Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Palikua na mjenzi ndio, na huyo mjenzi ana chanzo chake Kwa maana kwamba ana waliomzaa sasa vipi kuhusu huyu mjenzi wa Dunia maana Kila kitu kina chanzo? Hili ndio hamtaki kulijibu
Siyo hatutaki,Bali ukishakiri Pana mjenzi wa dunia kinachofuata tumtafute huyo mjenzi ni yupi..Kisha tutajia chanzo chake,mdahalo hapa ni uwepo wa mjenzi wa ulimwengu (universe)
 
Mkuu ana Upendo

Upendo wake haulazimiki ku conform na matatarajio yako

Kaumba. Dunia unayoiona haipo perfect na kuna pepo huko ambako kila
Mwenye matamanio yake yatatimia

Umeelewa?
Hakuna matarajio bali ni kusimama katika lane ya consistency bila contradiction

Kazi iliyofanywa na Mungu mwenye upendo wote haiwezi kuchangamana na ubaya/uovu

Hiyo ni logical consistency wala sio kumpangia

Ni sawa na mfano wa mzazi ambaye umeambiwa kuwa anaupendo sana kwa watoto wake ambao unamfanya afanye kila awezalo kuhakikisha watoto wake wanakuwa salama

Halafu ukaja kumuona huyo mzazi anawafungia watoto wake kwenye chumba chenye mijoka yenye sumu kali, mamba na Simba wenye njaa kali.

Watoto ambao walikuja kudhurika na hao wanyama

Huyo mzazi hautaweza kukubali kuwa anaupendo kwa watoto licha ya kwamba aliyekuletea hizo habari atasema "upendo wake haulazimiki ku confirm na matatarajio yako"
 
Asee ndio maana nilikuuliza are u familiar with semantics? Mpaka leo hujajibu

Nikakuuliza elimu yako ulisomea nini hujajibu

Nimekwambia taja hizo SIFA maana zipo nyingi naona wewe umekwamia kwenye Ujuzi na Upendo tu

Au hata hujui Mungu unaemzungumzia ana sifa gani? Na kama hujui kwanini usingeanza kwa kusoma au kuuliza ukaambiwa ili unapoingia uwe na data kamili?

Taja sifa zote unazojua kuhusu Mungu kijana wacha kuzunguka mbuyu

Nakuuliza tena are u familiar with semantics?😂
Umetaja sifa chache, nakutaka utaje nyingi, wew una assume kuwa ulizotaja haziko sahih😂

Hebu nitajie elimu yako nitatute namna ya kukufit kuelewe (no offense)

Wingi si hoja, kwasababu wingi wa sifa ambazo sijazitaja hau dismiss sifa nilizotaja kuinesha kuwa hazimuhusu Mungu

Kwa hiyo ili hizo sifa zingine ambazo sijazitaja ziwe hoja ya msingi unatakiwa uniambie kuwa hizo sifa nilizokutajia sio za kweli

Kuwa Mungu sio mjuzi wa yote, sio muweza wa yote na wala hana upendo wote

Hiyo ni logical fallacy of red herring

Yani ni sawa na wewe umekutwa unaendesha gari rough barabarani

halafu unasema "Sipaswi kulipa faini kwa kuendesha gari hovyo. Kuna watu wengine wengi mtaani ambao ni wahalifu hatari na wabakaji, na polisi wanapaswa kuwa wanawafukuza.

Kwa kweli, wahalifu wabaya zaidi wapo, lakini hiyo ni suala jingine!

Hoja ya msingi ni je uliendesha gari rough?

Kwasababu utetezi wako hauoneshi kuwa hujafanya kosa, unaonesha kuna makosa mengine and that's is irrelevant
 
Mimi sio muumini wa maswala ya Mungu, nipo hapa kuwaonesha mnao amini Mungu namna mlivyokuwa deluded kwa ku point weakness area zinazoonesha hizo habari ni uongo.
Ili uweze ku point weakness ni lazima ujue hiko kitu in a whole

Sasa kama hujui unapata wapi kuuona hiyo weakness?

Hofu yangu ni kuwa pengine huna elimu ya jumla ya swala unalozungumzia
 
Wewe ndio huelewi

Kwani nilivyokua nakuambia kuwa hizo lists ni claims, nilisema ni claims kutoka kwangu?

