Ishu sio kutumia akili kwa usahihiWa kutoruhusu mabaya ni binadamu mwenyewe akutumia akili zake kwa usahihi kama alizopewa na Mungu.
Ulimwengu ni mahali pa kuishi kwa maarifa tukitumia akili zetu kwa usahihi.
Tukitumia akili zetu kwa usahihi, automatically mabaya yote hayatakuwapo.
Hizi unazomtetea wewe, ikiwemo haya maneno kwenye post yakoAjitetee kwa tuhuma ipi?
Sasa kama unabisha kitu kiko wazi.Naona huna hoja.
Ndio siwajui.Maana yake kutokujulikana haimaanishi hawana waasisi. Wewe sema huwajui.
Kwani yupo kwa lipi na kwaajili ya nani?Nilikuuliza: Mungu ajitetee kwa lipi, na kwa nani?
Yani kwann watu ndio wanaaminisha watu wengine kua mungu yupo na sio mungu mwenyew...Ajitetee kwa tuhuma ipi?
Kijana weka ushahidi ni lugha gani ameanzisha mwanadamu. Achana na hizi Programming language. Naongelea lugha za kibinadamu. Tunachojua sisi ni kuwa wapo mabingwa wa lugha Fulani.Sasa kama unabisha kitu kiko wazi.
Lugha si binadamu wanaanzisha kabisa na hata ukisoma historia za lugha mbalimbali unaona zimeanza vp afu ww unakuja kutufunga kamba hapa kua ni mungu wako ndo kaanzisha.
Men evented gods because they had unanswered questions. The more questions are answered, the lesser people believe in deities.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni kauli tu na Falsafa za watu wavivu wenye kuacha Elimu na kifata fikra zao. Hili halipo. Ndiyo maana tukiwaomba ushahidi hawana.Men evented gods because they had unanswered questions. The more questions are answered, the lesser people believe in deities.
Mola alishamaliza haya miaka na mikaka, na habari zake ziko vitabuni kupitia waja wake alio wateua. Kinachotakiwa Sasa hivi ni kufata.Yani kwann watu ndio wanaaminisha watu wengine kua mungu yupo na sio mungu mwenyew...
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha zote sikaanzisha binadamu? Kiswahili kinakuaje programming language? Au ukisema 'lugha' unamaanisha nn?Kijana weka ushahidi ni lugha gani ameanzisha mwanadamu. Achana na hizi Programming language. Naongelea lugha za kibinadamu. Tunachojua sisi ni kuwa wapo mabingwa wa lugha Fulani.
Hizi ni kauli tu na Falsafa za watu wavivu wenye kuacha Elimu na kifata fikra zao. Hili halipo. Ndiyo maana tukiwaomba ushahidi hawana.
Kila uchwao narudia haya, walio kuja na fikra hizi ni wale walio soma historian za Wanafalsafa wa kale Wa magharibi, na kuona walivyo jaribu kuongelea chanzo cha Cha ulimwengu. Wakaishia kwenye uwepo wa Mungu. Wakasahau ya kuwa kabla ya hao walipita kina Ibrahim, kina Musa na wengine walimuelezea Mola kupitia ufunuo. Bali kina Nuhu wote walimuongelea Mola.
Sasa acheni uvivu.
Hao kina Ibrahim, Musa etc... kama hata waliexist ukweli, hawana tofaut na hawa watu kizaz hiki wanaojiita manabii. "Mungu kasema hiki" "mungu kasema kile". Mungu kanitokea ndotoni" mungu this mungu that... utapeli mtupu.Kijana weka ushahidi ni lugha gani ameanzisha mwanadamu. Achana na hizi Programming language. Naongelea lugha za kibinadamu. Tunachojua sisi ni kuwa wapo mabingwa wa lugha Fulani.
Hizi ni kauli tu na Falsafa za watu wavivu wenye kuacha Elimu na kifata fikra zao. Hili halipo. Ndiyo maana tukiwaomba ushahidi hawana.
Kila uchwao narudia haya, walio kuja na fikra hizi ni wale walio soma historian za Wanafalsafa wa kale Wa magharibi, na kuona walivyo jaribu kuongelea chanzo cha Cha ulimwengu. Wakaishia kwenye uwepo wa Mungu. Wakasahau ya kuwa kabla ya hao walipita kina Ibrahim, kina Musa na wengine walimuelezea Mola kupitia ufunuo. Bali kina Nuhu wote walimuongelea Mola.
Sasa acheni uvivu.
Hakuna kitu kama icho. Ndiomaana jamii maskini zaid ni zile zinazokumbatia dini sana... inakuaje watu wenye akili timamu ndio wawe maskini zaid?Mola alishamaliza haya miaka na mikaka, na habari zake ziko vitabuni kupitia waja wake alio wateua. Kinachotakiwa Sasa hivi ni kufata.
Ukiona wewe unapinga haya ujue akili yako inashida.
Kingine kutaka Mola ajielezee ni kuonyesha udhaifu kwa Mola wetu, wakati yeye ni mkamilifu, ndiyo maana akatuumba tukiwa na Inert Disposition (Fitra) ya kumjua yeye na kutambua uwepo wake.
Kuna shida gani kama watu wanamwaminisha?Yani kwann watu ndio wanaaminisha watu wengine kua mungu yupo na sio mungu mwenyew...
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ni kuepukana na ubaya. Kuna ubaya gani kama utatumia akili kuepukana na kitu unachokiita ubaya?Ishu sio kutumia akili kwa usahihi
In the first place Mungu anaumba ulimwengu hakujua kuwa ulimwengu huu mazingira yake ynaweza kumsabishia kiumbe wake akafanya maovu kupitia akili yake hivyo aumbe ulimwengu ambao hicho kitu hakitawezekana?
Mtu kutumia akili vibaya inatokana na mapungufu yake aliyoumbiwa, hawezi kufanya kila kitu katika accurancy ya 100%Issue ni kuepukana na ubaya. Kuna ubaya gani kama utatumia akili kuepukana na kitu unachokiita ubaya?
Mimi sitetei tuhuma. Kama ni tuhuma, ni nani anayemtuhumu?Hizi unazomtetea wewe, ikiwemo haya maneno kwenye post yako
Mm lazima nihoji. Huwez kuniaminisha kituKuna shida gani kama watu wanamwaminisha?
Mbona nawe una mambo mengi unaishi nayo kwa kuaminishwa bila kuhoji?
Hapa unafanya nini?Mimi sitetei tuhuma. Kama ni tuhuma, ni nani anayemtuhumu?
Japo kuwa unachokaindika halina ukweli wowote.Hakuna kitu kama icho. Ndiomaana jamii maskini zaid ni zile zinazokumbatia dini sana... inakuaje watu wenye akili timamu ndio wawe maskini zaid?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete uthibitisho wa hii kauli yako?Japo kuwa unachokaindika halina ukweli wowote.
Siku zote wenye Imani kubwa kwa Mola muumba, ndiyo huwa wanapewa mitihani mizito zaidi.
Soma habari za mitume, manabii na waja wema.Lete uthibitisho wa hii kauli yako?