Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Haya yanatokea pasi na chochote ila bahati mbaya, haiitaji hata akili kubwa kufikiria hili... kwani kuna anaepanga mvua inyeshe au isinyeshe? Kuna anaepanga matetemeko au vimbunga? Ivo ni vitu vinatokea venyewe na ni nature...

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umekuja napo pataka, thibitisha hili na umejuaje ? Naam a anapanga yatokee na yote yapo katika milki yake.

Allah anapanga mvua inyeshe na wpai inyeshe na wapi isinyeshe.

Anasema Allah aliye juu :

65. Na Mwenyezi Mungu ameteremsha maji kutoka mbinguni na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake. Kwa hakika katika hayo imo Ishara kwa watu wanao sikia. (an-Nahl : 65)

Akasema tena Allah :

28. Naye ndiye anaye iteremsha mvua baada ya wao kwisha kata tamaa, na hueneza rehema yake. Naye ndiye Mlinzi Mwenye kuhimidiwa. (ash-Shuura : 28)

Akasema Allah mtukufu :

43. Je! Huoni ya kwamba Mwenyezi Mungu huyasukuma mawingu, kisha huyaambatisha, kisha huyafanya mirundi? Basi utaona mvua ikitoka kati yake. Na huteremsha kutoka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe, akamsibu nayo amtakaye na akamuepusha nayo amtakaye. Hukurubia mmetuko wa umeme wake kupofua macho. (an-Nuur :43)

Angalizo tunapowawekea hizi aya mnatakiwa mzisome Kisha mtafakari, sababu Allah anapenda watu wanao fikiri na kuzingatia.

Sasa wewe tuthibitishie ya kuwa yanatokea tu pasi na chochote.
 
Naomba utusaidie uumbaji ulitokeaje na umejuaje hilo ?!
Nakushangaa wewe kusema tu from nowhere uumbaji ulitokea sababu ya mtu alifanya kazi hiyo anaitwa "Go"...sijui ulipata wapi evidence hiyo

Mimi sijui uumbaji ulitokea wapi,certainly wewe pia hujui maana hakuna ushahidi popote whatsoever that fictional man called "god" did anything,from where,and if at all he exists....

Mimi sijui,im open to see your evidence so that I can agree with you,the issue is,you DONT have any!

Hizi nyege za kusema aliumba fulani as if ulimuonaga,ni nyege mufilisi kabisa,na usije kuniambia ulisoma some stupid book writen by stupid old jews men from their heads claiming they know "all" eti waliota na ni true,ni ukichaa!
 
Sijui,wewe ndio unajua

Ila ulichokitoa hapa kwamba kuna mtu anaitwa "mungu" ndio kaumba ni uongo maana huna evidence yeyote tangible

Usije niambia umesoma kitabu cha hadithi kinaitwa biblia walichoandika wapumbavu old jew men eti wanakuja na hoja eti "waliota" hivyo ni kweli,ni only lunatics like you can believe that nonsense za "kuota" au "kuoteshwa" ndoto...

What a pile of "shit"!
 
Science have almost all answers ulizonarrate hapa, ila ukiishia tu ooh, huyu dada ni mrembo, sijui Mungu kaumba bwana....unajilimit kutafuta majibu ya why ni mrembo.

Nyie wa upande huo mnaendekeza uvivu wa kutumia ubongo while atheist wanawasaidia majibu ambayo yanawapa mpk nyenzo za kuandika mawazo yenu rojorojo!
 
Nakushangaa wewe kusema tu from nowhere uumbaji ulitokea sababu ya mtu alifanya kazi hiyo anaitwa "Go"...sijui ulipata wapi evidence hiyo

Mimi sijui uumbaji ulitokea wapi,certainly wewe pia hujui maana hakuna ushahidi popote whatsoever that fictional man called "god" did anything,from where,and if at all he exists....

Mimi sijui,im open to see your evidence so that I can agree with you,the issue is,you DONT have any!

Hizi nyege za kusema aliumba fulani as if ulimuonaga,ni nyege mufilisi kabisa,na usije kuniambia ulisoma some stupid book writen by stupid old jews men from their heads claiming they know "all" eti waliota na ni true,ni ukichaa!
La hujui kwanini unakanusja hayatunayo yasema sisi ? Kwa ulichokiandika unakiri alichokiandika mtoa mada kwamba mna matatizo ya akili, yaani kitu hukijui lakini unakipinga. Huu ni mfano bora sana kwa mtu asiye kuwa na akili.

Tulizeni vichwa, muwe mnajenga hoja kwa mambo ambayo mna Elimu nayo.

Kijana unakuwa kama Mwanamke mwenye hedhi, hoja huna unaleta kisirani. Tulia acha wenye hoja wajenge.
 
