REAL you. Hatusemi kwamba, the real you doesn't exist ati kwa sababu hatujawahi kukuona. Mfano, wewe ni Mzinzi, na ndiye wewe unafahamu,'real you' sio kwa sababu hatujakuona basi wewe sio mzinzi, NO! logics zitathibitisha, kwa sababu tabia ni ngozi. Ngozi huonekana na haibadiliki.
The true you is the real you. Kama watu wanajua wewe sio mzinzi kumbe wewe ni mzizi basi watu wanajua the False you, lakini the true you ni ile real you ambayo ni mzinzi.
Ukweli haujalishi kama watu wanaujua au hawaujui. Ukweli ni ukweli tu.

Na ukasahau ulivyosema juu mwanzo kuwa God ni truth sio reality..... Kwa mfano wako huohuo wa watu kujua true you ambayo ni uongo kuwa wewe sio mzinzi kumbe kiuhalisia wewe ni mzinzi.

Basi watu wanaweza kujua Mungu yupo truth kumbe in reality Mungu hayupo.
Sasa, maelezo kuhusu TRUTH yanaitwa Logics.
hizi definition unazitoa wapi? Logic ni kitu kingine kabisa, ni utaratibu kwenye reasoning. Unahusisha statement zaidi ya 1.
Kitu kinaweza kuwa false lakini logical.
Mfano:
Sijawahi kuona kunguru asiye mweusi
Nimeona kunguru wote duniani
Hivyo hakuna kunguru asiye Mweusi duniani.

sasa hizo statement kwa sheria za logic ni kweli ziko logical
Lakini zinaweza kuwa sio true kwasababu mimi sijaona kunguru wote duniani.
Hatuwezi kusema God is not real, ati kwa sababu hukuwahi kumuona. No!! Don't be Clunk.
Kwanini hatuwezi?
Sayansi imezungumza mambo mengi ambayo hatuwezi kuyaona, mathalani Hormones, nerve pulses, n.k.
Haya yote yameonekana kwa msaada wa vifaa kwenye Microscope wewe uko nchi gani?
Microscope inakuza tu upeo wa macho yetu kuonA vitu vidogo.
Labda nikuulize, UNAAMINI KUNA UMEME? Umewahi kuuona? Usiniambie umeme ni huo Mwanga wa taa ya hapo chumbani kwako, huo mwanga. Upo hata kwenye nyota.
Yani ni sawa na mtu kuuliza unaamini kuna Maumivu? Usiniambie kuona mtu analia baada ya kupigwa ngumi ni ushahidi wa maumivu kwasababu hata Wale waigizaji wa azam Tv wanaigiza kwa kulia na kupigana kumbe hawaumii.

Mi nilishapigwa shoti mkuu, sihitaji kuona mwanga wa taa kuamini kuna umeme.
Watu wanaotaka ushahidi kuhusu Mungu (Muumba) wataka kufahamu kuhusu nini kitaridhisha macho yao, na usipowapa hawaamini, wakati huo wanadai HAWAAMINI.
Mkuu mbona unakomaa na macho tu?? Wapi nimelimit macho tu?
wewe thibitisha kivyovyote vile hata ukiamua kutuonesha kwa Macho huyo Mungu ni sawa pia. ila hata ukitupa uthibitisho tofauti ni sawa pia.
Hivi unaelewa maana ya kuamini na kutoamini? Unasema huamini halafu unataka evidences. Maana yake wewe ni Muumini wa EVIDENCE.
kuamini ni ile kuwa uhakika kichwani mwako kuwa jambo flani ni la kweli.
Unawezs ukaamini jambo kuwa ni kweli kumbe sio la kweli.

sasa mimi napenda kuamini jambo la kweli na kutoamini uongo.
ili nijue jambo kama ni kweli au la inabidi NITHIBITISHE kama linaendana na Uhalisia au la.

