Atheists wana mtindio wa ubongo

Sayansi imetengeneza Jua ? Mwezi ? Hewa ? Uhai ?

Unaelewa nini kuhusu nadharia ? Isiwe unapinga jambo ambalo hulijui ?
Sayansi ni nini?
Maana mnapohoji jambo ni lazima tufahamu kile mnachohoji.

Tuseme Sayansi haijatengeneza jua, Mwezi, Hewa na Uhai,
Je ndio inafanya Mungu, Mungu, Mlungu, miungu ndio katengeneza?
 
Hivi wewe hapo unawezaje kuthibitisha umetokana na babu wa babu yako ambaye hujawahi kumuona au kumsikia..?

Ukikutana na tuseme mimi sehemu tukiwa wawili tu na hakuna aliyetuona yeyote na ukawa haukuchukua ushahidi wowote baada ya hapo nikawa labda nimefariki, na badae ukaenda kumwambia rafiki yako kuwa tumekutana sehemu fulani, akabisha na kukudai utoe uthibitisho utafanyaje aamini tulikutana..?

Mnaobisha hakuna Mungu hoja zenu ni kuwa sisi tunao amini tuthibitishe uwepo wa Mungu, labda kuwaonesha huyo Mungu au yeye ajioneshe kuwa yupo..! Mnasahau wanaodai Mungu yupo madai yao yanaeleza Mungu kama Roho (kitu kisicho umbo). Mnasahau Mungu wa waaminio haonekani, hagushiki, na wala havhunguziki kwa science ambayo nyie mnataka sie waaminio tuitumie kuwaaminisha nyie msioamini.

Kiufupi sisi Mungu tunaye mwongelea ni

God who's beyond our mind, beyond our reasoning, beyond the human sciences, beyond your thinking capacity and that's why you fail even to understand Him. Wanao mwelewa/kumjua si kwa uwezo wao bali kwa utashi wake amewapa neema kumjua na kumfahamu. Kwa namna unavyosupaza shingo neema yake akiona inafaa anaweza jithihirisha kwako kabla ya kukukata kichwa/kufa)kukata shauri.
 
Miungu ni wingi. Mungu ni umoja... hakuna dini ilietuthibitishia uwepo wa mungu wao.

Na sayansi imeshindwa kuthibitisha uwepo wa mungu ndiomaana tunasema mungu hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu na miungu ni vitu viwili tofauti. Hilo nasisitiza, lakini sio mjadala wetu kwa sasa.

*****************************
Unasema sayansi haiwezi thibitisha kuwa Mungu hayupo. Je, una maana sayansi inaamini kuwa Mungu hayupo?

Mimi ni muumini wa Mungu.

Sijasoma kifungu cha biblia ulichoniwekea kwa sababu nimeshindwa kukiona. Kwa hiyo sina maelezo ya kifungu hicho.
 
Tofautisheni kati ya kanuni za maandishi
Ila mungu au Mungu kwenye matamshi hakuna tofauti.

Ni kweli ulio wazi unapotamka na kuandika Mungu basi ni nafsi ya kwanza umoja
Miungu wingi.
Wakiwa wengi ni Miungu.

Hapa haijalishi sifa za huyo unayemsemea
 
Sasa hio ni kulingana na dini yako. Ila kwa lugha ya kawaida ya kiswahili. Mungu ni umoja, muingu ni wingi... na kwa kiingereza 'God' ni umoja na 'Gods' ni wingi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
God who doesn't exist... ukizingatia story za kitabu chake, uumbaji jinsi unavoelezewa ukilinganisha na reality ni vitu viwil tofaut...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sayansi haina uwezo wa kuthibitisha uwepo wa miungu/mungu. Kwahiyo nikiquote "Science studies and attempts to explain only the natural world while God, IN MOST RELIGIONS, is supernatural".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
POINT
 
Sayansi ni nini?
Maana mnapohoji jambo ni lazima tufahamu kile mnachohoji.

Tuseme Sayansi haijatengeneza jua, Mwezi, Hewa na Uhai,
Je ndio inafanya Mungu, Mungu, Mlungu, miungu ndio katengeneza?
Tuambie Sayasi ni nini ? Kingine mwenzako amedai Sayansi imetengeneza kila kitu. Sasa nimeuliza mnipe majibu ya maswali niliyo uliza.

Siyo tuseme tu ilimradi unatakiwa ukiri kwanza Kisha uulize kingine. Sayansi imetengeneza Jua, Uhai, Hewa ?

Unatakiwa uulize kwa kitu unachokijua. Miungu haitengezi, Mungu wa kweli ni mmoja ambaye ameumba hao wengine wanajiita tu au kuitwa. Sasa ulitakiwa udurusu tamko Mungu, Kisha uhoji kuhusu Mungu. Wengi hamumjui Mungu ila mnampinga hii ni ishara ya kuonyesha mna matatizo ya ajili.

Kingine, kama unaona Mungu hajaumna unatakiwa utupe jibu sahihi juu ya ulimwengu na mengine imekuwaje yametokea na yakawa hivi yalivyo ?
 
Mungu ni nini?
Mungu ni nani?

Umejuaje kama Mungu ni mmoja?

Sababu zipi zilizokufanya husadiki ndiye yeye aliyeumba kila kitu?

Sababu zipi zilizokufanya kuwakataa hao wengine?

Umetambuaje kama huyo mmoja yupo au wapo?

Narudia tena Sayansi ni nini?
Maana bila uelewa wa pamoja inawezekana usielewe walichojaribu kukueleza waliopita.
 
Kila kitu ktk dunia hakijatengenezwa kwa uwezo wa sayansi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unaharibu utaratibu hii tabia iacheni. Unapooulozwa swali au maswali jibu kwanza, Kisha uulize maswali yako. Sasa jibu maswali yangu kwanza Kisha nakujibu maswali yako.

Tuendelee ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…