Katika hizo lists umejaribu kutafuta Mungu wako ukamkosa
Hiyo hiyo claims ndiyo nataka uielezee kwa kadri unavyojua

Umeweka list maana yake unajua kilichomo

Mimi nataka uelezee unachokijua kuhusu hiyo list fupi
Maana umesema kuna ndefu😂
 
Hapana
Natural ni asili kumaanisha ktk system aliyoumba ambayo ndio hiyo tunaita nature hiyo kitu ipo iko hardwired ndani yetu

nitajie elimu yako mkuu twende sawa (no offense)
Nakushauri uwe unazingatia swali kiumakini kabla kulijibu ili kuondoa series ya maswali mengine

Bado umeacha loophole hapo kwenye swali nilokuuliza

Ina maana athari zinazosababishwa na nature hazina approval ya Mungu?

Ni vitu ambavyo vinatokea bila matarajio yake?
 
Hakuna matarajio bali ni kusimama katika lane ya consistency bila contradiction
“Bila contradiction” hayo ndiyo matarajio yenyewe😂

Au huelewi maana ya matarajio?
Kazi iliyofanywa na Mungu mwenye upendo wote haiwezi kuchangamana na ubaya/uovu
Ndiyo maana nikakutaka utaje sifa zote za Mungu mpqkq sqsa hujataja

Ungekuwa unajua kuhusu Huyo Mungu au hata sifa zake usingeulzia hili
Hiyo ni logical consistency
Ndiyo maana nakuuliza kuhusu elimu yako
Ila hutaki kujibu😂😂😂😂
Ni sawa na mfano wa mzazi ambaye umeambiwa kuwa anaupendo sana kwa watoto wake ambao unamfanya afanye kila awezalo kuhakikisha watoto wake wanakuwa salama

Halafu ukaja kumuona huyo mzazi anawafungia watoto wake kwenye chumba chenye mijoka yenye sumu kali, mamba na Simba wenye njaa kali.

Watoto ambao walikuja kudhurika na hao wanyama

Huyo mzazi hautaweza kukubali kuwa anaupendo kwa watoto licha ya kwamba aliyekuletea hizo habari atasema "upendo wake haulazimiki ku confirm na matatarajio yako"
Ulipokosea wewe ni kumfananisha Mungu na Mzazi mfano ambao ni Irrelative(unq elimu gqni?)

Yani nguvu iliyoumba unafananisha na aliyeumbwa?

Semantics ingekuokoa
 
Wingi si hoja, kwasababu wingi wa sifa ambazo sijazitaja hau dismiss sifa nilizotaja kuinesha kuwa hazimuhusu Mungu
Asee jibu swali
Zitaje hoja yangu si kwqmba siko nyingi, hoja yangu ni kua umejifungia ktk sifa chache unakosoa ilhali ungejua nyingine pengine ungebaki huna swali
Kwa hiyo ili hizo sifa zingine ambazo sijazitaja ziwe hoja ya msingi unatakiwa uniambie kuwa hizo sifa nilizokutajia sio za kweli
Unaona kijana unapopotea?

Kuzitaja chache haina maana sio sahihi😂
Nakutaka utaje nyingine ili upanue uelewa wako hizo sio kwambq umekosea mkuu
Kuwa Mungu sio mjuzi wa yote, sio muweza wa yote na wala hana upendo wote
Siyo kweli wewe zitaje kama unazijua na kqmq huzijui maana yake hata hujui unachozungumzia
Hiyo ni logical fallacy of red herring

Hiyo siyo, ninachokutaka ni upanue wigo wa sifa chache ulizojifungia

Na ujue kuwa ujuzi wako kwa dhana ya Mungu ni finyu kuliko uhalisa

Kuzitaja sifa zake hakukuondolei focus, kunakupa picha kubwa mkuu

Yani ni sawa na wewe umekutwa unaendesha gari rough barabarani

halafu unasema "Sipaswi kulipa faini kwa kuendesha gari hovyo. Kuna watu wengine wengi mtaani ambao ni wahalifu hatari na wabakaji, na polisi wanapaswa kuwa wanawafukuza.
Kama kawaida mfano irrelevant
Tunazungumzia Mungu hapa sio sheria za usalama barabara Mkuu
Kwa kweli, wahalifu wabaya zaidi wapo, lakini hiyo ni suala jingine!

Hoja ya msingi ni je uliendesha gari rough?

Kwasababu utetezi wako hauoneshi kuwa hujafanya kosa, unaonesha kuna makosa mengine and that's is irrelevant
 
Nakushauri uwe unazingatia swali kiumakini kabla kulijibu ili kuondoa series ya maswali mengine

Bado umeacha loophole hapo kwenye swali nilokuuliza

Ina maana athari zinazosababishwa na nature hazina approval ya Mungu?

Ni vitu ambavyo vinatokea bila matarajio yake?
Kama aliyetengeneza System ndiyo tunamuita Mungu unawezaje sema kinachotokea hqkina approval yake ilhali ninasema kuwa yeye muweza wa yote?

Mkuu unaelewa unachokisema?
Maan ya uweza wa yote mbona iko wazi
 
Scars nitajie elimu yako kwanZa maana naongea na mtu ambaye hajui qnachokiongelea

Hujibu maswali yangu, hutaji sources zako

Ila kqmq una nia ya kujua zaidi kuhusu Mungu

Soma History, Psychology, Astrophysics, Comparative Religion, Philosophy na Ethics

Kama hujasoma mix ya hayo mambo hapo kwa dunia ya leo utakuwa unaniaumbua tu maana ujuzi wako utakuwa ktk angle moja finyu, uta miss a bigger picture
Na huwezi jadili mambo ya Mungu bila kutazama a bigger picture
 
So hoja yako ni kutoonekana kwa huyo Mungu tunayeamini yupo siyo,ok..site tunaamini umeme upo,kadhalika upepo,lakini ulishawahi uona umeme au upepo!?..laa hasha,Bali tunaona athari zake,umeme kupitia taa zinazowaka au vifaa vingine vya umeme na upepo kwa namna upeperushavyo vitu na tunavyou-feel,Sasa dunia Inajizungusha kwenye muhimuli wake na kuzunguka jua ili tupate majira ya mwaka ambayo yanasapoti maisha yetu,dunia Ina zone yenye hewa ambayo tunatumia pua kupumua ili tuendelee kuwa hai,pua ilijuaje kwamba duniani Kuna hewa tutahitaji Vuta Hadi ikawa pale,macho yalijuaje Kuna mwanga utakaoyawezesha kuona yakawa hapa!?..hii ni dalili kwamba Kuna mtu alipanga haya na akaya-engineer
Tatizo watu wa dini hampo flexible,hampo tayari kujadiliana..mnaingia kwa mjadala ukiwa tayr na majibu yako..
 
Ili uweze ku point weakness ni lazima ujue hiko kitu in a whole

Sasa kama hujui unapata wapi kuuona hiyo weakness?

Hofu yangu ni kuwa pengine huna elimu ya jumla ya swala unalozungumzia
No sio kweli kwamba ili mtu apinge kitu ni lazima ajue kila kitu

Ukiambiwa katikati ya jua kuna chupa ya chai inayoizunguka jua kila siku, hautahitaji kwenda kwenye mfumo wa jua ili kuthibitisha kuwa hicho kitu ni uongo

Wala hauhitaji uwe mjuzi wa mambo ya anga kiundani, utahitaji kujua kitu kidogo tu kama temperature ya jua ambapo chupa ya chai haiwezi ku survive

And that's is what I have done when describing your God

Kwasababu mimi mpaka hapa nime point weakness kupitia sifa kuu za Mungu

Nimeangalia sifa hizo na ulimwengu ambao umedaiwa kuumbwa na yeye nimeona kuna logical contradiction inayoonesha huu ulimwengu hauwezi kuwa umeumbwa na Mungu mwenye sifa hizo
 
Mimi hua najiuliza huyu mungu wenu mwenye nguvu mwenye kuweza vyote inakuja mwanadamu anahangaika kumpigania na wengine wanafika mbali mpaka kuua kwa wanaomkashifu?

Je ni lini huyu mungu atajitokeza kutoka mafichoni na kuja kuudhibitishia dunia ya kua yeye ndio muumbaji wa hawa binadamu?
 
Scars nitajie elimu yako kwanZa maana naongea na mtu ambaye hajui qnachokiongelea

Hujibu maswali yangu, hutaji sources zako

Ila kqmq una nia ya kujua zaidi kuhusu Mungu

Soma History, Psychology, Astrophysics, Comparative Religion, Philosophy na Ethics

Kama hujasoma mix ya hayo mambo hapo kwa dunia ya leo utakuwa unaniaumbua tu maana ujuzi wako utakuwa ktk angle moja finyu, uta miss a bigger picture
Na huwezi jadili mambo ya Mungu bila kutazama a bigger picture
What if i give you a simple challenge to guess my education level using God miracles?
 
Hiyo hiyo claims ndiyo nataka uielezee kwa kadri unavyojua

Umeweka list maana yake unajua kilichomo

Mimi nataka uelezee unachokijua kuhusu hiyo list fupi
Maana umesema kuna ndefu😂
Sijaelewa unauliza nini ambacho hujajibiwa

Kama unataka upewe majibu kwa kadri navyojua nishakujibu mwanzoni in general na hapa narudia tena kuwa ni claims zinazohusishwa kuwa ni majina ya Miungu inayoabudiwa na dini tofauti tofauti

Sasa katika ile list Mungu wako yupo au hayupo?
 