Kwahyo Mimi ninaamini vitu ambavyo nitajiridhisha kwa vithibitisho kuwa ni vya kweli wakati wewe unaamini kitu chochote.
Mark Manson kwenye kitabu chake cha Everything is Fucked anasema, 'Hakuna asiye amini' Yes, ni kweli. Atheists ni waumini wazuri wa Sayansi, hivyo WANAAMINI katika Evidence. Nigger! Believing is human tenet. Very natural from the deep self.
Mimi sijasema Atheist hawaamini chochote. Imani sio jambo baya na ni la lazima. Shida ni je unachoamini ni cha kweli?
Je huo ukweli umeuthibitisha pasi na shaka?
Je umethibitisha kuwa Mungu yupo?

na sio Atheists wote wanaamini katika sayansi.. Kuna watu wanaamini tupo kwenye simulation ndani ya computer ya aliens. Hao hawaamini Mungu na pia hawaamini Bigbang wala evolution.

Shida ya hao watu (Kama ilivyo kwa waamini Mungu) ni je, wana uthibitisho wa hiyo imani?

Atleast Sayansi ni field inayojikita kuutafuta ukweli kwa kutumia Evidence na repeatable experiments.
Science is the best tool that humans have fore seeking the truth.
Narudia tena WATU. Don't be fooled. Mungu yupo na anatupenda. Usiwe mtumwa wa uhuru wako. Keep the focus.
Sasa unasema Yupo kwa uthibitisho upo? Namimi nasema Vampires wapo msitoke usiku. Keep the focus.
Hiyo Atheism ni Tamanio la Kutowapo Mwenyezi Mungu ili binadamu alishe bila kikwazo matamanio ya nafsi yake.
Atheism sio tamanio.
Mimi ni atheist ninayetamani Mungu awepo ila ndio hivyo
Ni kama yatima anayetamani Siku moja Aje mzee kujitambulisha mimi ni baba yako, lakini ndo hivyo tena anabaki kuwa yatima tu.
 
Sasa unavyoona atheists hawaamini tu kuwa kuna Mungu au wanajua kuwa hakuna Mungu ndio maana hawaamini Mungu?
Atheists by definition hawaamini kuna Mungu.
Hao ambao wanajua hakuna Mungu ni antitheists.
Na nadhani hawana uthibitisho wowote wa hizo claims.
 
Atheists by definition hawaamini kuna Mungu.
Hao ambao wanajua hakuna Mungu ni antitheists.
Na nadhani hawana uthibitisho wowote wa hizo claims.
Kwa kutumia definition hiyo hiyo ndio nimetaka kujua kuwa hawaamini kuwa kuna Mungu kwa hoja ya kwamba wanajua hayupo huyo Mungu au hawajaona tu sababu za msingi za kuamini kuwepo Mungu?
 
Kwa kutumia definition hiyo hiyo ndio nimetaka kujua kuwa hawaamini kuwa kuna Mungu kwa hoja ya kwamba A)wanajua hayupo huyo Mungu au B)hawajaona tu sababu za msingi za kuamini kuwepo Mungu?
Jibu ni B
 
Both Creation and Evolution Are theories

Tofauti ni kuwa In creation evidence is "Trust Moses Bro?" Na hakuna room ya kuquestion alichosema Paulo/Muhamad bali ni kukariri na kuamini hiko kitu bila evidence yoyote.

Lakini scientific theories zinabadilika pale new evidence inapopatikana na kuonekana kuiponga old theory.

Bigbang theory imebadilishwa mara nyingi sana kutokea ilipokuwa first proposed.
Hata evolution theory kila siku evidence mpya zinapatikana na kupinga old undestandings.
Mfano watu zamani waliamini kuwa Binadamu wa kwanza aliishi miaka laki2 iliyopita lakini new evidence imeonesha kuwa alikuwepo hata kabla ya hapo na imesogezwa saivi inaaminika ni miaka laki3 huko.

Kwahyo science and religion are both tools looking for ultimate truth but I would choose science because sayansi inatafuta evidence na kuthibitisha na kubadilika ikiona new evidence while religion ni mambo yasiyothibitika na hayabadiliki yani tunakaririshwa.
Kati ya dini na Sayansi kuna moja ni absolute truth na nyingine ni Thoughts.

Absolute truth, haina haja ya kubadilika.

Thoughts, huwa zinabadilika pale ambapo thoughts mpya zinapoibuka.

