Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Hebu nitajie hao mmoja mmoja unaavyowaelewaYeye yupi?
Allah, Yahweh, Yehova, Enlil, Euplois, Euros , Eurybe,Euryleia, Euterpe, Fates,Fortuna, Gaia, Gaieokhos, Galea, Gamelia, Gamelios, Gamostolos, Genetor, Genetullis, Geryon, Gethosynos, giants, Gigantophonos, Glaukopis, Gorgons, Gorgopis, Graiae, griffin, Gynaikothoinas, Gynnis, Hagisilaos, Hagnos, Haides, Harmothoe, harpy, Hegemone, Hegemonios, Hekate, Hekatos, Helios, Hellotis, Hephaistia, Hephaistos, Hera, Heraios, Herakles, Herkeios, Herme nk.
Kwahiyo universe ndio mbinguni?[emoji23][emoji23][emoji23]
Unafahamu the universe keeps expanding for every second that goes by?
Sijui mkuu, hiyo universe tunaijua kwa kiasi gani kwanza? Nina hakika hata theluthi haijafikaKwahiyo universe ndio mbinguni?
Kwahiyo wakifa wanaenda wapi? Au inakuwa imeisha?Halafu kulingana na biblia, mtu anapokufa haendi mbinguni wala motoni.... hizi zilikua ni imani za kale (kabla ya ukristo) ambazo wakristo walizichanganya katk ukristo wao. Same goes kwa siku za kufanya ibada, siku ya x-mas
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikupangii, sifa za Mungu wako ndio zinazo ku limit wewe usiandike hoja kama hiyoMkuu unanipangia na hoja kuendana na matakwa yako?
Simpangii ila ni kwa mujibu wa sifa zake, hana sababu ya kuumba ulimwengu wa aina hiyoWrong Question
Kwanini aumbe ulimwengu ambao ili kiumbe kimoja kisurvive lazima kingine kife?
Unampangia Mungu?
Safi unaonesha una akiliSikupangii,
Ni nani kasema?😂 mbona unanipangia tenasifa za Mungu wako ndio zinazo ku limit wewe usiandike hoja kama hiyo
Mungu mwenye upendo wote hutakiwi kumuelezea katika namna yeyote inayoonesha ubaya.
AlaaMungu mwenye upendo wote hawezi kuruhusu dhana ya "mwenye nguvu ndiye aishi" (only the strong will survive)
Wewe sio wa kupanga, hapo ulipo huwezi hata kutengeneza system yenye mfano wake unapata wapi uhalali wa kumpangia kwamba lazima awe ABC ndio awe hiviA loving God wouldn't create such world where living species have to eat other species to survive
Hana sababu kivipi?Simpangii ila ni kwa mujibu wa sifa zake, hana sababu ya kuumba ulimwengu wa aina hiyo
Nani kasema analazimika na chochote?Mungu mwenye upendo wote, hiyo ndio sifa ambayo inamlazimu aumbe ulimwengu usiohitaji kiumbe kingine ki-survive lazima kingine kife.
Macho mkuu yatadhibitisha.Kama upo au la???Kipi kitadhibitisha kwamba upepo upo au aupo?
Hili swali hakuna mtu yoyote JF anaeweza kulijibu.Ni swali la kisomi mno ukilichambua kiundaniYeye yupi?
Allah, Yahweh, Yehova, Enlil, Euplois, Euros , Eurybe,Euryleia, Euterpe, Fates,Fortuna, Gaia, Gaieokhos, Galea, Gamelia, Gamelios, Gamostolos, Genetor, Genetullis, Geryon, Gethosynos, giants, Gigantophonos, Glaukopis, Gorgons, Gorgopis, Graiae, griffin, Gynaikothoinas, Gynnis, Hagisilaos, Hagnos, Haides, Harmothoe, harpy, Hegemone, Hegemonios, Hekate, Hekatos, Helios, Hellotis, Hephaistia, Hephaistos, Hera, Heraios, Herakles, Herkeios, Herme nk.
Hakushindwa ndio maana akaumba pepo au alishindwa na ndio maana akaumba pepo?Hakushindwa ndiyo maana kaumba pepo
Huko zipo raha zote unazoweza fikiria hakuna tabu, machungu, huzuni wala lolote lenye kukuudhi
According to scriptures, Heaven cannot guarantee safe.Hakushindwa… Nimekwambia kuna pepo ambapo huko hakuna tabu ila ili uingie sharti umuamini na ufanye mema
Wewe ndio una huruma sana na viumbe kuliko aliyeviumba?
