Siyo hatutaki,Bali ukishakiri Pana mjenzi wa dunia kinachofuata tumtafute huyo mjenzi ni yupi..Kisha tutajia chanzo chake,mdahalo hapa ni uwepo wa mjenzi wa ulimwengu (universe)Palikua na mjenzi ndio, na huyo mjenzi ana chanzo chake Kwa maana kwamba ana waliomzaa sasa vipi kuhusu huyu mjenzi wa Dunia maana Kila kitu kina chanzo? Hili ndio hamtaki kulijibu
Unamjua huyo aliueumba dunia!?Sasa kama dunia Ina chanzo Kwa Nini huyo aliyeumba asiwe na chanzo? Swali lipo hapo
Hakuna matarajio bali ni kusimama katika lane ya consistency bila contradictionMkuu ana Upendo
Upendo wake haulazimiki ku conform na matatarajio yako
Kaumba. Dunia unayoiona haipo perfect na kuna pepo huko ambako kila
Mwenye matamanio yake yatatimia
Umeelewa?
Asee ndio maana nilikuuliza are u familiar with semantics? Mpaka leo hujajibu
Nikakuuliza elimu yako ulisomea nini hujajibu
Nimekwambia taja hizo SIFA maana zipo nyingi naona wewe umekwamia kwenye Ujuzi na Upendo tu
Au hata hujui Mungu unaemzungumzia ana sifa gani? Na kama hujui kwanini usingeanza kwa kusoma au kuuliza ukaambiwa ili unapoingia uwe na data kamili?
Taja sifa zote unazojua kuhusu Mungu kijana wacha kuzunguka mbuyu
Nakuuliza tena are u familiar with semantics?😂
Umetaja sifa chache, nakutaka utaje nyingi, wew una assume kuwa ulizotaja haziko sahih😂
Hebu nitajie elimu yako nitatute namna ya kukufit kuelewe (no offense)
Ili uweze ku point weakness ni lazima ujue hiko kitu in a wholeMimi sio muumini wa maswala ya Mungu, nipo hapa kuwaonesha mnao amini Mungu namna mlivyokuwa deluded kwa ku point weakness area zinazoonesha hizo habari ni uongo.
Hiyo hiyo claims ndiyo nataka uielezee kwa kadri unavyojuaWewe ndio huelewi
Kwani nilivyokua nakuambia kuwa hizo lists ni claims, nilisema ni claims kutoka kwangu?
Katika hizo lists umejaribu kutafuta Mungu wako ukamkosa
Nakushauri uwe unazingatia swali kiumakini kabla kulijibu ili kuondoa series ya maswali mengineHapana
Natural ni asili kumaanisha ktk system aliyoumba ambayo ndio hiyo tunaita nature hiyo kitu ipo iko hardwired ndani yetu
nitajie elimu yako mkuu twende sawa (no offense)
“Bila contradiction” hayo ndiyo matarajio yenyewe😂Hakuna matarajio bali ni kusimama katika lane ya consistency bila contradiction
Ndiyo maana nikakutaka utaje sifa zote za Mungu mpqkq sqsa hujatajaKazi iliyofanywa na Mungu mwenye upendo wote haiwezi kuchangamana na ubaya/uovu
Ndiyo maana nakuuliza kuhusu elimu yakoHiyo ni logical consistency
Ulipokosea wewe ni kumfananisha Mungu na Mzazi mfano ambao ni Irrelative(unq elimu gqni?)Ni sawa na mfano wa mzazi ambaye umeambiwa kuwa anaupendo sana kwa watoto wake ambao unamfanya afanye kila awezalo kuhakikisha watoto wake wanakuwa salama
Halafu ukaja kumuona huyo mzazi anawafungia watoto wake kwenye chumba chenye mijoka yenye sumu kali, mamba na Simba wenye njaa kali.
Watoto ambao walikuja kudhurika na hao wanyama
Huyo mzazi hautaweza kukubali kuwa anaupendo kwa watoto licha ya kwamba aliyekuletea hizo habari atasema "upendo wake haulazimiki ku confirm na matatarajio yako"
Asee jibu swaliWingi si hoja, kwasababu wingi wa sifa ambazo sijazitaja hau dismiss sifa nilizotaja kuinesha kuwa hazimuhusu Mungu
Unaona kijana unapopotea?Kwa hiyo ili hizo sifa zingine ambazo sijazitaja ziwe hoja ya msingi unatakiwa uniambie kuwa hizo sifa nilizokutajia sio za kweli
Siyo kweli wewe zitaje kama unazijua na kqmq huzijui maana yake hata hujui unachozungumziaKuwa Mungu sio mjuzi wa yote, sio muweza wa yote na wala hana upendo wote
Hiyo ni logical fallacy of red herring
Kama kawaida mfano irrelevantYani ni sawa na wewe umekutwa unaendesha gari rough barabarani
halafu unasema "Sipaswi kulipa faini kwa kuendesha gari hovyo. Kuna watu wengine wengi mtaani ambao ni wahalifu hatari na wabakaji, na polisi wanapaswa kuwa wanawafukuza.
Kwa kweli, wahalifu wabaya zaidi wapo, lakini hiyo ni suala jingine!
Hoja ya msingi ni je uliendesha gari rough?
