Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Swali lako nimelijibu hapo. Nimekuonesha kua ni changamoto kupopulate dunia kutumia watu wawili au watu wa famalia moja. Hivo story za uumbaji tunaweza fananisha na za alfu-lela-ulela. ie fiction

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibi swali bado. Hivi nyinyi huwa mnajuaje kitu Fulani Cha kweli hiki Cha uongo. Maana unaulizwa A unajibu Z.

Hapo hakuna kufikia hitimisho kwa kukimbia swali na kulinganisha visivyo linganishwa.
 
Sawa kwasababu umechagua njia hiyo ngoja twende unavyotaka

Post 1220 nimekupa mfano kwa njia ya swali kukuimesha jinsi ulimwengu unavyoruhusu mabaya
Lakini kabla hujajibu mfano huo naomba urejee kwenye hii post yako ambaya umekiri kutambua uwepo wa uovu kwenye ulimwengu huu

View attachment 2537490
Nataka uelezee huo uovu umewezekanaje kuwepo ndani ya ulimwengu ikiwa Mungu aliumba ulimwengu ambao hauruhusu uovu kuwepo kwa namna yeyote ile?
Kwa nini unasema Mungu aliumba ulimwengu ambao hauruhusu uovu kuwepo kwa namna yeyote ile?
 
Kwa nini unasema Mungu aliumba ulimwengu ambao hauruhusu uovu kuwepo kwa namna yeyote ile?
Naomba urejee kwenye ile post yako ambayo umekiri kutambua uwepo wa uovu kwenye ulimwengu huu.

Unielezee imewezekana vipi uovu ukawepo ilihali Mungu aliumba ulimwengu ambao hauruhusu uovu kuwepo?

Solve hiyo contradiction ambayo itakulazimu kimoja kati ya hivyo viwili lazima kiwe ni uongo
 
Mkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita

Ila ulichosahau ni kitu kimoja

Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.

Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.

Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo

Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibitishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa

Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.

Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya endapo akifundishwa.

Sasa

Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?

Tunaweza tukathibitisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio uthibitisho wa Mungu asiyepimika?

Lakini pia

Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu ni mzuri?

Aliyesema laptop Hp omen ya gaming ni bora aliangalia toleo la chini yake au alifananiaha na brand nyingine kwenye maswala ya kiuwezo akaona Hp Omen ni laptop bora

Sasa ulimwengu huu mnaosema ni mzuri au ni bora, ni bora ukiufananisha na ulimwengu upi?
Hujaelewa! Nadhani mtoa mada alitaka kutufundisha kuwa hakuna kitu chenye uwezo wa kujiumba! Atheist ameona gari zuri akasema aliyelibuni alituliza akili kweli kweli! Kama akiambiwa hilo gari halikubuniwa wala kuundwa na mtu huja juu! Madai yake, gari haliwezi kujiunda lazima yupo aliyeliunda!

Kama hivyo ndivyo! Tunawaomba ma'atheist' kukubali pia, mwanadamu hakujiumba!!! Lazima yupo aliyemuumba! Na kama yupo, hawezi kuwa mwingine zaidi ya MUNGU!
 
Hujaelewa! Nadhani mtoa mada alitaka kutufundisha kuwa hakuna kitu chenye uwezo wa kujiumba! Atheist ameona gari zuri akasema aliyelibuni alituliza akili kweli kweli! Kama akiambiwa hilo gari halikubuniwa wala kuundwa na mtu huja juu! Madai yake, gari haliwezi kujiunda lazima yupo aliyeliunda!

Kama hivyo ndivyo! Tunawaomba ma'atheist' kukubali pia, mwanadamu hakujiumba!!! Lazima yupo aliyemuumba! Na kama yupo, hawezi kuwa mwingine zaidi ya MUNGU!
Wewe ndio hujaelewa

Unaposema nyumba ina muundaji maana yake ni kitu ambacho una ushahidi nacho, ni kitu ambacho umeki experience kupitia mazingira uliyotoka, ni kitu ambacho kina fahamika na kila mtu na hata wewe unaishi kwenye nyumba. So kufikiria nyumba imeumbwa ni fact based on personal experience.

Sasa Ulimwengu umeumbwa, una experience yeyote kusapoti madai yako? Wapi uliwahi kuona ulimwengu ukiumbwa ili tuone ni sawa kufikiria huu ulimwengu umeumnwa?



Nisome vizuri hapa

Kiufupi mleta mada kaja na analogy ya watchmaker ya William Paley ambayo katika teleological arguments hii ni moja ya analogy ya kijinga sana

Hii ni teleological argument inayojaribu Kuonesha uwepo wa Mungu kupitia mfano wa msanifu wa saa.

Hoja hii ilianzishwa na Paley miaka ya 1770s, Paley alidai kuwa ukienda beach katika matembezi yako fukwe ya bahari ukakuta saa chini lazima utajua tu kuwa ile saa imetengenezwa.

Alichokuwa anajaribu kusema Paley ni kuwa saa inalazimika kuwa na mtengenezaji, sasa na ulimwengu nao utahitaji mtengenezaji?

