Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Kumbuka duniani kuna dini zaidi ya 1000 na kila waumini wanadai kua dini yao ndio sahihi. Yani nyie waamini dini wenyewe hamuwezi kukubaliana kua mungu yupi ni sahihi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app