Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Universe iliform from a singularity, ika explode, ndio big bang hio. Kama atomic bomb inavowork.Kijana haya unayo andika hayana maana, naandika kwa Kiswahili chepesi sana. Nyumba inaweza kujijenga au kutokea pasi na chochote ?
Siyo lazima uwe na uzoefu na kitu ndiyo ujue hakika yake. Uwepo wa kitu husika huonyesha uwepo wa mengine.
Kuna ulimwengu ngapi kijana ? Hili sharti la ku experience kitu ndiyo ujue uhakika wa mambo umelipata wap I? Sababu ni sharti mfu mno na halifanyi kazi katika uhalisia ndiyo maana nikasema hivi huna hoja unaleta utoto.
Siyo lazima uwe na backup, unapo ona uwepo wa nyumba kujua uwepo wake unahitajika kuwa na nini ? Kwahiyo wewe unapo dai Mungu hayupo ushawahi ku experience kutokuwepo kwa Mola katika ulimwengu (kama upo huo ulimwengu ) mwingine ?
Kwa observation za sasa hakuna theory inayopingana na hio maana bado universe inaonekana kuexpand kutokana na ile BANG!
Sent using Jamii Forums mobile app