Atheists wana mtindio wa ubongo

"Skiliza mkuu Mungu ni mkuu"

So mi na Mungu wote ni wakuu

Swali langu hujajibu

Kwani huu umeumbwa na Mungu mwenye hana sifa za upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote?.

Mpaka uwe hivi ulivyo?
 
You got me wrong

My question was not about how universe expanding

Huko mbinguni unakosema watu wataenda kuna kilomita ngapi za mraba kutosha watu bilion zaidi ya 7?
Ndiyo nakwambia kwakuwa the universe keeps expanding chances are there’s plenty of spaces probably we’ll never be able to fill

Sio suala la km ngap za mraba, look at the sky huwezi hata pata picha?
 
Uhalisia upo hauhitaji ushahidi kama uwepo wa Dunia, uwepo wako na mfano wa hivi.

Uhalisia ni uwepo wa kitu kama kilivyo.

Uhalisia umeonyesha ulimwengu umeumbwa kwa uwepo wake,nidhamu ilivyo, uhalisia na kutowezekana kwake kujiumba au kutokea pasi na chochote.

Taurati, Zaburi,Injili na Qur'aan.

Sijasoma hakuna kutumia vitu vingine elewa nilichokiandika kijana, sababu hata naposema "Self Evident Truth" ujue Kuna vingine vinaonyesha uwepo kingine. Nachopinga Mimi ni Hilo sharti lako la kuexperince kwa namna unavyo elezea wewe Kuna kuwa hakuna maana. Sasa soma ninachokiandika Mimi juu ya vingine na unachoandika wewe juu ya vingine. Vitu viwili tofauti.
 
According to scriptures, Heaven cannot guarantee safe.

Vita ya kwanza ilianzia huko huko

Kwa maana hiyo ni kwamba pepo sio sehemu salama ambayo mabaya hayawezi kufanyika

So rudi tena jibu swali langu vizuri
Which scripture?

Maana ulitaja unaowaita Miungu nimeomba ufafanuzi mpaka sasa sijapata
 
"Skiliza mkuu Mungu ni mkuu"

So mi na Mungu wote ni wakuu
Haiwezekani, wewe sio mkuu pengine kuwazidi hata watu Bilioni 7 tulipo duniani

JF kila mtu tunamheshimu kumuita Mkuu hayo maneno yasikubabaishe ni semantics tu
Swali langu hujajibu
Nimekujibu ila tu hujapenda jibu langu
Kwani huu umeumbwa na Mungu mwenye hana sifa za upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote?.

Mpaka uwe hivi ulivyo?
Mungu hapangiwi aumbaje, hawajibiki kwako wala kwa yoyote, hahitaji ushauri wala maoni yako ktk uumbaji wake, hahitaji confirmation yako aumbaje, anafanya anavyotaka, yeye ndiye mwenye nguvu kuliko kitu au mtu yoyote unaemfahamu au usiyemfahamu

Na ndiyo yeye kaumba haya yote
 
Vitu vilitungwa tu. Imani ilianzia pale watu walivokua hawana majibu ya maswali yao. Haswa lile la "tumetokana na nini"

Kumbuka zaidi ya 90% ya historia ya binadamu imepotea/haikutunzwa. Ila kidogo tunachojua ni kua, kulikua na imani/dini nyingine mbali na hizi za kiabraham (ukristo, uislam na uyahudi). Kila watu walikua wanatunga dini zao, hata waafrika sisi tulikua na dini zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nitajie hao mmoja mmoja unaavyowaelewa
Hiyo ni short list ya Miungu kuna zaidi ya hapo nimefanya tu kufupisha.

