Lakini si ndiye aliyeumba ulimwengu huu wenye matetemeko ambayo yanaua hadi watoto wasio na hatia?Mungu hajatoa hiyo idhini na hakuna hukumu aliyotoa.
Na Mungu ambaye ameumba ulimwengu wenye matetemeko ambayo umedai yanaua watu kwa makosa ya ujenzi mbovuWameonewa na nani na kwa nini?
Hapo umefanya nini?Mwanadamu hana uwezo wa kumtetea Mungu. Hao nao hawajitambui kama ilivyo kwa wasiomwamini Mungu.
Ushawahi kuona njaa ? Au maumivu, maana hivi navyo ni vitu.Inategemea uthibitisho, unataka kuthibitisha nini! Kama ni uwepo wa kitu inabidi tukione kama kipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnaoamini vya kusadikika ndio hamjitambui...Mwanadamu hana uwezo wa kumtetea Mungu. Hao nao hawajitambui kama ilivyo kwa wasiomwamini Mungu.
Lugha ni tofauti na suala la dini kijana, jifunze kutofautisha vitu. Lugha haianzishwi bali ni umbile ambalo mwanadamu amumbwa nalo. Ndiyo maana lugha ni katika vitu vilivyo umbwa na Allah.Ni kama mtu akuulize ni nani alianzisha lugha ya kiingereza? Si rahisi kumjua ila utajua ni wapi lugha ili anzia..
Njaa unaweza kuthibitisha. Unaweza kujua imetokana na nn na namna ya kuizuia. Maumivu nayo ivoivo.... na Mungu?Ushawahi kuona njaa ? Au maumivu, maana hivi navyo ni vitu.
Shida husomi, hizo Zina watu wake na waasisi wake, hakuna dini ambayo haina muasisi kijana.Hakuna mtu analikimbia hilo swali. Duniani kuna maelfu ya dini, ivo maelfu ya miungu. Ukienda sehem kama China na japan, kulingana na historia yao ni ngumu kuwashawishi kuhusu dini za kiabraham (ukristo, uislam na uyahudi). Dini ziko kibao, asilimia kubwa ya hizi dini hatujui nani alizianzisha kutokana na kwamba historia kubwa ya binadamu haijatunzwa.
Maana yake kuwepo kwa kitu Fulani si lazima ukione, Bali zipo ishara za kuonyesha ya kuwa kitu hicho kipo.Njaa unaweza kuthibitisha. Unaweza kujua imetokana na nn na namna ya kuizuia. Maumivu nayo ivoivo.... na Mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimwengu hauna mabaya na wala hauruhusu mabaya. Ubaya unao binadamu kwa kutumia akili zake vibaya.Umeuliza imperfections zipi ambazo mimi nadai zipo
Nimekujibu hivi
Imperfections zinazojadiliwa hapa ni ulimwengu kuwa na uwezekano wa kuruhusu mabaya kuwepo
Mungu angeumba ulimwengu ambao ni perfect basi mabaya yasingewezekana kwa namna yeyote ile
Sasa ili kuendelea mbele kuifanya hoja hii isiwe jibu unabidi uniambie kiwa unakataa kuwa ulimwengu huu hauruhusu mabaya?
Duh...Lugha ni tofauti na suala la dini kijana, jifunze kutofautisha vitu. Lugha haianzishwi bali ni umbile ambalo mwanadamu amumbwa nalo. Ndiyo maana lugha ni katika vitu vilivyo umbwa na Allah.
Kama ulimwengu hauruhusu mabaya, kivipi katika ulimwengu usioruhusu mabaya iwezekane binadamu kufanya mabaya kutumia akili zake?Ulimwengu hauna mabaya na wala hauruhusu mabaya. Ubaya unao binadamu kwa kutumia akili zake vibaya.
Mungu alikupa akili za kutosha ili zitumike vizuri kuwiana na mazingira yetu. Akili ni kila kitu.
Ukitumia akili vizuri, hautathirika na jambo lolote lile unaloliita baya.
Baadhi ya dini ndio waasisi wake wanajulikana. Ila nyingi hawajulikani,Shida husomi, hizo Zina watu wake na waasisi wake, hakuna dini ambayo haina muasisi kijana.
Wasomo wameandika vitabu kibao kuhusu hizo dini na waasisi wake.
Nimejibu hapo; inategemea unathibitisha nnMaana yake kuwepo kwa kitu Fulani si lazima ukione, Bali zipo ishara za kuonyesha ya kuwa kitu hicho kipo.
Hata Leo wewe unaamini uwepo lakini, nacho ni kitu hiki, lakini huioni ila Kuna ishara zinazo onyesha uwepo wa akili.
Swali langu la msingi ni kuwa kwako wewe uthibitisho una sifa gani ili uitwe uthibitisho. Nakuuliza tena sababu umeonyesha una ufahamu mdogo sana juu ya kitu na uthibitisho.
Pia allah kama anatengeneza lugha tungekua hatuna haja ya kujifunza. Tungezaliwa tunaijua basi. Ila mbona lugha zimezid kuongezeka huku nyingine zikipotea?Lugha ni tofauti na suala la dini kijana, jifunze kutofautisha vitu. Lugha haianzishwi bali ni umbile ambalo mwanadamu amumbwa nalo. Ndiyo maana lugha ni katika vitu vilivyo umbwa na Allah.
Mabaya yanafanyika kwa sababu ya matumizi mabaya ya akili zetu. Tungetumia vizuri, tusingepata mabaya.Kama ulimwengu hauruhusu mabaya, kivipi katika ulimwengu usioruhusu mabaya iwezekane binadamu kufanya mabaya kutumia akili zake?
Uko sahihi kwa kuwa umejitoa ufahamu.
Kuhusu nini?Hapo umefanya nini?
Unaelewa kwamba ulimwengu ungekuwa hauruhusu mabaya, isingewezekana kwa namna yeyote ile akili ya mtu kufanya mabaya?Mabaya yanafanyika kwa sababu ya matumizi mabaya ya akili zetu. Tungetumia vizuri, tusingepata mabaya.
Ulimwengu haudhibiti akili za binadamu. Kwa hiyo hauwezi kuingilia kati matendo yetu.
Ulimwengu hauhitaji maarifa ya kuishi na binadamu, bali binadamu tunahitaji kutumia akili ya kuishi katika ulimwengu huu.