Biblia inasema kua mtu ukifa ndio habari yako imeishia hapo. Halafu mwisho wa siku atashuka yesu aje kufufua watu. Pia inaendelea kusema kua 'nafsi itaonja umauti' kwa maana hio kila mtu atakufa!Sijui mkuu, hiyo universe tunaijua kwa kiasi gani kwanza? Nina hakika hata theluthi haijafika
Maarifq yetu kuihusu bado madogo sana
Kwahiyo wakifa wanaenda wapi? Au inakuwa imeisha?
Hakushindwa mkuuHakushindwa ndio maana akaumba pepo au alishindwa na ndio maana akaumba pepo?
Safi, kwahiyo unakubali uwepo wake? Maana tayari unahoji sifa zake tayari upo halfway kukiri uwepo wakeHapa tunahoji kupitia sifa zake.
Nani kasema? Nani wa kumpangia eti “hakupaswa” nani ameset hiyo standard kuwa ni lazima Mungu abehave hivi na vile?Mungu mwenye upendo wote hakupaswa kuwa na kazi chafu sehemu yeyote ile haijalishi ni ulimwenguni au wapi
Well, inategemea hiyo story umeitoa wapi?By the way huko mbinguni unakokutaja kuwa ni sehemu nzuri na salama tunazo stori zake kuhusiana na vita iliyopigwa huko juu kati ya Mungu na shetani
Inategemea na source yakoKwa records za vitabu vya dini tangu kuumbwa kwa ulimwengu na mbingu, vita ya kwanza kupigwa ilikuwa ni ile ya Mungu na shetan
Hiyo vita inategemea na source yako😂So kabla ya kuanza kutusimulia habari za mema ebu tuelezee iliwezekanaje hiyo vita kufanyika huko sehemu tukufu kiasi cha wewe kujifariji kuwa huko ni sehemu safe?
Haijalishi ni kwa kiwango kidogo ubaya unafanyika.Huyu mbu anaua mamilioni ya watu sasa pata picha combination ya mbu, simba, Dinasour na viumbe wengine hatari
Hebu fikiria kidogo
Kwa hiyo unakubaliana na mimi kuwa kwa kuamua mabaya yafanyike ni wazi hana upendo wote?Sio tunasema
Ndiyo uhalisia
Yeye muweza yote asiyepangiwa na yoyite ameamua dunia iwe hivi halafu mbinguni iwe vile
Hakuna wa kubadili hilo mkuu
Elewa nilichokiandika, napinga sharti unalo liweka. Sasa kama hata unachokiandika hukielewi hili ni tatizo lako.Kama hakuna haja ya kuwepo kingine ili uthibitishe kingine niambie unawezaje kuthibitisha Mungu yupo bila kutegemea kitu kingine?
Ww kipindi wanafundisha jiografia ulkua unalala tu darasani?Kipi kitadhibitisha kwamba upepo upo au aupo?
You got me wrong😂😂😂
Unafahamu the universe keeps expanding for every second that goes by?
Uthibitisho ni upi labda mkuu?Mtu anaepinga kua jua halizami matopeni usiku ndio hana akili? Em kueni serious basi [emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unaponukuu weka na vifungu ili iwe unaenda kisomi mzeeBiblia inasema kua mtu ukifa ndio habari yako imeishia hapo. Halafu mwisho wa siku atashuka yesu aje kufufua watu. Pia inaendelea kusema kua 'nafsi itaonja umauti' kwa maana hio kila mtu atakufa!
Anhaa kumbe itaendelea…Hapo sasa atapuliza parapanda na watu wote watafufuliwa, wa makaburi ya ukumbusho, maskini, matajir... wote watafufuliwa halafu hukumu itaanza...
Kwahiyo wadhambi watakufa tena😂Walio tenda mabaya ktk uhai wao adhabu yao itakua ni kifo (warumi 6:23). Hivo kama ni mtenda dhambi hutauona ufalme wa mungu.
Watenda mema watauona ufalme wa mungu. Watapewa uzima wa milele (notice hapa bado ni duniani, baada ya kila mtu kufufuliwa). Ni duniani hapahapa ila Kutakua hakuna vita, hakuna njaa, hakuna magonjwa, hakuna kifo. Hii ndio paradiso mungu aliokusudia mwanadamu kuishi, kabla ya adam na eva kufuck up! Summary ndogo tu hio...
Nani alitunga?Mambo ya jehanam na mbingun kuna mahal hizo story zilitokea, sanasana kwenye dini/imani za wagiriki ila sio biblia. Hata shetani haitwi lucifer, kulingana na biblia. Ukifuatilia mambo yote haya, historia yake utaona kabisa ni vitu vilitungwa tu, sio kwamba vilitoka kwa higher power... lol.