Kwa mantiki hiyo, Aliyeumba Dunia ndiyo ana Absolute Truth kuhusu existence ya kila kitu tunachokijua na vile vyote ambavyo hatuvijui... (Nje ya yule Aliyeumba hatuwezi kuja na Absolute Truth kuhusu existence ya Ulimwengu na vitu ambavyo vipo kwenye Ulimwengu kwa ujumla wake)

Thoughts, Sayansi ni thoughts kuhusu source ya vitu ambavyo vilishakuepo kwenye Dunia hii(hivyo Sayansi haina Absolute Truth kuhusu hivyo vitu) na ndiyo maana kwenye Sayansi zinapopatikana Thoughts mpya kuhusu jambo fulani ile thought ya zamani inawekwa pembeni.

Hata kwa akili ya kawaida tu, kati ya Aliyeunda Meli na Abiria nani anajua(Absolute Truth) ya Material na kila kitu kilichohitajika ili Meli iweze kuwepo na kufanya safari zake majini?!... Bila shaka anaejua ukweli halisi ni Muundaji wa Meli... Abiria yeye atatumia thoughts kufikiria kuhusu Asili na materials zote ambazo zilihitajika Ili Kuunda meli., Ambapo kwenye hizo thoughts anaweza akapatia au akakosea.

Tuendelee kuelimishana tu.
 
Kati ya dini na Sayansi kuna moja ni absolute truth na nyingine ni Thoughts.
Okay, samahani lakini kwenye hili jukwaa la intelligence nitakuoamba kidogo uwe careful na maneno unayochagua kutumia. Maana unaweza kushindwa kufikisha unachomaanisha kwa kutumia maneno yasiyostahili.
Unaposema hii ni absolute truth na ile ni thought ni kama umetenganisha kuwa thought ni kinyume cha absolute truth.
Lakini ni vitu viwili visivyolinganishwa. Ni sawa na Kusema Kuna aina mbili ya wanawake, wanawake wazuri na wanawake wafupi.
Umesahau kwamba kuna wanawake warefu na wabaya pia.

thought ni mawazo tu ya kichwani, Mawazo haya yanaweza kuwa absolutely true au absolutely false.
Unaweza ukawaza kuwa 1+1=2 hiyo ni thought lakini pia ni true.
Kwahyo thought sio kinyume cha absolute truth.
Absolute truth, haina haja ya kubadilika.

Thoughts, huwa zinabadilika pale ambapo thoughts mpya zinapoibuka.
Bado sijaelewa by thoughts unamaanisha nini? Mawazo? Maana mawazo anayo kila mtu kichwani na kuhusu kuyabadilisha ni uamuzi wa kila mtu kwa free will yake. Mwingine anaweza akabadili na mwingine akang'ang'ania ya zamani..kama wazee wanaokomaa kukeketa mpaka leo.
Kwa mantiki hiyo, Aliyeumba Dunia ndiyo ana Absolute Truth kuhusu existence ya kila kitu tunachokijua na vile vyote ambavyo hatuvijui... (Nje ya yule Aliyeumba hatuwezi kuja na Absolute Truth kuhusu existence ya Ulimwengu na vitu ambavyo vipo kwenye Ulimwengu kwa ujumla wake)
Kabla ya kurukia kuanza kunitajia sifa za huyu creator kuwa anajua hiki au anajua kile, anapenda hiki anachukia kile, anavaa nguo hizi havai zile, mguu wake uko hivi au mikono yake iko vile.

Kwanza tuanze mwanzo..Huyo creator umemuona? Umemthibitisha yupo?
Una ushahidi wa hilo?
Thoughts, Sayansi ni thoughts kuhusu source ya vitu ambavyo vilishakuepo kwenye Dunia hii(hivyo Sayansi haina Absolute Truth kuhusu hivyo vitu) na ndiyo maana kwenye Sayansi zinapopatikana Thoughts mpya kuhusu jambo fulani ile thought ya zamani inawekwa pembeni.
Ngoja niassume by thoughts unamaanisha theories. Maana kama nikisema unamaanisha scientific facts nitapotea. Maana hizi facts huwa hazibadiliki daima. Ni absolutely true.
Fact ni observation ya uhalisia, yaani ni nini kinachotokea kwe ye ulimwengu.
mfano wa scientific fact ni kuwa ukirusha chungwa juu lazima litadondoka chini kwasababu ya gravity.