Sijui,wewe ndio unajua

Ila ulichokitoa hapa kwamba kuna mtu anaitwa "mungu" ndio kaumba ni uongo maana huna evidence yeyote tangible

Usije niambia umesoma kitabu cha hadithi kinaitwa biblia walichoandika wapumbavu old jew men eti wanakuja na hoja eti "waliota" hivyo ni kweli,ni only lunatics like can believe that nonsense za "kuota" au "kuoteshwa" ndoto...

What a pile of "shit"!
Kama hujui umejuaje kama si Mungu ? Hivi haya mnayo yaandika huwa mnayafikiria. Ushakiri hujui halafu unasema siyo Mungu.

Kingine nani alikwambia hatuna evidence ? Thibitisha kama ni uongo ya kuwa Mungu hajaumba. Kisha utuambie imekuwaje ulimwengu ukawepo.

Mimi nimesoma Qur'aan, habari za Biblia sihusiki nazo wenye kitabu Chao watakuja kuelezea. Mimi nimesomea Qur'aan na Hadithi sahihi za Mtume.
 
Naona umekuja napo pataka, thibitisha hili na umejuaje ? Naam a anapanga yatokee na yote yapo katika milki yake.

Allah anapanga mvua inyeshe na wpai inyeshe na wapi isinyeshe.

Anasema Allah aliye juu :

65. Na Mwenyezi Mungu ameteremsha maji kutoka mbinguni na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake. Kwa hakika katika hayo imo Ishara kwa watu wanao sikia. (an-Nahl : 65)

Akasema tena Allah :

28. Naye ndiye anaye iteremsha mvua baada ya wao kwisha kata tamaa, na hueneza rehema yake. Naye ndiye Mlinzi Mwenye kuhimidiwa. (ash-Shuura : 28)

Akasema Allah mtukufu :

43. Je! Huoni ya kwamba Mwenyezi Mungu huyasukuma mawingu, kisha huyaambatisha, kisha huyafanya mirundi? Basi utaona mvua ikitoka kati yake. Na huteremsha kutoka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe, akamsibu nayo amtakaye na akamuepusha nayo amtakaye. Hukurubia mmetuko wa umeme wake kupofua macho. (an-Nuur :43)

Angalizo tunapowawekea hizi aya mnatakiwa mzisome Kisha mtafakari, sababu Allah anapenda watu wanao fikiri na kuzingatia.

Sasa wewe tuthibitishie ya kuwa yanatokea tu pasi na chochote.
Allah anapanga mvua inyeshe? Mbona Saudi 'wanalima' mvua? Ivo wanatengeneza mvua yao wenyewe. How artificial rain can make a difference to Saudi Arabia and Gulf region’s water situation

Wachina pia wana teknolojia ya kuzuia mvua isinyeshe...

Sisi bongo tunakalia tu kukesha kwenye nyumba za ibada kumuomba huyo imaginary god atuletee mvua, sjui apunguze njaa.

Yaani wewe unaamini "mvua" zinajengwa na "mungu"?

hujui mvua zinajijengaje scientifically?hakuna cha sijui "religious intervention" and shit like that...

Kama ni hivyo basi arbitrarily kila tukio kwenye universe halitokei bila huyo "mungu" kulifanya sasa...

Hadi kubaka,kuua,kusema uongo,ufiraji,wizi,kupiga watu mapanga,etc ni yeye responsible basi!
 
Science have almost all answers ulizonarrate hapa, ila ukiishia tu ooh, huyu dada ni mrembo, sijui Mungu kaumba bwana....unajilimit kutafuta majibu ya why ni mrembo.

Nyie wa upande huo mnaendekeza uvivu wa kutumia ubongo while atheist wanawasaidia majibu ambayo yanawapa mpk nyenzo za kuandika mawazo yenu rojorojo!
This meme sums it all...
IMG_20230220_165321_733.jpg

Ukiweka na juu ya fact kwamba nchi za falme za kiarabu saiv zinafanta uislam kama tamaduni huku sisi tunachukulia kila kitu literally makes me sick na ndio kitatufanta tuzid kua ktk umaskini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allah anapanga mvua inyeshe? Mbona Saudi 'wanalima' mvua? Ivo wanatengeneza mvua yao wenyewe. How artificial rain can make a difference to Saudi Arabia and Gulf region’s water situation

Wachina pia wana teknolojia ya kuzuia mvua isinyeshe...

Sisi bongo tunakalia tu kukesha kwenye nyumba za ibada kumuomba huyo imaginary god atuletee mvua, sjui apunguze njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
achana na huyu kichaa mkuu

hawa ndio wale wanaweza ua hata mama zao halafu akasema "mungu" kamtuma

bure kabisa yaani
 
Yaani wewe unaamini "mvua" zinajengwa na "mungu"?

hujui mvua zinajijengaje scientifically?hakuna cha sijui "religious intervention" and shit like that...

