Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Ni kwasababu haupo specific

Labda nikuulize tena kwa namna nyepesi

Mungu wako unayemuamini kuwa yupo ana sifa ya ujuzi wote wa kujua yaliyopita, yajayo na ya sasa?

Au hana ujuzi wote yani kuna vitu vinafanyika bila yeye kujua?
Sijawa specific kwa lipi?
Nimekujibu post # 1261. Ni kitu gani hujaelewa katika jibu hilo?

Maswali yako ni yeleyale kwa namna tofauti. Nami pia majibu yangu ni yaleyale kwa namna tofauti.
 
Kwasababu swali nililokuuliza na jibu ulilotoa ni irrelevant

Nilikuuliza Je Mungu sio mjuzi wa vyote kwa maana ya kwamba kutojua yaliyopo, yaliyopita na yajayo?

We ukajibu Mungu ni mjuzi wa umbaji wa viumbe vyote

Jibu lako liko irrelevant kwasababu halijagusa msingi wa swali langu, swali halijauliza kuhusu ujuzi wa uumbaji.

Swali limeuliza kuhusu sifa ya ujuzi wa Mungu, je ni mjuzi wa yote?

Kuna jambo ambalo linaweza kufanyika bila yeye kujua?
 
Hapo kwenye kumthibitisha nitaomba nikusumbue uingie kwenye ulimwengu wa kiroho kwa njia ya maombi naamini atajifunua kwako!

Mfano, binafsi nimewahi kumuomba Mungu ajidhihirishe kwangu katika changamoto mbalimbali nilizopitia na alitenda yasiyowezekana kutendeka kwa uwezo wangu wa kibinadamu!

Wapo walimuomba awaponye magonjwa na walipona! Wapo waliomwomba awape hiki na kile na ikawa! Hata wewe kwa uaminifu ukimwomba Mungu ajifunue kwako kwa namna unayotaka naamini atatenda! Lakini kwamba nikwambie twende nikuoneshe Mungu yupo Tabata nadhani nitakuwa nakudanganya!
I've been there, I've done that. Ila nilichoona tu ni kama coincidence tu znatokea. Ukiomba kitu kisipotokea kama ulivoomba utaambiwa 'Mungu ana makusud yake, ni mipango ya Mungu.. blah blah' ikitokea kama ulivoomba utaambiwa ni kaz ya mungu.
Ila nimekuja kuona uombe usiombe things will just happen regardless, mazuri au mabaya yatahappen tu. Nilipokua na miaka 10 maza aliugua vby sana. Walisali, wakafunga ila wapi, mwisho wa siku alided tu. Nikaambiwa vitu like "kaz ya Mungu hio, anajua kilichobora kwako" yani loosing ur mama at 10 was the better option!! [emoji23]...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza pole sana kwa kumpoteza mama at a young age! Ni kweli kabisa kuna wakati unaweza kuomba na usipokee vile ulivyoomba! Huo huwa ni wakati mgumu sana! Lakini pamoja na yote hayo, huwezi amini Mungu huwa anakuwa amejibu na amejibu vizuri zaidi ya unavyoweza kufikiri!

Katika ujana wetu kuna wakati tulikuwa tukitongozatongoza mabinti na wapo waliotuvunja moyo kwa majibu mabaya yenye kukatisha tamaa na wakati mwingine kutukimbiza kwa matusi mazito kabisa! Lakini wakati mwingine binti huyo huyo kumbe anakuwa alishakupenda kuzidi wewe kama ungechelewa kumtongoza pengine angekutongoza wewe! Kwanini akujibu vibaya? Anapima upendo ulionao kwake!! Anataka kujua je, unampenda kweli au unataka kumpotezea muda wake? Mwenye upendo wa kweli, atakomaa hata atukanwe vipi!!! Mwenye lengo la kupita atapita mbali baada ya matusi!

Hata Mungu kuna wakati anapima kiwango chako chamani! Unamaanisha hicho unachoomba? Mungu hadhihakiwi wala hajaribiwi!!! Ukiomba lolote kwa imani lazima upokee!!

Wakati wa utumishi wake hapa duniani, kila alipoponya wagonjwa Yesu alimwambia mgonjwa husika IMANI YAKO IMEKUPONYA!! Kumbe kinachoponya mtu ni imani yake! Siyo kila ombi lina maana kwake! Kuna mengine ni kelele! Ombi lenye maana ni lile la mtu anayeomba kwa kumaanisha! Anayeomba kwa imani! Maandiko matakatifu yanasema, ukiwa na imani ndogo mfano wa punje ya haradani unaweza hamisha mlima!
 