ila theory sasa ni maelezo ya kwanini hiyo fact inakuwa hivyo
Kwa mfano wa hilo chungwa, ni theory ya kwanini Chungwa linadondoka Chini?
Newton alisema theory yake kuwa kila kitu chenye mass kina sumaku (gravitation force) ya kuvuta kitu kingine chenye mass. ila Einstein akaja kuonesha kuwa kinachotokea pale ni kuwa Mass inakunja space, na space iliyojikunja ndiyo huleta hiyo effect tunayoita gravity.

Kwahyo mkuu jibu ni Ndiyo, scientific theories zinabadilika, lengo ni binadamu kuukaribia ukweli zaidi. Tunaweza tusiifikie hiyo absolute truth (Na inaweza hata isiwepo) lakini atleast kupitia sayansi tunajitahidi kuikaribia kwa kupuuzia theories zinazofeli na kushika zile zinazokaribiana na uhalisia tunaouobserve.

Theory ya sayansi ikiwekwa mezani, wanasayansi dunia nzima huwa wanajifungia chumbani kujaribu kuidisprove na kuonesha uongo ndani yake.
Theory itakayoshindwa kuwa disproven yani itakayokwepa mishale mingi, ndiyo inasimama kama theory inayokubalika kwa wakati huo...Mpaka pale siku atakapojitokeza mtu wa kuidisprove au kuleta theory nyingine bora zaidi.

ila kwenye dini wanakalia na theory moja tu ya creation (uumbaji) lakini hawana hata chembe ya ushahidi wowote wa hiyo theory. And yes hata creation ni theory maana na yenyewe ni maelezo ya kwanini ulimwengu upo hivi tunavyouona leo.
Hata kwa akili ya kawaida tu, kati ya Aliyeunda Meli na Abiria nani anajua(Absolute Truth) ya Material na kila kitu kilichohitajika ili Meli iweze kuwepo na kufanya safari zake majini?!... Bila shaka anaejua ukweli halisi ni Muundaji wa Meli... Abiria yeye atatumia thoughts kufikiria kuhusu Asili na materials zote ambazo zilihitajika Ili Kuunda meli., Ambapo kwenye hizo thoughts anaweza akapatia au akakosea.
Huko kwenye meli ni mbali kwasababu hapo wewe tayari umeshahitimisha kuwa hiyo meli lazima kuna aliyeiunda.

Kabla ya kusema huu ulimwengu aliyeuunda ndo anaujua Tuanze kwanza kujiuliza, je huu ulimwengu umeundwa?
 
Okay, samahani lakini kwenye hili jukwaa la intelligence nitakuoamba kidogo uwe careful na maneno unayochagua kutumia. Maana unaweza kushindwa kufikisha unachomaanisha kwa kutumia maneno yasiyostahili.
Unaposema hii ni absolute truth na ile ni thought ni kama umetenganisha kuwa thought ni kinyume cha absolute truth.
Lakini ni vitu viwili visivyolinganishwa. Ni sawa na Kusema Kuna aina mbili ya wanawake, wanawake wazuri na wanawake wafupi.
Umesahau kwamba kuna wanawake warefu na wabaya pia.

thought ni mawazo tu ya kichwani, Mawazo haya yanaweza kuwa absolutely true au absolutely false.
Unaweza ukawaza kuwa 1+1=2 hiyo ni thought lakini pia ni true.
Kwahyo thought sio kinyume cha absolute truth.

Bado sijaelewa by thoughts unamaanisha nini? Mawazo? Maana mawazo anayo kila mtu kichwani na kuhusu kuyabadilisha ni uamuzi wa kila mtu kwa free will yake. Mwingine anaweza akabadili na mwingine akang'ang'ania ya zamani..kama wazee wanaokomaa kukeketa mpaka leo.

Kabla ya kurukia kuanza kunitajia sifa za huyu creator kuwa anajua hiki au anajua kile, anapenda hiki anachukia kile, anavaa nguo hizi havai zile, mguu wake uko hivi au mikono yake iko vile.