Kama ni hivyo basi arbitrarily kila tukio kwenye universe halitokei bila huyo "mungu" kulifanya sasa...

Hadi kubaka,kuua,kusema uongo,ufiraji,wizi,kupiga watu mapanga,etc ni yeye responsible basi!
Sindio, sayari yetu tu hapo jirani 'venus' nayo mvua zinanyesha huko... kwahio na huko pia Allah anafungulia mvua pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allah anapanga mvua inyeshe? Mbona Saudi 'wanalima' mvua? Ivo wanatengeneza mvua yao wenyewe. How artificial rain can make a difference to Saudi Arabia and Gulf region’s water situation

Wachina pia wana teknolojia ya kuzuia mvua isinyeshe...

Sisi bongo tunakalia tu kukesha kwenye nyumba za ibada kumuomba huyo imaginary god atuletee mvua, sjui apunguze njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye troposphere ambapo mawingu yanajitengeneza ndio mbinguni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiona mtu anakuja na hoja nyepesi kama hizi haya alizokuonyeasha ni za kumuonea huruma tu.
 
Kama hujui umejuaje kama si Mungu ? Hivi haya mnayo yaandika huwa mnayafikiria. Ushakiri hujui halafu unasema siyo Mungu.

Kingine nani alikwambia hatuna evidence ? Thibitisha kama ni uongo ya kuwa Mungu hajaumba. Kisha utuambie imekuwaje ulimwengu ukawepo.

Mimi nimesoma Qur'aan, habari za Biblia sihusiki nazo wenye kitabu Chao watakuja kuelezea. Mimi nimesomea Qur'aan na Hadithi sahihi za Mtume.
Okayy... quran inasema kua mungu ndie anashusha mvua?
Inasema kua mungu aliangamiza dunia nzima kwa mvua?
Hadith znasema kua mtume alishika jua mkono mmoja na mwez mkono mwingine na kisha kuugawa kati?
Sindio mnaamini jua linazama matopeni?

Unakubaliana nayo yote haya kweli...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe unaamini "mvua" zinajengwa na "mungu"?

hujui mvua zinajijengaje scientifically?hakuna cha sijui "religious intervention" and shit like that...

Kama ni hivyo basi arbitrarily kila tukio kwenye universe halitokei bila huyo "mungu" kulifanya sasa...

Hadi kubaka,kuua,kusema uongo,ufiraji,wizi,kupiga watu mapanga,etc ni yeye responsible basi!
Wametengeneza imaginary person mwingine ila huyu anaitwa Shetani.

Ndio kila kitu kibaya kapewa yeye
 
Napata mashaka kama umesoma na kuelewa post yangu.

Kwanza ukisema mabaya yanatokana na matendo yetu, itabidi utuambie vipi kuhusu matetemeko ya huko Turkey na Syria yanasababishwa na matendo ya kina nani?
Kutoeleweka kwa jambo kunatokana na sababu nyingi, ikiwemo ya kutoeleweka maelezo yake. Ni mawili, huenda sikuelewa au hukueleweka.

Tetemeko ni asili (nature) halitokani na matendo yetu. Ila madhara ya tetemeko la Uturuki na Siria ni matokeo ya uovu wa binadamu.

Tetemeko liliathiri kazi ya mikono ya binadamu bila kuathiri milima na mabonde ambavyo havijengwa na binadamu. Ndiyo maana makandarasi wao wako hatiani.
 
wewe ndio una mtindio wa ubongo wala sio wao...

nani kakwambia uumbaji alifanyaga an entity called "god"?

Where do you invent that nonsense?

God, Whatever the name you call Him, still It doesn't close the door for Him being the creator of the universe, nothing which operates any function in a disciplinary manner is NEVER made/created, unless you exhibit with evidence that the world/universe as a whole is not in a disciplinary function then I wii no longer entertain the belief of God existence, in any disciplinary function there MUST be an input which must be put in-place by something, no cause without effect and that is not a Mokaze law rather the universal law.

(You atheists) Your problem and ailment in your heads come whenever the name "God" is mentioned parallel with creation and nothing else. You become furious and madly run amok like weed smokers whenever word "God" infiltrates your ears.
 
Kutoeleweka kwa jambo kunatokana na sababu nyingi, ikiwemo ya kutoeleweka maelezo yake. Ni mawili, huenda sikuelewa au hukueleweka.

Tetemeko ni asili (nature) halitokani na matendo yetu. Ila madhara ya tetemeko la Uturuki na Siria ni matokeo ya uovu wa binadamu.

Tetemeko liliathiri kazi ya mikono ya binadamu bila kuathiri milima na mabonde ambavyo havijengwa na binadamu. Ndiyo maana makandarasi wao wako hatiani.
"Uovu" unamaanisha kazi mbovu za wakandarasi au unamaanisha dhambi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom