Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Lakini si ndiye aliyeumba ulimwengu huu wenye matetemeko ambayo yanaua hadi watoto wasio na hatia?Mungu hajatoa hiyo idhini na hakuna hukumu aliyotoa.
Ye hakuliona hilo kuwa litaweza kutokea?
Kwakua ni mjuzi wote na akaliona, kwanini hakulizuia?
Kama aliliona na hakulizuia akaliacha litokee, utasemaje hakutoa idhini?