Atheists wana mtindio wa ubongo

Hio ya twiga umeiquote vby. Unajua "living relative" wa twiga? Ni mnyama hana shingo ndefu... na pia kuna fossil records!

Sisi tunaoamin vitu vyenye historical proof na nyie mnaoamin kitu ambacho hakina proof, nan mwenye iman potofu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So, Mkuu unataka useme chochote watakachosema Marekani ni cha kweli..!?

Okay, tuambie Kinyonga kabla ya kuwa Kinyonga alikua kiumbe gani..?!
 
Huyu ndio closest living relative wa twiga (notice hana shingo ndefu):


Binadamu closest living relative wetu ni chimpanzee. Ila walikuepo ambo walikua very close to humans (homo sapiens) kias kwamba tulkua na uwezo wa kuzaliana nao. Mfn. Homo neanderthalensis. Karb 100% ya watu wa ulaya (wazungu) wana DNA traces za homo neanderthalensis. Waafrika hatuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So, Mkuu unataka useme chochote watakachosema Marekani ni cha kweli..!?

Okay, tuambie Kinyonga kabla ya kuwa Kinyonga alikua kiumbe gani..?!
Kwahio ww unataka kusema chochote walichosema watu wa mashariki ya kati ni cha kweli?
Hicho cha wamarekani kuna kuna ushahid upo kwenye museums, ukiona kuna makosa una karibishwa kuleta hoja yako ya kupinga na kufanya utafiti. Na KUNA PROOF! Ukizingatia hio ya panya na ndege, ni kitu kimehappen sio zaid ya miaka 200 iliopita so hata specimens sio ngum kupata, unaweza ukafanya uchunguz hata ww ukitaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini hana Shingo ndefu?
Mazingira aliokua subjected hayamuhitaj awe na shingo ndefu...

Ni sawa nikuulize kwann kuku broiler hatagi mayai. Au kwann ng'ombe wa kizungu, wa maziwa anatoa maziwa mengi kuliko wa kienyeji?

Jibu ni kua, genes fulan zimekua activated au fulan zimekua shut down, kwa lugha nyepesi.

Fact ingine hii hapa, Ancestor wa nyoka alikua ni kiumbe mwenye miguu (kuna fossil records), ila hio gene kwa sasa iko shut down. Wanasayansi wameweza kuactivate na kuna waliobreed na kuzalisha nyoka mwenye miguu. Sometimes inatokea randomly, nyoka anatotolewa akiwa na miguu, sanasana hua ni chatu.

Na fact ingine: ancestor wa ndege alikua na meno, kuna kikundi cha wanasayansi kilizalisha kuku mwenye meno, walifanikiwa "kuactivate" hio gene.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa ngapi nimesema kuhusu habari za Mashariki ya Kati....??

Mimi natumia akili yangu tu ku_reason hata wewe itapendeza ukishirikisha akili yako kuliko kuamini moja kwa moja kile ambacho unaambiwa..
 
Mungu ni Imani na sio uhalisia , tunaamini Mungu yupo , kidogo wakristo wanaweza kusema Mungu wao Yesu walimuona katika mwili , ila waislamu ni mtu mmoja anaitwa Muhammad amedai na kuaminisha wengine na yeye hajawahi kumuona huyo Allah

Unataka Mungu awe ametokea from no where ila ukiambiwa binadamu tumetokea from no where hutaki
 
Historical science VS Observational science
Wanapo zitumia kuongelea mambo ya miaka flani iliyopita.... Then wanakuja kukuwekea intelligent guessing kuhitimisha yaliyotokea. Ngoma zinakataa.
#Hatutaki Guessing hapa
 
Hivi, Kuku Broiler ile ni evolution?
Ng'ombe wa kizungu ni evolution ile?

Ili iwe evolution inabidi ituletee kiumbe ambacho ni completely different


Mfano, Mwanamke akipewa medication ambayo itamfanya atoe maziwa mengi... Je tutasema hiyo ni evolution?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…