Kwanza tuanze mwanzo..Huyo creator umemuona? Umemthibitisha yupo?
Una ushahidi wa hilo?

Ngoja niassume by thoughts unamaanisha theories. Maana kama nikisema unamaanisha scientific facts nitapotea. Maana hizi facts huwa hazibadiliki daima. Ni absolutely true.
Fact ni observation ya uhalisia, yaani ni nini kinachotokea kwe ye ulimwengu.
mfano wa scientific fact ni kuwa ukirusha chungwa juu lazima litadondoka chini kwasababu ya gravity.

ila theory sasa ni maelezo ya kwanini hiyo fact inakuwa hivyo
Kwa mfano wa hilo chungwa, ni theory ya kwanini Chungwa linadondoka Chini?
Newton alisema theory yake kuwa kila kitu chenye mass kina sumaku (gravitation force) ya kuvuta kitu kingine chenye mass. ila Einstein akaja kuonesha kuwa kinachotokea pale ni kuwa Mass inakunja space, na space iliyojikunja ndiyo huleta hiyo effect tunayoita gravity.

Kwahyo mkuu jibu ni Ndiyo, scientific theories zinabadilika, lengo ni binadamu kuukaribia ukweli zaidi. Tunaweza tusiifikie hiyo absolute truth (Na inaweza hata isiwepo) lakini atleast kupitia sayansi tunajitahidi kuikaribia kwa kupuuzia theories zinazofeli na kushika zile zinazokaribiana na uhalisia tunaouobserve.

Theory ya sayansi ikiwekwa mezani, wanasayansi dunia nzima huwa wanajifungia chumbani kujaribu kuidisprove na kuonesha uongo ndani yake.
Theory itakayoshindwa kuwa disproven yani itakayokwepa mishale mingi, ndiyo inasimama kama theory inayokubalika kwa wakati huo...Mpaka pale siku atakapojitokeza mtu wa kuidisprove au kuleta theory nyingine bora zaidi.

ila kwenye dini wanakalia na theory moja tu ya creation (uumbaji) lakini hawana hata chembe ya ushahidi wowote wa hiyo theory. And yes hata creation ni theory maana na yenyewe ni maelezo ya kwanini ulimwengu upo hivi tunavyouona leo.

Huko kwenye meli ni mbali kwasababu hapo wewe tayari umeshahitimisha kuwa hiyo meli lazima kuna aliyeiunda.

Kabla ya kusema huu ulimwengu aliyeuunda ndo anaujua Tuanze kwanza kujiuliza, je huu ulimwengu umeundwa?
Yes nipo makini na Maneno niliyochagua kuyatumia kwenye kuelezea hoja yangu.

Ipo hivi, Absolute Truth maana yake hakuna namna unaweza kuja na hoja ya kupinga ukweli ambao hauna shaka kabisa 100%.

Lakini kwa upande wa fikra(Thoughts),.. unaweza ukaja na hoja ya kupinga maana fikra sio lazima iwe kweli so kunakua na room ya kukosoa fikra fulani endapo utahisi una strong arguments dhidi ya hiyo fikra... Kwa mantiki hii ni kwamba Hizo Scientific Theories &facts zinaanzia kwenye Thoughts(fikra) na ndiyo maana kuna kua na room ya kukosoa.
Ipo wazi kabisa kwamba inawezekana Theories za kina Newton & Einstein miaka inayokuja zikakosolewa na watu wa vizazi vijavyo endapo watafanya research na kugundua vitu tofauti na watangulizi wao kina Einstein.

Okay, Tuanze kwa kujiuliza Je,... Ulimwengu umeundwa?

Mimi kwa upande wangu naona Ulimwengu umeundwa,... Nasema hivi kwasababu Ulimwengu upo Systematic &not random..... Jinsi vitu vinavyo operate kuanzia Angani mpaka ardhini na viumbe mbalimbali nikiwaangalia jinsi walivyo, binafsi hainiingii akilini kwamba Ulimwengu umetokea bila ujuzi wowote kuhusika kwenye kuweka mpangilio huu.