Kwasababu swali nililokuuliza na jibu ulilotoa ni irrelevant

Nilikuuliza Je Mungu sio mjuzi wa vyote kwa maana ya kwamba kutojua yaliyopo, yaliyopita na yajayo?

We ukajibu Mungu ni mjuzi wa umbaji wa viumbe vyote

Jibu lako liko irrelevant kwasababu halijagusa msingi wa swali langu, swali halijauliza kuhusu ujuzi wa uumbaji.

Swali limeuliza kuhusu sifa ya ujuzi wa Mungu, je ni mjuzi wa yote?

Kuna jambo ambalo linaweza kufanyika bila yeye kujua?
Maswali yako hayana afya ya kiroho, ni ya kutiana ujinga tu. Unataka nijibu kwa jinsi unavyotaka wewe. Majibu ya ndio au hapana.

Hebu angalia maswali yako; nanukuu:

Unaona muundo wa swali lako? Nikisema ndio, utasema Mungu ana sifa ya ujuzi wa kubaka pia! Nikisema hapana, utasema Mungu hana sifa ya ujuzi wa yote. Nimekujibu Mungu ni mjuzi wa umbaji wa viumbe vyote, unasema jibu langu ni irrevant. Afanaleki! Usinitie ujinga kizembe.

Nanukuu tena:
Kuna jambo ambalo linaweza kufanyika bila yeye kujua?
Kufanyika kwa jambo ni suala la tabia, sio suala la uumbaji. Na wewe unajua hivyo.
Mungu hakutuumbia tabia, alituumbia akili.
Ndiyo maana nilikujibu kuwa, Mungu alitoa dira na mwelekeo ili tuishi muda wote kwa uwiano na mazingira yetu.

Majibu mengine sio ya ndio au hapana, bali ni ya kukupa mwanga ili nafsi yako iseme ndio au hapana.
 
Maswali yako hayana afya ya kiroho, ni ya kutiana ujinga tu. Unataka nijibu kwa jinsi unavyotaka wewe. Majibu ya ndio au hapana.

Hebu angalia maswali yako; nanukuu:
Swali limeuliza kuhusu sifa ya ujuzi wa Mungu, je ni mjuzi wa yote?
Unaona muundo wa swali lako? Nikisema ndio, utasema Mungu ana sifa ya ujuzi wa kubaka pia! Nikisema hapana, utasema Mungu hana sifa ya ujuzi wa yote. Nimekujibu Mungu ni mjuzi wa umbaji wa viumbe vyote, unasema jibu langu ni irrevant. fanaleki! Usinitie ujinga kizembe.
Hiyo ni fallacy of Argument from Adverse Consequences, kusema hoja itakuwa ni uongo kwasababu implications za kuifanya iwe kweli zinaleta matokeo hasi.

Sijaelewa....yani kwamba unajaribu kukwepa baadhi ya maswali ambayo ukiyajibu yataonesha Mungu wako hayupo makini....so unamfichia aibu Mungu wako kwa kutoyajibu?

Kwani kubaka ni jambo baya? Kama ni baya kwanini aliumba ulimwengu ambao ubakaji unaweza ukafanyika?

Kama alijua ubakaji utakuwepo na alikuwa na nguvu za kuufanya usiwepo huoni ubakaji ni mpango wake?

So rudi kwenye swali tena

Mungu wako ni mjuzi wa yote?

Kuna jambo linalofanyika bila yeye kujua
 
Nanukuu tena:
Kuna jambo ambalo linaweza kufanyika bila yeye kujua?
Kufanyika kwa jambo ni suala la tabia, sio suala la uumbaji. Na wewe unajua hivyo.
Mungu hakutuumbia tabia, alituumbia akili.
Ndiyo maana nilikujibu kuwa, Mungu alitoa dira na mwelekeo ili tuishi muda wote kwa uwiano na mazingira yetu.

Majibu mengine sio ya ndio au hapana, bali ni ya kukupa mwanga ili nafsi yako iseme ndio au hapana.
Yani pamoja na ku highlight maandishi lakini bado hujalielewa swali.

Swali limehoji katika muktadha wa "ukuu wa Mungu katika dhana ya ujuzi usiokuwa na mipaka"

Ukiambiwa mjuzi wa yote (omniscient) maana yake hakuna kitu ambacho hakijui

Omniscient anajua yaliyopita, yajayo na ya sasa. Je Mungu wako sifa hii anayo au amepungukiwa kuna vitu vinafanyika yeye bila kuvijua?
 
Teknologia yote unayoitumia ni kazi ya Atheists, kweli wana mtindio wa ubongo? Hapo umesema kinyume. Do you understand in order to believe or you believe in order to understand?
 