Siwezi kukutajia mmoja kwasababu wote siwajui hivyo kama kwenye hiyo list kuna Mungu wako mchague halafu unipe sababu kwanini hao 4,999 wawe ni Miungu ya uongo
 
Vitu vilitungwa tu. Imani ilianzia pale watu walivokua hawana majibu ya maswali yao. Haswa lile la "tumetokana na nini"
Hujajibu swali

Nani katunga?
Kumbuka zaidi ya 90% ya historia ya binadamu imepotea/haikutunzwa.
Hizi asilimia umezitoa wapi???
Ila kidogo tunachojua ni kua, kulikua na imani/dini nyingine mbali na hizi za kiabraham (ukristo, uislam na uyahudi). Kila watu walikua wanatunga dini zao, hata waafrika sisi tulikua na dini zetu.
Ni kweli.
 
Hiyo ni short list ya Miungu kuna zaidi ya hapo nimefanya tu kufupisha.
Sitaki ndefu nimeuliza hii hii fupi unieleze unavyowajua
Siwezi kukutajia mmoja kwasababu wote siwajui hivyo kama kwenye hiyo list kuna Mungu wako mchague halafu unipe sababu kwanini hao 4,999 wawe ni Miungu ya uongo
Alaa sasa huwajui unatoa wapi nguvu ya kuwaweka hapa?

Vipi kama hayo ni majina ya wahuni wauza matikiti waliopo kule Igunga?

Mbona unafanya mambo ya kihuni mkuu?
 
Mifano ya kitoto sana....
Au una ntindio wa ubongo...?

Alaye pika pila anajulkkana na anaonekana ( ushahidi upo).

Engineer aliye tengeneza gari zuri, yupo na ushahidi upo.

Je..

Yuko wapi aliye umba hii dunia..?
Yuko wapi aliye muumba binadamu...?

Ushawahi kumuona, au ni imani tu...? Kam ni imani yako tu, tuliza mshono.


Elewa haya mambo ya imani yasi kuzuzue na kujiona upo sahihi.

We amini unacho kiamini.
 

Siyo sababu ya kiuzoefu tunasema uhalisia yaani kawaida jambo liko hivyo ukisema uzoefu, kwenye huwa kunakukosea na mapungufu kwenye uhalisia hakuna kukosea.

Sijawahi kuona ukiumbwa, ila Nina ushahidi wa kuonyesha uliumbwa, kadhalika uhalisia.

Sasa wewe tuambie Dunia imekuwaje ikawa hivi ulivyo.
 
Sio expectations zangu, bali ni yeye kufanya kulingana na sifa zake

Mungu mwenye upendo wote hawezi kuumba ulimwengu wenye kuruhusu mabaya. Hana sababu ya kufanya uumbaji wa dizaini hiyo

Labda kama hana uwezo wote

Kama anauwezo wote wa kuumba ulimwengu bora usioruhusu mabaya basi lazima hilo liwezekane

Labda kama hana ujuzi wote wa kujua ni sehemu gani ubaya unaweza ukapenya ukavuruga kazi yake na kufanya viumbe wake wadhurike.

**********************

Kazi yeyote ambayo inaonesha tatizo au kupingana na sifa hizo hapo juu basi haijaumbwa na Mungu mwenye sifa hizo.
 
Utasemaje kuwa kitu fulani kimeumbwa wakati hakuna records yeyote iliyowahi kutokea kuonesha uumbaji upo ili kui support kauli yako?
Hakuna record wakati wakati Nina ushahidi wa kimaandiko. Kijana uwe unasoma ninacho kiandika.
 
Ina maana Mungu hawezi kufanya anavyo vitaka bila kuhusisha ubaya?
 

Hili ni jambo la kimaumbile tayari lipo yaani uhalisia. Hii siyo dhana kijana bali ni hakika isiyo kuwa na shaka. Kwenye uwepo wa kitu hutoki nje ya hali hizo mbili, aidha kusanifiwa (kuumbwa, kutengenezwa) na kinyume chake au kuwepo pasi na chochote na hivi viwili haviwezekani.

Mifano Iko mingi sana angalia uwepo wa gari, simu, nyumba na mingine. Kufumba ni kufanya kile ambacho hakipo kikawepo. Kile kinachokuwepo ndiyo kimeumbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…