Sasa jaribu kufikiria katika mfano huo kwa kutanua wigo mpana wa mawazo, yani baada ya kutoka hapo kwenye saa ukaendelea na matembezi zaidi kwenye fukwe za beach halafu ukakuta mwamvuli, je utafikiria kuwa mtengeneza saa ndio aliye tengeneza na huo mwamvuli?

Hapana huwezi kufikiria namna hiyo, utafikiria kuwa umetengenezwa na mtengeneza miamvuli

Na tukisema tutembee tuizunguke hiyo beach tukakutana na toy la watoto, mtoa mada atafikiria kuwa ni mtengeneza saa au mtengeneza miamvuli ndio aliyetengeneza hilo toy la watoto?

Je hii haiwezi kuwahusisha watengenezaji wengi tofauti tofauti wa ulimwengu, kuwa responsible kwa kila kilichoumbwa?

The fact ni kwamba hii lazima ihusishe creators wengi wa ulimwengu na kila kitu kilichomo ndani yake.

Ukitika hapo utajiuliza maswali haya

Nani alimfundisha mtengeneza saa, mtengeneza miamvuli na mtengeneza toy?

Na nani aliwafundisha walimu wao?

After all hata ukimsoma mgunduzi wa saa ya kwanza Peter Henlein alijifunza akiwa kijana mdogo jinsi ya kuwa locksmith (katika hizo nyakati locksmith ilikuwa ni moja ya craftsmen wachache wenye uwezo na vifaa vya kuingia kwenye field ya clock making)

Alisaidiwa na craftsmen wengi pamoja na wasomi wa waliokuwa jirani na monk Friedrich Krafft ambaye alitengeneza Astrologium ambayo ni very complicated na alikuwa ni msomi wa vitu vigumu kama mathematics na astronomers ambaye alimsaidia kumpa new techniques na vifaa ambavyo vilimsaidia kutengeneza saa ya kwanza.

Kwa hiyo saa haina muundaji, ina waundaji.

Kama Paley aliangalia saa iliyopo chini na kujiuliza kuwa saa hii lazima iwe na muundaji, basi ni wazi alikuwa mjinga.

Kwasababu kama alijua kuwa ni saa lakini hakuwa na hakika kama imeundwa basi hakuwa na akili sio?

Na kama hakuweza kuelewa utofauti wa saa na vilivyomzunguka basi hakuwa mtu mwenye akili timamu.
 
Unachunguza kuangalia kama kitu ni cha kweli au cha uongo[emoji2377][emoji849]... simple tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali, nililo kuuliza. Inakuwaje huwa hamjibu maswali mnayo ulizwa. Nimekuuliza huwa mnafanyaje kuujua ukweli ? Lazima uwe na misingi inayotajika. Ulitakiwa uonyeshe namba unazopitia kuipata ukweli. Sababu hili swali pili nakuuliza kwa Kiswahili chepesi, lakini hujibu kama swali linavyotaka. Kuchunguza siyo jibu la swali.

Natarijia ukini quote utakuja na majibu ya maswali niliyo kuuliza.
 
Hujajibu swali, nililo kuuliza. Inakuwaje huwa hamjibu maswali mnayo ulizwa. Nimekuuliza huwa mnafanyaje kuujua ukweli ? Lazima uwe na misingi inayotajika. Ulitakiwa uonyeshe namba unazopitia kuipata ukweli. Sababu hili swali pili nakuuliza kwa Kiswahili chepesi, lakini hujibu kama swali linavyotaka. Kuchunguza siyo jibu la swali.

Natarijia ukini quote utakuja na majibu ya maswali niliyo kuuliza.
Ili kujua ukweli inabidi ufanye utafiti... au unataka nijibu nn? Unataka niseme kwamba kuujua ukweli inabidi uambiwe afu uamini tu...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nadhani unaua nzi kwa gobole! Swali ni jepesi mno na halihitaji maelezo mengi namna hii!

Kiumbe kinaweza kujiumba pasipo muumbaji? Yaani mfano, je, peni unayoandikia inaweza kujiunda yenyewe? Kikombe kinaweza kujiumba???? Kama jibu lako ni HAPANA basi hata wewe HUKUTOKEA tu! Yupo aliyekuumba!

Yaani, kama mifumo rahisi kabisa iliyofanyika kwa mikono na akili ndogo ya mwanadamu haikutokeatokea tu sembuse complicated system iliyofanyika kwa akili nyingi sana????

Nawashauri mtoke kwenye ulevi wenu na mkubali kuwa yupo MUNGU muumba wa vyote!!
 
Kwa hiyo Mungu sio mjuzi wa vyote kwa maana ya kwamba kujua yaliyopo, yaliyopita na yajayo?

Kwamba kuna vitu vinafanyika ambavyo yeye mwenyewe anashangaa kwasababu hakuwahi kujua kama vitatokea?
Mungu ni mjuzi wa umbaji wa viumbe vyote. Pia alitoa dira na mwelekeo wa uwiano wa maisha katika mazingira aliyoishi, anayoishi na atakayoishi.
 
Back
Top Bottom