Atheists wana mtindio wa ubongo

Nimekufundisha namna ya kutoa maana.
Hiyo elimu ya utoaji maana uliyonifundisha uliipatia wapi?

Nataka twende kwenye source uliyoitumia wewe kujifunza tuone kama hicho unachokiandika kweli kipo kama kilivyo

Mpaka saizi nimepata mashaka kuna dalili nyingi zinazoonesha unatumia conspiracy theories kutengeneza dhana yako potofu na ndio maana hata maana za maneno unazotoa ziko vague
 
Upo makini sana
 
lakini huko nyuma nilishakupa maana ya uhalisia na kikakufasilia kwa mifano ili uelewe.
Huko nyuma ulisema uhalisia ni kitu kuwa kama kilivyo

Nikakuuuliza kitu gani ambacho hakipo kama kilivyo na sio uhalisia

Ukasema mazigazi

Hilo neno nikalitafsiri kama hallucinations nikakuambia namna mtu anayepitia hallucinations anavyoweza kuona vitu vingi vya uongo na yeye asijue kuwa kile anachokiona sio kweli.

Nikakuongezea hoja nyingine ambayo inahusisha illusion ambayo hii ni misinterpretation ya vitu,

Nakuwekea mfano wa picha hapa unaoonesha illusion




Nikikuuliza kiuhalisia huyu mtu pichani anaonekana akiangalia upande gani unaweza ukajibu vipi?

Nakutoa hapo nakuleta hapa kwenye optical illusion



Nihesabie hizo bars ziko ngapi hapo juu?

Jibu lako linabidi lijikite kwenye uhalisia
 
Nondo
 
Ukiulizwa nini maana ya baba na mtoto utajibu ni uhalisia?
 
Uhalisia unapaswa kuwa ndio kitu chepesi kuthibitishwa

Sio kwasababu uhalisia eti iwe ndio ngumu kuthibitisha

Mi nimekuwa nakushangaa unaposema jua ni uhalisia na halihitaji ushahidi, at the same time umetumia sense organ ya macho na ngozi kuona na kuhisi then how come kitu hicho kisihitaji ushahidi?

Na ndio maana nakusisitizia unipe maana ya uhalisia kutoka kwenye hicho chanzo ili nijihakikishie kweli kuwa kuna watu waliowahi kupotosha jamii kwa madai kuwa vilivyo katika uhalisia havithibitishiki.
 
Kuna kitu kitu hao jamaa ambacho huwa wanashindwa kujiuliza.
1) kama kuona, kusikia,kunusa nk (kwetu kuna kikomo)
Kwa nini wanaamini kwenye kufikiri hatuna kikomo?
Kama tutamuelewa Mungu 100%,
Basi huyo Mungu atakuwa na mapungufu.

Kwa sababu tutajua mipaka yake.
Ameanzia hapa mpaka pale,
Kule kwingine siyo kwake.
Haijakaa hivyo.
Yooote,
Kumjua Mungu 100% hapo.
 
That's not how science works. Science haina miujiza. Science mpaka ufanye stadi.
Mfano, ili ni patishie elimu yako, itabid nikuulize umesoma shule ngapi na zinaitwaje, umekua ukisoma kwa muda gani etc..

Sent using Jamii Forums mobile app
Akitumia miujiza kujua level ya elimu yangu itakuwa ni mwisho wa mjadala kuthibitisha miracles are real na Mungu yupo

Lakini mpaka muda huu kuna watu wameukimbia huu uzi
 
Kwenye hili naam, sababu umekuwa ni mjinga katika hili na jibu umepewa.
Ukishindwa kujua nani aliyejenga nyumba uliyooneshwa huko porini tafsiri yake ni kuwa imejengwa na jamaa mwenye miguu 6 na urefu wa futi 30?
 
Umeona Sasa ulivyo mgonjwa wa akili, unaoataje nguvu ya kusema Mola hayupo na huwezi kutuambia ya kuwa imekuwaje kuwaje Dunia ikawa hivi ilivyo ? Muda huo huo unashindwa kutuambia aidha imejiumba au imetokea pasi na chochote.
Mtu anayesema jamaa mwenye miguu 6 na urefu wa futi 30 anayehusishwa na ujenzi wa hii nyumba hayupo, anatakiwa atolee wapi nguvu ya kusema hivyo?
 
Am sure hujafanya research kwenye hili

Vipi kuhusu wanaokufa usingizini ambapo uchunguzinukifuata unaonesha hakukua na purukushani za namna yoyote?
I'm sure hujaelewa hoja yangu na unarudia kufanya makosa yake yale

Hoja yangu ni kuonesha uwezekano wa watu kusafa kwa maumivu makali mpaka kukifikia kifo

Hoja yako ya kusema waru wanafia usingizini hai disprove hoja yangu kuwa watu hawapati maumivu

Bali inaonesha there's very tiny percent ya watu wanaoweza kufa bila maumivu

Hoja yako haipingi kuwa maumivu hayapo

Shabaha ha hoja yako ni kuonesha maumivu yapo ila kuna nafasi ndogo ya kuweza kufa bila kupata maumivu

Yani ni sawa na wewe umeenda sehemu ukomba maji ya kunywa halafu huyo mtu akatoka na jagi kubwa la maji safi

Akamimina maji safi kwenye kikombe nusu, halafu akachota na maji machafu aliyokuwa nafulia nguo nayo akamiminia kwenye kikombe kile kile alichoweka maji safi

Mtu huyo akakupa unywe

We ukahamaki na kuuliza mbona umenipa maji machafu yasiofaa kunywa?

Jamaa akakujibu lakini na maji masafi pia yano humo humo na si ulikuwa unaniona wakati nayaweka?

Utakunywa?

Basi hivyo ndivyo unavyojenga hoja zako
 
Ni kweli, kwa tunaoamini tunatengana nao kwa kitu bora zaidi ambacho ni kukutana na Muumba wetu
Kwamba isingewezekana kutengana bila kufa?

Isingewezekana wote mkaenda bila kutengana, bila kufa?

Hiyo ndio ilikuwa option ya mwisho ya Mungu kufanya kitu katika ubora wa juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…