Wewe kwanini unaamini Ulimwengu haujaundwa?

Swali la nyongeza.., Hivi mfano kwa mtazamo wako JICHO la binadamu lilivyo linaweza kuwa kwenye muundo huu bila ujuzi (knowledge)wowote kutumika?
 
Mkuu fikra ni wazo tu kichwani. Hata ukifikiria kuwa Mungu yupo hiyo ni fikra , na hata ukifikiria Mungu hayupo hiyo nayo ni fikra. Fikra inabaki kichwani tu.

Fikra ni chombo tu ambacho ubongo hutumia kuwasilisha ujumbe.
Ujumbe unaweza kuwa wa kweli au sio wa kweli.
Fikra ni kama kioo tu kunachojaribu kuuigiliza uhalisia na kuuwasilisha kwenye consciousness yetu.

Kwahyo hamna maana katika kujadili kuwa fikra zinabadilika au hazibadiliki.
Fikra sio kitu wananayansi wanakaa kupinga au kutoipinga Maana fikra zinatengenezwa na kubakia kichwani tu.

Kwamfano ukifikiria kichwani ''The sky is blue" Hiyo fikra itabaki tu kichwani lakini uhalisia wa Sky kuwa Blue utabaki pale pale hata kama wewe ukifikiria kichwani "The sky is red"
Fikra haitengenezi uhalisia ila inauakisi.

kila kitu tunachofanya voluntarily kinaanzia kwenye fikra. Hata wewe kusoma haya maandishi lazima umefikiri.
Sasa ishu ni je, yale mawazo kwenye kioo(ubongo) yanaakisi vitu vilivyopo kwenye uhalisia au la?

Hapo kwenye uhalisia ndiyo tunaongelea theories, facts...Kinyume chake ni false theories and false facts(lies)

Na hizi facts nimekuambia ni absolute truth yani ni observation ya kisayansi tunayoiona kwenye ulimwengu.

Moto unaunguza-Hii ni fact na tumeiobserve kwenye nature time and time again. Kwahyo hata ukifa ukafufuka miaka milioni 7 ijayo bado moto utakuunguza.

Theories ndio maelezo ya kuielezea kwanini hiyo fact inatokea. Kwanini moto huunguza na sio kuleta baridi.

Sasa hayo maelezo(Theory) Ndiyo huweza kubadilika kulingana na gunduzi mpya.

Tuachane kwanza na mjadala wa systematic au random maana ni mpana pia.
Haya tuassume ni systematic...Hiyo inaprove vipi uumbaji?
Maana hapo tayari umeassume kuwa kila system lazima imeundwa. Una uthibitisho wa hilo?
Umeona system zote ulimwemguni?

Hata mawimbi ya bahari yako systematic kupanda na kushuka lakini molecules za H20 kwenye bahari zinamove very randomly na hazijui chochote kuhusu mawimbi ya bahari.
Kwahyo system au order inaweza kuevolve kutokea kwenye randomness.

Wewe kwanini unaamini Ulimwengu haujaundwa?
Mimi sijui kama ulimwengu umeundwa au haujaundwa. Mimi sipo kuamini, bali nipo hapa kujua.
Swali la nyongeza.., Hivi mfano kwa mtazamo wako JICHO la binadamu lilivyo linaweza kuwa kwenye muundo huu bila ujuzi (knowledge)wowote kutumika?
Yes inawezekana kupitia evolution.
(Hii ni option nyingine nimekupa, simaanishi kuwa huo ndio ukweli ninaouamini)
 
Nadhani hujaelewa namaanisha Nini nilivyosema Sayansi Ilianza kwa fikra.

Yaani ipo hivi Sayansi ni zao la Fikra, kwasababu Theories nyingi zilianza na swali(wazo/fikra) mfano Newton alijiuliza kwanini kitu kikiruka/kurushwa juu kinarudi chini?

Hiyo tayari ni fikra/wazo lilimjia kwenye akili yake akaamua kulifanyia kazi na kuleta theory ambayo ni Useful kwenye Ulimwengu huu wa Sayansi & teknolojia.

sasa concern yangu ni kwamba wazo la mtu halipo guaranteed kwamba ni kweli 100%, na ndiyo maana Most of Scientific Theories zinakua criticized kwasababu kunakua na kasoro kadhaa ndani yake.

