Atheists wana mtindio wa ubongo

Universe iliform from a singularity, ika explode, ndio big bang hio. Kama atomic bomb inavowork.

Kwa observation za sasa hakuna theory inayopingana na hio maana bado universe inaonekana kuexpand kutokana na ile BANG!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh... [emoji2365]

Kwahio unataka kusema dunia haizunguki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu nieleze huyo Albert Michelson alithibitishaje kuwa dunia haizunguki na kumpinga Albert Einstein?

Tulelezee vizuri hapo tujifunze maana nina maswali mengi sana
 
Ukiangalia vizuri nacho kiandika na jinsi unavyokuja kujibu bila shaka utaona tatizo lipo kwako

Nisome vizuri hapa kwa umakini

Mimi nakubali hoja ya nyumba kwasababu nina acknowledge ya nyumba, ni kitu ambacho nina experience nacho kwa hiyo nina uthibitisho wa hilo jambo.

Kwa hiyo nikitoka nje ya mazingira hayo ambayo nimezungukwa na nyumba nikaenda sehemu ngeni ambayo sijawahi kufika.

Nikiwa huko nikaona nyumba, nitajua tu hii ni nyumba kupitia reference ya mazingira nilikotoka.

Hivyo kufikiria kuwa nyumba hiyo ina mjenzi ni wazo sahihi kulingana na experience niliyonayo kuhusu nyumba.

Sasa mchukue mtu ambaye amekuwa anaishi porini hajui nyumba, amekuwa akiishi na manyani miaka yote.

Huyo mtu akiiona nyumba, hawezi kuwa na ufahamu kujua kuwa hii ni nyumba. Kwake kinaweza kuwa ni kitu strange ambacho akitafsiri kwa namna nyingine tofauti na mtu ambaye ana uzoefu na nyumba.

Kwasababu Hana references na experience itayomfanya afikirie hii ni nyumba na inajengwa na mjenzi.

Sasa wewe ukisema huu ulimwengu umeumbwa, hoja yako unaijenga kwa kurejea wapi?

Kuna record gani zilizowahi kutokea kuonesha jinsi ulimwengu ukiumbwa ili iwe rahisi kuweka mawazo kama hayo katika ulimwengu huu?

Vipi kama ulimwengu hauumbwi?
 
Maana yake uhalisia na ndiyo unao hukumu huu.

Ndiyo maana nilikwambia huko mwanzo kwa hali hiyo hakuhitajiki mtu kupewa ushahidi ya kuwa baba ni mkubwa kiumri kuliko mtoto, sababu uhalisia wa kimaumbile Usha hukumu na jambo ni lenye kujulikana.
Uhalisia bila awareness ni kujidanganya

Awareness ndio inayotangulia

Hilo swala la baba na mtoto nilikuuliza swali, kama huhitaji ushahidi niambie unajuaje kuwa baba ni mkubwa kuliko mtoto?

Ni njia gani uliyotumia kujua baba ni mkubwa kuliko mtoto?
 
Ulimwengu upo

Je kuna record gani inayoonesha kuwa kuna ulimwengu uliwahi kuumbwa ili wewe ufikirie kuwa huu ulimwengu unahitaji muumbaji?
 
Hatua ya mwanzo nimeieleza Mimi na ndipo msingi wa swali ulipo. Wewe unakuja kuleta mambo ambayo hausiani. Msingi wa swali umemili kwenye uhalisia.
 
Ulimwengu upo

Je kuna record gani inayoonesha kuwa kuna ulimwengu uliwahi kuumbwa ili wewe ufikirie kuwa huu ulimwengu unahitaji muumbaji?
Ndiyo maana nikasema hivi hakuna haja ya kuwepo kingine ili uthibitishe kingine, ndiyo maana naongelea uhalisia. Nilikuuliza kulingana na ulichokidai kuwepo backup. Kwamba Kuna ulimwengu mwingine ambao ulishawahi kuwepo ili hoja yako iwe kweli kwamba Muumbaji hayupo ?
 
Ulimwengu upo

Je kuna record gani inayoonesha kuwa kuna ulimwengu uliwahi kuumbwa ili wewe ufikirie kuwa huu ulimwengu unahitaji muumbaji?
Safi, imekuwaje ulimwengu ukawepo ? Je umetokea pasi na chochote au umejiumba ? Hakuna swali lingine zaidi ya haya mawili. Jibu swlai hili.

Kwa vipi kitokuwepo kwa rekodi kuonyeshe ya kuwa ulimwengu haujaumbwa ? Unauliza swali la uongo ambalo linaenda kinyume na uhalisia.
 
Kama huna backup inayokusapoti basi utakosa authenticity ya kusema habari za kuumba/kuumbwa
Hujaonyesha haja ya ulazima wa kuwepo backup kijana. Hili Bado unalazimisha. Maana yake kutokuwepo kwa backup Kuna hitimisha nini juu ya ulimwengu kwamba haujaumbwa ? Kama haujaumbwa umejiumba wenyewe au umetokea pasi na chochote ? Jibu hili swali.

Nataka uonyeshe ulazima wa kuwepo kwa hiyo backup.
 
Jibu swali nililo kuuliza.
 
Wewe unayesema ulimwengu umeumbwa, wapi uliwahi kushuhudia ulimwengu ukiumbwa ili iwe rahisi kufikiri huu ulimwengu nao uliumbwa?
Hili ni swali la kitoto sana. Sijakuwepo ila uhalisia unaonyesha ulimwengu umeumbwa na kupangiliwa mpaka ukawa hivi ulivyo. Kadhalika aliye umba amethubitisha Hilo Toka kwenye vitabu vyake.

Sasa wewe onyesha kinyume chake, na utonyeshe ukweli wa madai yako.
 
Umejuaje kwamba hivo ni vitabu vyake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea haya sababu una mapokeo ya dini.Ushswahi kujiuliza vipi walioleta dini huku kwetu afrika wasingefika,ungekua na imani gani kumuhusu mungu now??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…