Kwasababu utetezi wako hauoneshi kuwa hujafanya kosa, unaonesha kuna makosa mengine and that's is irrelevant
Kama aliyetengeneza System ndiyo tunamuita Mungu unawezaje sema kinachotokea hqkina approval yake ilhali ninasema kuwa yeye muweza wa yote?Nakushauri uwe unazingatia swali kiumakini kabla kulijibu ili kuondoa series ya maswali mengine
Bado umeacha loophole hapo kwenye swali nilokuuliza
Ina maana athari zinazosababishwa na nature hazina approval ya Mungu?
Ni vitu ambavyo vinatokea bila matarajio yake?
Tatizo watu wa dini hampo flexible,hampo tayari kujadiliana..mnaingia kwa mjadala ukiwa tayr na majibu yako..So hoja yako ni kutoonekana kwa huyo Mungu tunayeamini yupo siyo,ok..site tunaamini umeme upo,kadhalika upepo,lakini ulishawahi uona umeme au upepo!?..laa hasha,Bali tunaona athari zake,umeme kupitia taa zinazowaka au vifaa vingine vya umeme na upepo kwa namna upeperushavyo vitu na tunavyou-feel,Sasa dunia Inajizungusha kwenye muhimuli wake na kuzunguka jua ili tupate majira ya mwaka ambayo yanasapoti maisha yetu,dunia Ina zone yenye hewa ambayo tunatumia pua kupumua ili tuendelee kuwa hai,pua ilijuaje kwamba duniani Kuna hewa tutahitaji Vuta Hadi ikawa pale,macho yalijuaje Kuna mwanga utakaoyawezesha kuona yakawa hapa!?..hii ni dalili kwamba Kuna mtu alipanga haya na akaya-engineer
No sio kweli kwamba ili mtu apinge kitu ni lazima ajue kila kituIli uweze ku point weakness ni lazima ujue hiko kitu in a whole
Sasa kama hujui unapata wapi kuuona hiyo weakness?
Hofu yangu ni kuwa pengine huna elimu ya jumla ya swala unalozungumzia
What if i give you a simple challenge to guess my education level using God miracles?Scars nitajie elimu yako kwanZa maana naongea na mtu ambaye hajui qnachokiongelea
Hujibu maswali yangu, hutaji sources zako
Ila kqmq una nia ya kujua zaidi kuhusu Mungu
Soma History, Psychology, Astrophysics, Comparative Religion, Philosophy na Ethics
Kama hujasoma mix ya hayo mambo hapo kwa dunia ya leo utakuwa unaniaumbua tu maana ujuzi wako utakuwa ktk angle moja finyu, uta miss a bigger picture
Na huwezi jadili mambo ya Mungu bila kutazama a bigger picture
Sijaelewa unauliza nini ambacho hujajibiwaHiyo hiyo claims ndiyo nataka uielezee kwa kadri unavyojua
Umeweka list maana yake unajua kilichomo
Mimi nataka uelezee unachokijua kuhusu hiyo list fupi
Maana umesema kuna ndefu😂
Sayansi imekubali kutojua chanzo cha dunia, lakini imeidhinisha kuwa dunia ipo bila uthibitisho.Chanzo cha dunia bado hakijafahamika na watu wanakesha kutafuta majibu
Katika tafiti za sayansi huwa wakipata jibu bado haiwi ukomo kwa wao kuendelea kudadisi zaidi.
Sayansi haijakamilika, wanajua ipo nafasi ya wao kukosea katika tafiti zao.
Na ndio maana ni kawaida kwa sayansi kuji disprove
Na ndio maana imeruhusu kukosolewa
Hii nishawahi waambia wale ambao wanasema vitabu vyao vya dini vimeandika habari za kisayansi. Kuwa hizo habari ikitokea siku sayansi ikaja kusema kuwa haikua sahihi je watakubali kuwa vitabu vyao vilipotosha?
Nani huingia kwenye mjadala bila ya kuwa na majibu/msimamo wake!?.. anaenda kujadiliana nini!?Tatizo watu wa dini hampo flexible,hampo tayari kujadiliana..mnaingia kwa mjadala ukiwa tayr na majibu yako..
Swala la kusema kitu fulani ni uhalisia nimekuonesha namna watu wanavyoweza kupotoka kwa namna nyingiUhakika ninao sababu yanaendana na uhalisia.
Sababu hakuna wala hajawahi mtu kuleta mfano wa maandiko hayo.
Sijawahi kupita njia mbovu ndiyo mana natamba sababu naandika Elimu isiyo kuwa na shaka, yenye kwenda sambamba na maumbile, akili na uhalisia.
Sasa usilete stori kosoa ninachokiandika. Hizi stori za wanafalsafa ni utoto tu.
Kingine kitu kama hujakielewa Bora uulize ueleweshwe ndiyo uulize swali, maana unakuta unataka kabisanje ya kile nilichokieleza.
Kwanza unatakiwa ujue kuwa sayansi ina imperfections nyingi na ndio maana wao wenyewe wamekuwa wakiendelea kufanya udadisi extra licha ya kwamba tayari wamepata jibuSayansi imekubali kutojua chanzo cha dunia, lakini imeidhinisha kuwa dunia ipo bila uthibitisho.
Uwepo wa Mungu pia haujathibishwa kisayansi, lakini Mungu hajaidhinishwa kama yupo bila uthibitisho.
Mungu na Dunia vyote havina uthitisho wa vyanzo vyao kisayansi. Sayansi imeidhinisha uwepo wa dunia tu bila uthibitisho, lakini imegoma kuidhinisha uwepo wa Mungu bila uthibitisho.
Nina shaka na sayansi, sayansi haimtendei haki Mungu. Je, ni sahihi?