Hiyo ni fallacy of Argument from Adverse Consequences, kusema hoja itakuwa ni uongo kwasababu implications za kuifanya iwe kweli zinaleta matokeo hasi.

Sijaelewa....yani kwamba unajaribu kukwepa baadhi ya maswali ambayo ukiyajibu yataonesha Mungu wako hayupo makini....so unamfichia aibu Mungu wako kwa kutoyajibu?

Kwani kubaka ni jambo baya? Kama ni baya kwanini aliumba ulimwengu ambao ubakaji unaweza ukafanyika?

Kama alijua ubakaji utakuwepo na alikuwa na nguvu za kuufanya usiwepo huoni ubakaji ni mpango wake?

So rudi kwenye swali tena

Mungu wako ni mjuzi wa yote?

Kuna jambo linalofanyika bila yeye kujua
Sio kweli kwamba hoja zangu ni za uwongo, na wala si matokeo mabaya ya kujibu hoja zako.

Unauliza maswali yasiyo na umuhimu. Misingi ya maswali yako ni ya kufikirika na hayalengi kutoa majibu yenye uhalisia. Unastahili kupata majibu sahihi, lakini maswali yako hayana afya ya kuleta majibu sahihi.

Unaniuliza ati je Mungu ana ujuzi wa yote! Najua unataka jibu la ndio au hapana. Lakini ni nani anayefahamu upana wa ujuzi wa Mungu? Una uhakika mimi nayajua yote? Huko ni kujitoa ufahamu.

Pia unauliza kama kuna jambo linalofanyika bila yeye [Mungu] kujua. Nilikujibu kuwa kufanyika kwa jambo ni suala la tabia na tabia inatokana na nafsi. Sasa je mimi ni nafsi ya Mungu mpaka unaniuliza swali la nafsi yake. Tusitiane ujinga tafadhali.

Kimsingi nimekupa majibu sahihi. Soma tena bila kujitoa ufahamu, utaelewa tu.
 
Yani pamoja na ku highlight maandishi lakini bado hujalielewa swali.

Swali limehoji katika muktadha wa "ukuu wa Mungu katika dhana ya ujuzi usiokuwa na mipaka"

Ukiambiwa mjuzi wa yote (omniscient) maana yake hakuna kitu ambacho hakijui

Omniscient anajua yaliyopita, yajayo na ya sasa. Je Mungu wako sifa hii anayo au amepungukiwa kuna vitu vinafanyika yeye bila kuvijua?
Swali nimelielewa vema tu. Sio swali jipya, lilelile, na nilikujibu. Natafuta namna nyingine ya kukujibu, lakini kwanza nipe mifano ya madai yako, hususani la ujuzi wa mambo yajayo.
 
Sio kweli kwamba hoja zangu ni za uwongo, na wala si matokeo mabaya ya kujibu hoja zako.

Unauliza maswali yasiyo na umuhimu. Misingi ya maswali yako ni ya kufikirika na hayalengi kutoa majibu yenye uhalisia. Unastahili kupata majibu sahihi, lakini maswali yako hayana afya ya kuleta majibu sahihi.

Unaniuliza ati je Mungu ana ujuzi wa yote! Najua unataka jibu la ndio au hapana. Lakini ni nani anayefahamu upana wa ujuzi wa Mungu? Una uhakika mimi nayajua yote? Huko ni kujitoa ufahamu.

Pia unauliza kama kuna jambo linalofanyika bila yeye [Mungu] kujua. Nilikujibu kuwa kufanyika kwa jambo ni suala la tabia na tabia inatokana na nafsi. Sasa je mimi ni nafsi ya Mungu mpaka unaniuliza swali la nafsi yake. Tusitiane ujinga tafadhali.

Kimsingi nimekupa majibu sahihi. Soma tena bila kujitoa ufahamu, utaelewa tu.
Unakwepa maswali kwasababu unajua yanaenda ku reveal uongo kwenye dhana ya uwepo wa Mungu

Mimi nimekuuliza swali kama Mungu wako ana sifa za ukuu usio na mipaka ili kumtofautisha na binadamu ambaye ni dhaifu

Sasa kama ume-hesitate kujibu directly kuwa Mungu ni mjuzi wa yote ukawaza kuwa kuna points ambazo zinaweza kuonesha dosari basi hapo umeonesha wasiwasi katika dhana ya ukuu wa Mungu kwenye ujuzi wote.