Kwa maana Hiyo fikra au mawazo ya Binadamu hayawezi kuelezea ukweli halisi(Absolute Truth) wa mambo yalivyo kwenye Ulimwengu huu kwa asilimia 100% kutakua na some errors.

Kwa mantiki hiyo kwa kuwa Mimi naamini kuna Muundaji wa Ulimwengu,.. basi Yeye Muundaji ndiyo anajua 100% facts kuhusu Ulimwengu,.. though hiyo haimaanishi kwamba Watu tuache kudadisi kwa fikra zetu Physical laws that govern the Universe.

kuhusu Hilo swali nililokuuliza kwamba, Je Jicho na components zake zote zinaweza kuwa kwenye muundo huu ulionao bila ya ujuzi (knowledge) yoyote kutumika...... Umesema inawezekana lakini hujui inawezekana vipi so inaonekana umeamua kuamini tu kwamba inawezekana japo kiuhalisia haiingii akilini.

Au Jaribu kuuliza Artificial intelligence kama ChatGPT Hilo swali kuhusu Jicho uone itakujibu vipi.. (Kaulize hivi, Is it possible for human eye &ear and their components to exist without any knowledge to be used)👇🏼

The existence and functioning of the eye and ear require a vast amount of knowledge encoded in the genetic material, which guides the development and design of these complex organs. Without this knowledge, it would not be possible for these organs and their components to exist in their intricate and functional form.
 
Sasa mbona wanaongea kwa kujiamini kuwa hakuna Mungu? Uhakika huo wanautoa wapi?
Hao wanaoongea hivyo ni antitheists.
Atheism inaishia kutokuwa na imani ya Uwepo wa Mungu
Imani ya nyongeza ya kuwa mungu hayupo, ni nyongeza ambayo haitakiwi kunasibiwa na atheism
 
.Kwa maana Hiyo fikra au mawazo ya Binadamu hayawezi kuelezea ukweli halisi(Absolute Truth) wa mambo yalivyo kwenye Ulimwengu huu kwa asilimia 100% kutakua na some errors.,...
Kwa mantiki hiyo kwa kuwa Mimi naamini kuna Muundaji wa Ulimwengu,.. basi Yeye Muundaji ndiyo anajua 100% facts kuhusu Ulimwengu
Hata hizo postulates zako kuwa
1)kuna muundaji wa ulimwengu
2) Huyo muundaji anazijua facts za ulimwengu

Hizi nazo ni thoughts zako.
Na kama tukifuata logic yako kuwa mawazo ya mwanadamu hayawezi kuelezea absolute truth, Basi hata hayo mawazo yako kuhusu uwepo wa Mungu hayawezi kuwa absolute truth.

Or atleast hatutakiwi kuyachukulia kama absolute truth
 
Yes ni thoughts zangu, na ni maamuzi yako either kuyaweka kwenye Absolute Truth au Absolute Lies , Na inahitaji kuamini (Imani) kwamba kuna Muundaji wa Ulimwengu aliyeleta everything into Existence.....kama hauamini basi endelea na msimamo unaouona ni sahihi kwa upande wako.

Let's agree to disagree.💯
 
Hao wanaoongea hivyo ni antitheists.
Atheism inaishia kutokuwa na imani ya Uwepo wa Mungu
Imani ya nyongeza ya kuwa mungu hayupo, ni nyongeza ambayo haitakiwi kunasibiwa na atheism
Mkuu hiyo maana ya Atheism huwa ni tofauti na atheists kwenye uhalisia wao au labda tuseme kwa humu JF sijaona atheists asiyedai hakuna Mungu.
 
Sijasema ninavithibitisho vyovyote kuhusu uwepo wa Mungu wangu.

Sinaaaa

Kwasababu nikiwa naongea nae wewe huwezi kusikia.

Wewe huyo rafiki yako uliyekua unaongea nae kakupa nini ?? Maana mimi wakwangu kuna vitu vingi sana kanipa.
Kumekucha kumekucha...
 
Back
Top Bottom