Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Jitu lenye miguu SITA lisiloonekana!?...huyu si ni wewe kwenye ule mfano wa nyumba,au si wewe!!?....basi jibu hoja zangu hizo wewe 'uliyemature'Nani kasema hoja yangu ni kuonekana?
Kwenye hii mijadala wewe unaonekana bado ni immature
Angalia hao waamini Mungu wenzako ambao ni wazoefu na hii mijadala kama wanajishughulisha na hoja primitive kama zako
Miungu inatofautiana,wengine wanaabudu ng'ombe,wengine moto,nyota,jua,fundi seremalaKumbuka duniani kuna dini zaidi ya 1000 na kila waumini wanadai kua dini yao ndio sahihi. Yani nyie waamini dini wenyewe hamuwezi kukubaliana kua mungu yupi ni sahihi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hoja ya kuonekana kwa Mungu hapo bwana 'matured'!?We na mtoa mada wote mnatatizo moja
Kabla ya kuiona hiyo nyumba si tayari ushawahi ziona nyumba, wajenzi, maduka wanayouza vifaa vya ujezi?
Sasa ukikuta nyumba imejengwa unafikiri itakuwa big issue kuwaza kuwa imejengwa?
Sasa akijitokeza mtu kukuambia mjenzi wa hiyo nyumba ni jamaa mwenye miguu 6, mwenye utefu wa futi 30 ambaye haonekani.
Utakubali kuwa huyo mtu mwenye sifa hizo ndio mjenzi wa hiyo nyumba eti tu kwasababu haiwezekani hiyo nyumba ikawa imejijenga?
Hilo ni swali uliloulizwa nikitegemea unipe majibu ni kivipi unakubaliana au kukataa hoja hiyoJitu lenye miguu SITA lisiloonekana!?...huyu si ni wewe kwenye ule mfano wa nyumba,au si wewe!!?....basi jibu hoja zangu hizo wewe 'uliyemature'
HuelewekiHapa hoja ya kuonekana kwa Mungu hapo bwana 'matured'!?
Kama unakubali mungu hana chanzo kwanini unakataa dunia haina chanzo?Yeye Hana chanzo,ni chanzo Cha vyanzo
Ndio maana tunasema natural power; Mungu hana chanzo, bali yeye ndio chanzo cha mengine yote! Unapohesabu unaanza na moja (iwe uelekeo wa kulia au kushoto), lakini vyote hivyo vinapimwa kutokea 'origin'. Mungu ni alfa na omega!Kama kila chochote lazima kiwe na chanzo chake haya mtuambie na chanzo cha mungu ni nini!
Siyo ishu Complex ndiyo maana haihitaji ushahidi. Wewe ndiyo unafanya kama kitu Complex sana mpaka ihitaji uthibitisho.Utasemaje haiwezekani kuthibitisha?
We unaona ishu ya baba kuwa mkubwa ni complex sana kiasi isihitaji uthibitisho kuliko fossil za miaka elfu zilizogunduliwa age zake kupitia carbon14?
Wakati gani kwa maana ipi?
Naona unauliza swali ilimradi tu
Hapo hoja hakuna,ni kengeza lako tu la kifikra....tumekupa mfano huo ili uutumie kwenye maumbile ya dunia na ya ayoe delea ndani yake!?...haya nyumba tunajua Kuna mafundi watakua wamejenga,dunia nayo vipi,patakua na fundi kaijenga siyo!?Hilo ni swali uliloulizwa nikitegemea unipe majibu ni kivipi unakubaliana au kukataa hoja hiyo
Hutaki kuelewaHueleweki
Kwa hiyo wewe unawezaje kumtofautisha mzazi na mtoto kuhusu umri?Siyo ishu Complex ndiyo maana haihitaji ushahidi. Wewe ndiyo unafanya kama kitu Complex sana mpaka ihitaji uthibitisho.
Kwahiyo kuwepo kwako wewe hakuonyeshi ya kuwa wewe umezaliwa na baba na mama ? Wewe wa kupigwa makofi aisee. Umejizaa nini au umetokana pasi na chochote. Hapa hamna shughuli unanipotezea muda tu.Hapo ume assume
Hiyo ni fallacy of self evident truth
Haiwezekani pawe na barabara na alama za barabarani halafu pasiwepo aliyejenga barabara na kuweka alamaKama unakubali mungu hana chanzo kwanini unakataa dunia haina chanzo?
Ulizia swali sahihi kijana. Napoambiwa tu huyu ni baba mzazi wa Fulani sina haja kujua au kuuliza kwamba baba ni mkubwa kuliko mtoto au hata kuuliza swali Hilo sina haja, sababu jambo Hilo linajulikana na liko wazi mno.Kwa hiyo wewe unawezaje kumtofautisha mzazi na mtoto kuhusu umri?
Tatizo umekeremisha uthibitisho ni mpaka mtu uingine lab, logical Fact nayo inasimama kama uthibitishoNdiyo maana swali langu niliainisha ila kwa ujinga wako ukalipeleka kwenye Carbon 14. Huu ni uzamwamwa kutokuweza kuweka kila kitu mahala pake.
Hakuna nilipo uliza swali ilimradi, ndiyo unaleta mambo yasiyo takiwa nimekuuliza kuhusu umri wa baba na mtoto unahitaji kipimo gani kujua baba ni mkubwa kuliko mtoto au takwimu gani zinahitajika ?
Safi kabisa, niambie Unawezaje kupima jotoridi la Jua na ukapatia. Hii ndiyo nukta ya msingi. Ni sawa Leo hii unaambiwa jua Lina uzito Fulani. Pasi na kuambiwa uzito huo walipimaje.Kwenda extra haina maana watu waliwahi kwenda kwenye jua, jifunze kuelewa hoja kwanza
Kutokumjua mjenzi wa hiyo barabara haimaanishi kuwa mjenzi lazima atakuwa huyo uliyemkusudia weweHaiwezekani pawe na barabara na alama za barabarani halafu pasiwepo aliyejenga barabara na kuweka alama
Huo mfano wako ni potofu kwasababu hauwezi kukufikisha kwenye jibu sahihiHapo hoja hakuna,ni kengeza lako tu la kifikra....tumekupa mfano huo ili uutumie kwenye maumbile ya dunia na ya ayoe delea ndani yake!?...haya nyumba tunajua Kuna mafundi watakua wamejenga,dunia nayo vipi,patakua na fundi kaijenga siyo!?