Na kwasababu umeonesha wasiwasi basi hawezi kuwa mkuu aliyekamilika kila idara, hawezi kuwa ni Mungu mwenye standard za kufanya kila kitu kwa usahihi

**********************************************

Kwahiyo swala la kusema jambo kufanyika kwa tabia, linafanyika bila Mungu kujua?

Mungu hawezi kuyajua mambo yanayofanyika kwa tabia na nafsi?

So umekubali kuwa ujuzi wa Mungu upo limited kwa mazingira hayo uliyosema?
 
Swali nimelielewa vema tu. Sio swali jipya, lilelile, na nilikujibu. Natafuta namna nyingine ya kukujibu, lakini kwanza nipe mifano ya madai yako, hususani la ujuzi wa mambo yajayo.
Ukiulizwa kama Mungu ni mjuzi wa yote ukapewa option ya kujibu "ndio au hapana"

Utajibu swali au utaona swali linahitaji maelezo kwasababu zipo nyakati jibu la ndio huwa sahihi na vile vile zipo nyakati jibu la hapana huwa sahihi?
 
Unakwepa maswali kwasababu unajua yanaenda ku reveal uongo kwenye dhana ya uwepo wa Mungu

Mimi nimekuuliza swali kama Mungu wako ana sifa za ukuu usio na mipaka ili kumtofautisha na binadamu ambaye ni dhaifu

Sasa kama ume-hesitate kujibu directly kuwa Mungu ni mjuzi wa yote ukawaza kuwa kuna points ambazo zinaweza kuonesha dosari basi hapo umeonesha wasiwasi katika dhana ya ukuu wa Mungu kwenye ujuzi wote.

Na kwasababu umeonesha wasiwasi basi hawezi kuwa mkuu aliyekamilika kila idara, hawezi kuwa ni Mungu mwenye standard za kufanya kila kitu kwa usahihi

**********************************************

Kwahiyo swala la kusema jambo kufanyika kwa tabia, linafanyika bila Mungu kujua?

Mungu hawezi kuyajua mambo yanayofanyika kwa tabia na nafsi?

So umekubali kuwa ujuzi wa Mungu upo limited kwa mazingira hayo uliyosema?
Sijakwepa maswali yako na sina sababu ya kukwepa. Nimeyajibu yote. Tatizo lako umekusudia kugoma kuelewa. Kama unasema na-hastate kuijbu directly, ina maana tayari umejiwekea malengo jinsi ya kujibiwa. Umegeuza mjadala kuwa vitendawili.

Kuamini kuwa Mungu yupo, hakumaanishi kuwa mimi ni Mungu. Unaniuliza maswali ambayo Mungu pekee ndiye mwenye majibu.

Sina wasiwasi wowote kujibu maswali yako. Najibu kulingana na mipaka ya uwezo wangu wa kujibu. Sina uwezo wa kumjibia Mungu.

Umeuliza pia kama ujuzi wa Mungu umekuwa na ukomo. Sijui jibu kama ni ndio au hapana. Ni kwa sababu sifahamu dimensions za ukuu na ujuzi wa Mungu.

Ninachojua, ni uwepo wa Mungu, mjuzi wa uumbaji wa viumbe vyote, ukiwemo na wewe.
 
Ukiulizwa kama Mungu ni mjuzi wa yote ukapewa option ya kujibu "ndio au hapana"

Utajibu swali au utaona swali linahitaji maelezo kwasababu zipo nyakati jibu la ndio huwa sahihi na vile vile zipo nyakati jibu la hapana huwa sahihi?
Hebu nipe kwanza mifano ya madai yako, hususani la ujuzi wa Mungu wa mambo yajayo.
 
Hapa unasema maswali umeyajibu

Hapa unakiri kuwa maswali niliyokuuliza Mungu ndio anayajua majibu yake.

Kwa maana kwamba ulichokisema hapo juu kuwa umejibu, ni uongo.

Kama maswali unayoulizwa yamekuzidi uwezo ukisema tu hujui mi nitakuelewa, ila uki spin swali kwa lengo la kujirahisishia utaonekana unakwepa hoja ambazo zina reveal uongo kwenye dhana ya uwepo wa Mungu

Hapa sasa kwa kukubali kuwa hujui ndio umefanya uungwana

Na sasa naondoka eneo hilo nakuuliza swali lingine.

Una amini Mungu katika msingi wa dini?

Kama ndio niambie dini gani?

Kwa hiyo ujuzi wa Mungu umeu-set katika single room ya uumbaji tu, nje na hapo Mungu sio mjuzi wa yote sio?

Umesema Mungu ni mjuzi wa uumbaji, kwa maana hiyo kabla ya uumbaji Mungu wako hakuwa na ujuzi.
 
