Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Kwahiyo kuwepo kwako wewe hakuonyeshi ya kuwa wewe umezaliwa na baba na mama ? Wewe wa kupigwa makofi aisee. Umejizaa nini au umetokana pasi na chochote. Hapa hamna shughuli unanipotezea muda tu.

Utakuwa hujui Self Evident Truth ni nini. Uwe unafikiria usijiandikie andikie tu.
Swala la kuwepo mimi na influence ya wazazi ni swala ambalo lipo open kibaiolojia lipo open kwa fact.

Tena nakuongezea kuwa hata kama ikatokea mimi nikafa bado ipo possibility ya kuweza kuthibitisha wazazi wangu wapo au walikuwepo

Ishu ni jinsi wewe unavyotengeneza conspiracy za uongo ili ije ikunufaishe kwenye hoja zako.

Self evident truth unayoiweka wewe ni KISS (Keep it simple stupid)

Unataka kujirahisishia kwenye hoja ngumu zinazohitaji maelezo yakuthibitisha, we uteleze tu kuwa hiyo ni self evident truth
 
Ulizia swali sahihi kijana. Napoambiwa tu huyu ni baba mzazi wa Fulani sina haja kujua au kuuliza kwamba baba ni mkubwa kuliko mtoto au hata kuuliza swali Hilo sina haja, sababu jambo Hilo linajulikana na liko wazi mno.
Kinachokufanya uone huna haja ni kipi?
 
Mawio na machweo....[emoji23][emoji23]
Kumbe unajua!!!.. Qur'an ilikua ikimnukuu mtu alichoona na kusema,mtu kakuta ziwa la tope,huko kwao hakuna ziwa au ziwa la maji,alipofika hapo jua likawa linazama yaani kizazi kinaingia,mtu anskurupuka anasema Qur'an imesema jua linazama topeni,akieleweshwa bado anang'ang'ana tu
 
Safi kabisa, niambie Unawezaje kupima jotoridi la Jua na ukapatia. Hii ndiyo nukta ya msingi. Ni sawa Leo hii unaambiwa jua Lina uzito Fulani. Pasi na kuambiwa uzito huo walipimaje.

Hivi una idea yoyote kuhusu Fizikia isiwe najadiliana na shabiki wa Sayansi na Fizikia.
Joto la jua linapimwa kupitia miale ya mwanga wake

Huwezi kui question sayansi kwa mawazo hayo sio kila kitu kinaweza kufanywa physically
 
Hujanielewa kabisa sipo huko ndiyo maana hoja zangu zimemili katika uhalisia. Hili unalo wewe kijana.

Kujua umri wa baba kuwa mkubwa kuliko mtoto kunataka Takeimu gani au kipimo gani ? Maana ulisema huko nyuma Kuna vipimo. Sasa tuambie ukitaka kujua umri wa baba kuwa mkubwa kuliko mtoto unatumia Carbon 14 ?

Sasa hilo jibu gumu mbona hujalitoa zaidi ya kuonyesha huna akili, na kuleta mambo yasiyo husika.

Huo siyo uthibitisho siyo kila chenye namba kubwa kinaweza kumzaa mtoto, wengine ni tasa. Jikite kwenye hoja ya msingi, naongelea baba na mtoto ambaye tayari ashazaliwa.

Kijana ngoja nikusaidie naona unaruka ruka, hakuna uthibitisho wowote unao hitajika kutaka kujua ya kuwa baba mzazi ni mkubwa kiumri kuliko mtoto. Sababu jambo hili ni Self Evident Truth.
Kujua umri wa baba ni mkunwa kuliko mtoto ni maswala ya numbers tu

Ukishajua 5 ni kubwa kuliko 1 basi kila kitu kinachohusu numbers kitapitia kipimo hicho kufikia hitimisho

Ukisema baba na mtoto yupi mkubwa, hapo ni umri, umri ni namba mpaka hapo utajua

Ndio maana mimi nakuuliza kama hilo swala halihitaji ushahidi niambie namna gani unaweza kumtofautisha baba na mtoto kiumri mpaka ukajua baba ni mkubwa?
 
Mfano potofu kwa mujibu wa nani!?..Jambo la awali ni kutafuta je Kuna muhandishi wa universe au imetokea tu!?...tukikubaliana ndiyo tunasonga,so mfano wa nyumba siyo potofu na ulikiri nyumba haiwezi kuwepo tu Bali Kuna fundi/mafundi walijenga
Kwa mujibu wa mleta hoja husika na kwa namna alivyo i-address

Na ndio maana nimekupa challenge hapo uniambie chanzo cha Mungu ni kipi ikiwa haiwezekani kitu kikawepo tu bila chanzo?
 
Onyesha mazoea yako wapi. Nikikuuliza swali rahisi sana Unapoona nyumba au ukiona nyumba unahitaji ushahidi kuonyesha ya kuwa nyumba imejengwa haijajinga ? Au ukiiona nyumba utauliza hii nyumba imekujaje au utauliza hii nyumba ameijenga nani ?

Akili huna kijana.
Nishaelezea ushahidi kupitia personal experience unaoonesha watu wanajenga nyumba, wanauza vifaa vya ujenzi, makampuni ya real estate yanayoshughulisha na ujenzi.

Kabla ya kuiona hiyo nyumba ulikuwa una ufahamu wa kuhusu ujenzi wa nyumba

Ukikuta nyumba moja kwa moja hutaweza kufikiria kuwa imejijenga

Sasa ukija na hoja hiyo ukai relate kwenye ulimwengu, ni ulimwengu mwingine tofauti na huu uliowahi kushuhudia ukiumbwa ili iwe rahisi wewe kufikiria huu ulimwengu utakuwa umeumbwa na haujajiumba?
 
Sasa kama unajua hilo unabisha nini ? Nukta ni kuwa hakuna kinachojijenga. Uwepo wa kitu Fulani huonyesha uwepo wa vingine. Hii ndiyo Self Evident Truth.
Nani kakudanganya?

Kwanza umeelewa nilichokiandika?
 
Back
Top Bottom