Chanzo cha dunia bado hakijafahamika na watu wanakesha kutafuta majibu

Katika tafiti za sayansi huwa wakipata jibu bado haiwi ukomo kwa wao kuendelea kudadisi zaidi.

Sayansi haijakamilika, wanajua ipo nafasi ya wao kukosea katika tafiti zao.

Na ndio maana ni kawaida kwa sayansi kuji disprove

Na ndio maana imeruhusu kukosolewa

Hii nishawahi waambia wale ambao wanasema vitabu vyao vya dini vimeandika habari za kisayansi. Kuwa hizo habari ikitokea siku sayansi ikaja kusema kuwa haikua sahihi je watakubali kuwa vitabu vyao vilipotosha?
Sayansi imekubali kutojua chanzo cha dunia, lakini imeidhinisha kuwa dunia ipo bila uthibitisho.

Uwepo wa Mungu pia haujathibishwa kisayansi, lakini Mungu hajaidhinishwa kama yupo bila uthibitisho.

Mungu na Dunia vyote havina uthitisho wa vyanzo vyao kisayansi. Sayansi imeidhinisha uwepo wa dunia tu bila uthibitisho, lakini imegoma kuidhinisha uwepo wa Mungu bila uthibitisho.

Nina shaka na sayansi, sayansi haimtendei haki Mungu. Je, ni sahihi?
 
Tatizo watu wa dini hampo flexible,hampo tayari kujadiliana..mnaingia kwa mjadala ukiwa tayr na majibu yako..
Nani huingia kwenye mjadala bila ya kuwa na majibu/msimamo wake!?.. anaenda kujadiliana nini!?
 
Uhakika ninao sababu yanaendana na uhalisia.

Sababu hakuna wala hajawahi mtu kuleta mfano wa maandiko hayo.

Sijawahi kupita njia mbovu ndiyo mana natamba sababu naandika Elimu isiyo kuwa na shaka, yenye kwenda sambamba na maumbile, akili na uhalisia.

Sasa usilete stori kosoa ninachokiandika. Hizi stori za wanafalsafa ni utoto tu.

Kingine kitu kama hujakielewa Bora uulize ueleweshwe ndiyo uulize swali, maana unakuta unataka kabisanje ya kile nilichokieleza.
Swala la kusema kitu fulani ni uhalisia nimekuonesha namna watu wanavyoweza kupotoka kwa namna nyingi
.
Nakutoa hapo nakupeleka kwenye dini yeyote inayopingana na yako, mtu huyo akasema dini yake ni ya kweli kwasababu haipingani na uhalisia, wewe utakubali au utahitaji uthibitisho zaidi?

Kwamba claim yeyote inayosemwa kuwa ni uhalisia inapaswa kupokelewa hivyo hivyo kama ilivyo qaailiahwa kwasababu hakuna nafasi ya kilicho daiwa ni uhalisia kikawa ni uongo?

Kama ipo nafasi basi hoja ya kusema kitu fulyni uhalisia bila kuthibitisha itakuwa ni upuuuzi tu
 
Sayansi imekubali kutojua chanzo cha dunia, lakini imeidhinisha kuwa dunia ipo bila uthibitisho.

Uwepo wa Mungu pia haujathibishwa kisayansi, lakini Mungu hajaidhinishwa kama yupo bila uthibitisho.

Mungu na Dunia vyote havina uthitisho wa vyanzo vyao kisayansi. Sayansi imeidhinisha uwepo wa dunia tu bila uthibitisho, lakini imegoma kuidhinisha uwepo wa Mungu bila uthibitisho.

Nina shaka na sayansi, sayansi haimtendei haki Mungu. Je, ni sahihi?
Kwanza unatakiwa ujue kuwa sayansi ina imperfections nyingi na ndio maana wao wenyewe wamekuwa wakiendelea kufanya udadisi extra licha ya kwamba tayari wamepata jibu

Wanajua kuwa ipo nafasi ya wao kukosea na ndio maana wanapanga data zao kwa asilimia

Habari za Mungu hazijawahi kuthibitishwa na dini yeyote na ndio maana kila dini inapingana na dini nyingine ikiamini mwenzake ni muongo.

Kwa hiyo tukisema tuachane na sayansi yenye mapungufu tuangalie majibu ya dini bado tutapata mgogoro wa makubaliano ya kuchagua maandiko ya dini gani ndio yanayopaswa kutumika kama reference
 
Back
Top Bottom