Mambo ambayo bado hayajatokea, mambo ambayo yapo mbele ya wakati

Mfano kitachofanyika 2050 Mungu anauwezo wa kukijua au ni mpaka tuifikie hiyo 2050 na hicho kitu kifanyike ndio naye akijue?

Au kabla wewe hujazaliwa, Mungu hakujua kuwa utazaliwa?

*********************†********************

Ukiulizwa kama Mungu ni mjuzi wa yote ukapewa option ya kujibu "ndio au hapana"

Utajibu swali au utaona swali linahitaji maelezo kwasababu zipo nyakati jibu la ndio huwa sahihi na vile vile zipo nyakati jibu la hapana huwa sahihi?
 
Mambo ambayo bado hayajatokea, mambo ambayo yapo mbele ya wakati

Mfano kitachofanyika 2050 Mungu anauwezo wa kukijua au ni mpaka tuifikie hiyo 2050 na hicho kitu kifanyike ndio naye akijue?

Au kabla wewe hujazaliwa, Mungu hakujua kuwa utazaliwa?

*********************†********************

Ukiulizwa kama Mungu ni mjuzi wa yote ukapewa option ya kujibu "ndio au hapana"

Utajibu swali au utaona swali linahitaji maelezo kwasababu zipo nyakati jibu la ndio huwa sahihi na vile vile zipo nyakati jibu la hapana huwa sahihi?
Ngoja tumsubiri aje ajibu
 
Maswali yako ni yaleyale, awali nilikujubu .

Nakunukuu:
"Hapa unakiri kuwa maswali niliyokuuliza Mungu ndio anayajua majibu yake.
Kwa maana kwamba ulichokisema hapo juu kuwa umejibu, ni uongo."

Hapana, sio uongo. Shida ipo kwako.Kwa makusudi, umejizima data za ufahamu. Hivyo huwezi kuelewa.

Nakunukuu:
"Kama maswali unayoulizwa yamekuzidi uwezo ukisema tu hujui mi nitakuelewa, ila uki spin swali kwa lengo la kujirahisishia utaonekana unakwepa hoja ambazo zina reveal uongo kwenye dhana ya uwepo wa Mungu"

Sio kwamba yamenizidi uwezo, bali akili zangu hazina ufunuo wa majibu yake.

Nakunukuu:
"Hapa sasa kwa kukubali kuwa hujui ndio umefanya uungwana.
Na sasa naondoka eneo hilo nakuuliza swali lingine. Una amini Mungu katika msingi wa dini?
Kama ndio niambie dini gani?"

Uungwana hutendwa na muungwana, na majibu yake ni ya kiungwana pia.
Naamini Mungu katika msingi wa imani. Elewa kwamba, Mungu hatokani na dini. Hivyo sioni umhimu wa kujibu swali hilo.

Nakunukuu:
"Kwa hiyo ujuzi wa Mungu umeu-set katika single room ya uumbaji tu, nje na hapo Mungu sio mjuzi wa yote sio?
Umesema Mungu ni mjuzi wa uumbaji, kwa maana hiyo kabla ya uumbaji Mungu wako hakuwa na ujuzi."

Nilikujibu kuwa sijui dimensions za ujuzi wa Mungu. Ni mojawapo ya maswali ambayo sina majawabu yake.
 
Mambo ambayo bado hayajatokea, mambo ambayo yapo mbele ya wakati

Mfano kitachofanyika 2050 Mungu anauwezo wa kukijua au ni mpaka tuifikie hiyo 2050 na hicho kitu kifanyike ndio naye akijue?

Au kabla wewe hujazaliwa, Mungu hakujua kuwa utazaliwa?

*********************†********************

Ukiulizwa kama Mungu ni mjuzi wa yote ukapewa option ya kujibu "ndio au hapana"

Utajibu swali au utaona swali linahitaji maelezo kwasababu zipo nyakati jibu la ndio huwa sahihi na vile vile zipo nyakati jibu la hapana huwa sahihi?
Nilikutaka utaje jambo fulani angalau kama mfano, lakini hujafanya hivyo, badala yake unataja mwaka 2050 bila kutaja jambo lolote. Je katika mwaka huo unaweza kutaja ni jambo gani litafanyika kama mfano, ambalo unataka kujua kama Mungu anajua? Litaje hilo ili tuhojiane katika hilo.

Chaguo la kujibu "ndio" au "hapana" ni rahisi sana kama jawabu lake linaleta uhalisia. Hilo swali halijibiki kama jawabu lake halina uhalisia wake. Sio kila swali linafahamika jibu lake.
 
Back
Top Bottom