Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Unavyosema mjuzi wa uumbaji unakusudia kusema ujuzi wake upo limited?Mungu ni mjuzi wa umbaji wa viumbe vyote. Pia alitoa dira na mwelekeo wa uwiano wa maisha katika mazingira aliyoishi, anayoishi na atakayoishi.
Yani kuna vitu vinafanyika by surprised?