Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Nani kasema hoja yangu ni kuonekana?

Kwenye hii mijadala wewe unaonekana bado ni immature

Angalia hao waamini Mungu wenzako ambao ni wazoefu na hii mijadala kama wanajishughulisha na hoja primitive kama zako
Jitu lenye miguu SITA lisiloonekana!?...huyu si ni wewe kwenye ule mfano wa nyumba,au si wewe!!?....basi jibu hoja zangu hizo wewe 'uliyemature'
 
We na mtoa mada wote mnatatizo moja

Kabla ya kuiona hiyo nyumba si tayari ushawahi ziona nyumba, wajenzi, maduka wanayouza vifaa vya ujezi?

Sasa ukikuta nyumba imejengwa unafikiri itakuwa big issue kuwaza kuwa imejengwa?

Sasa akijitokeza mtu kukuambia mjenzi wa hiyo nyumba ni jamaa mwenye miguu 6, mwenye utefu wa futi 30 ambaye haonekani.

Utakubali kuwa huyo mtu mwenye sifa hizo ndio mjenzi wa hiyo nyumba eti tu kwasababu haiwezekani hiyo nyumba ikawa imejijenga?
Hapa hoja ya kuonekana kwa Mungu hapo bwana 'matured'!?
 
Kama kila chochote lazima kiwe na chanzo chake haya mtuambie na chanzo cha mungu ni nini!
Ndio maana tunasema natural power; Mungu hana chanzo, bali yeye ndio chanzo cha mengine yote! Unapohesabu unaanza na moja (iwe uelekeo wa kulia au kushoto), lakini vyote hivyo vinapimwa kutokea 'origin'. Mungu ni alfa na omega!
 
Utasemaje haiwezekani kuthibitisha?

We unaona ishu ya baba kuwa mkubwa ni complex sana kiasi isihitaji uthibitisho kuliko fossil za miaka elfu zilizogunduliwa age zake kupitia carbon14?

Wakati gani kwa maana ipi?

Naona unauliza swali ilimradi tu
Siyo ishu Complex ndiyo maana haihitaji ushahidi. Wewe ndiyo unafanya kama kitu Complex sana mpaka ihitaji uthibitisho.

Ndiyo maana swali langu niliainisha ila kwa ujinga wako ukalipeleka kwenye Carbon 14. Huu ni uzamwamwa kutokuweza kuweka kila kitu mahala pake.

Hakuna nilipo uliza swali ilimradi, ndiyo unaleta mambo yasiyo takiwa nimekuuliza kuhusu umri wa baba na mtoto unahitaji kipimo gani kujua baba ni mkubwa kuliko mtoto au takwimu gani zinahitajika ?
 
Hilo ni swali uliloulizwa nikitegemea unipe majibu ni kivipi unakubaliana au kukataa hoja hiyo
Hapo hoja hakuna,ni kengeza lako tu la kifikra....tumekupa mfano huo ili uutumie kwenye maumbile ya dunia na ya ayoe delea ndani yake!?...haya nyumba tunajua Kuna mafundi watakua wamejenga,dunia nayo vipi,patakua na fundi kaijenga siyo!?
 
Siyo ishu Complex ndiyo maana haihitaji ushahidi. Wewe ndiyo unafanya kama kitu Complex sana mpaka ihitaji uthibitisho.
Kwa hiyo wewe unawezaje kumtofautisha mzazi na mtoto kuhusu umri?
 
Hapo ume assume

Hiyo ni fallacy of self evident truth
Kwahiyo kuwepo kwako wewe hakuonyeshi ya kuwa wewe umezaliwa na baba na mama ? Wewe wa kupigwa makofi aisee. Umejizaa nini au umetokana pasi na chochote. Hapa hamna shughuli unanipotezea muda tu.

Utakuwa hujui Self Evident Truth ni nini. Uwe unafikiria usijiandikie andikie tu.
 
Kwa hiyo wewe unawezaje kumtofautisha mzazi na mtoto kuhusu umri?
Ulizia swali sahihi kijana. Napoambiwa tu huyu ni baba mzazi wa Fulani sina haja kujua au kuuliza kwamba baba ni mkubwa kuliko mtoto au hata kuuliza swali Hilo sina haja, sababu jambo Hilo linajulikana na liko wazi mno.
 
Ndiyo maana swali langu niliainisha ila kwa ujinga wako ukalipeleka kwenye Carbon 14. Huu ni uzamwamwa kutokuweza kuweka kila kitu mahala pake.

Hakuna nilipo uliza swali ilimradi, ndiyo unaleta mambo yasiyo takiwa nimekuuliza kuhusu umri wa baba na mtoto unahitaji kipimo gani kujua baba ni mkubwa kuliko mtoto au takwimu gani zinahitajika ?
Tatizo umekeremisha uthibitisho ni mpaka mtu uingine lab, logical Fact nayo inasimama kama uthibitisho

Ni maswala tu ya namba, kilicho kikubwa ndio kinauwezo wa kumzaa mdogo. Huo tayari ni uthibitisho

Ishu ni kwamba unataka majibu mepesi ya kimazoea
 
Kwenda extra haina maana watu waliwahi kwenda kwenye jua, jifunze kuelewa hoja kwanza
Safi kabisa, niambie Unawezaje kupima jotoridi la Jua na ukapatia. Hii ndiyo nukta ya msingi. Ni sawa Leo hii unaambiwa jua Lina uzito Fulani. Pasi na kuambiwa uzito huo walipimaje.

Hivi una idea yoyote kuhusu Fizikia isiwe najadiliana na shabiki wa Sayansi na Fizikia.
 
Hapo hoja hakuna,ni kengeza lako tu la kifikra....tumekupa mfano huo ili uutumie kwenye maumbile ya dunia na ya ayoe delea ndani yake!?...haya nyumba tunajua Kuna mafundi watakua wamejenga,dunia nayo vipi,patakua na fundi kaijenga siyo!?
Huo mfano wako ni potofu kwasababu hauwezi kukufikisha kwenye jibu sahihi

Nikisema nitumie principle hiyo bila kuvunja premises zake basi hata tukifika kwenye hicho chanzo ambacho wewe unakipendekeza bado tutahitaji kujua nacho hicho chanzo kimefikaje hapo (jambo ambalo huwezi kulikubali)

Sasa kwanini uone swala la chanzo ni muhimu kiasi utumie principle hiyo kama njia ya kutafuta majibu wakati kuna vitu unakubali vipo bila chanzo?
 
Back
Top Bottom