Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Huwezi kuuliza ujuzi wa Mungu bila kumgusa Mungu mwanyewe na nafsi yake.

Ni kweli unafanya mjadala na mimi, lakini ni mjadala juu ya Mungu.

Kuleta habari za Mungu hakumaanishi niko nafsi ya Mungu.

Kukuambia Mungu ndiye anayejua jibu la swali lako, pia ni jibu.
Nami sijamgusa, nimehoji dhana ambayo wewe umeiwasilisha.

Sasa unataka hoja yako ikubaliwe bila uthibitisho?

Hujaweza hata kuthibitisha ili kuonesha kweli yupo, so hayo madai ya nafsi yanakujaje?

Dhana ambayo umeiongelea kwa kuihusisha na vitu vingi bila kujali kuwa ni nafsi au la, ila ulivyoulizwa maswali ume switch kwa hoja ya nafsi ili kukwepa maswali.

Kuniambia Mungu ndio anayejua, sio jibu la swali langu "Mungu ana ujuzi wote au hana"
 
Akitokea mtu akaja na madai yanayopinga hoja zako kuonesha ulichokiongea ni uongo halafu naye akasisitiza kuwa madai yake ni historia, hiyo itaonesha ni kweli wewe mi muongo?
Historia ipo kwa jinsi ilivyo na uhalisia wake. Historia haihitaji kusisitizwa bali hujidhihirisha yenyewe kwa yaliyotokea.

Mtu anaweza kuwa muongo lakini sio historia.Hakuna uongo katika historia.
 
Uhalisia unaupimaje?

Kuna historia imesema binadamu wametokana na nyani

Unakubali?
 
Nipe maana ya wahenga

Unapima vipi kujua historia hii ni kweli na sio manipulation?
Wahenga ni neno la kiswali na sina jinsi nyingine ya kukuelezea.

Habari ikiwa manipulated inakuwa si historia tena, ni kitu kingine.

Waone wahenga watakupa maelezo.
 
La kiswahili lenye maana gani?

We utajuaje hii ni historia na siyo ni manipuated ila tu wewe hujajua?

Wehenga ni nini?
 
Kwani kuamini kuwa Mungu yupo kunaihitaji makubaliano na dini?
Mimi sijasema kuhusu makubaliano

Umesema hupingani na dini, kwa hiyo ni wazi kwamba unakubaliana na dini

Dini ina wigo mpana, kwa hiyo nataka uwe specific uniambie ni dini gani ambayo wewe unaikubali
 
Uhalisia unaupimaje?

Kuna historia imesema binadamu wametokana na nyani

Unakubali?
Uhalisia wa historia unatokana na wahenga.

Wahenga wakisema binadamu wanatokana na nyani nitakubali, lakini si vinginevyo.
 
Nami sijamgusa, nimehoji dhana ambayo wewe umeiwasilisha.

Sasa unataka hoja yako ikubaliwe bila uthibitisho?

Hujaweza hata kuthibitisha ili kuonesha kweli yupo, so hayo madai ya nafsi yanakujaje?

Dhana ambayo umeiongelea kwa kuihusisha na vitu vingi bila kujali kuwa ni nafsi au la, ila ulivyoulizwa maswali ume switch kwa hoja ya nafsi ili kukwepa maswali.

Kuniambia Mungu ndio anayejua, sio jibu la swali langu "Mungu ana ujuzi wote au hana"
Uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni kwa njia ya imani. Hata wanaosema Mungu hayupo pia uthibitisho wao ni kwa njia ya imani.

Ni mara kwa mara umeuliza "Mungu ana ujuzi wote au hana" Mimi sijui ujuzi wake wote. Ndio maana nakujibu kuwa Mungu ni mjuzi wa uumbaji wa viumbe vyote. Huo ndio ujuzi ninaoujua.

Jibu la kusema "Mungu ndiye anayejua" pengine sio jibu sahihi kwako, lakini nakupa uelekeo wa kupata jibu la swali lako.
 
Mimi sijasema kuhusu makubaliano

Umesema hupingani na dini, kwa hiyo ni wazi kwamba unakubaliana na dini

Dini ina wigo mpana, kwa hiyo nataka uwe specific uniambie ni dini gani ambayo wewe unaikubali
Angalia post yako #1380. Umeniuliza nakubaliana na dini gani.

Ni kweli dini ina wingo mpana, lakini hata kabla ya dini Mungu alikuwa anabudiwa kwa mapana. Hata hivyo, siuoni umhimu wa kujua ni dini gani, kwa sababu haitasaidia mjadala wetu.
 
Uhalisia wa historia unatokana na wahenga.

Wahenga wakisema binadamu wanatokana na nyani nitakubali, lakini si vinginevyo.
Hujajibu swali

Uhalisia unaupimaje?

Halafu hao wahenga bado hujafafanua ni nini
 
Uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni kwa njia ya imani. Hata wanaosema Mungu hayupo pia uthibitisho wao ni kwa njia ya imani.

Ni mara kwa mara umeuliza "Mungu ana ujuzi wote au hana" Mimi sijui ujuzi wake wote. Ndio maana nakujibu kuwa Mungu ni mjuzi wa uumbaji wa viumbe vyote. Huo ndio ujuzi ninaoujua.

Jibu la kusema "Mungu ndiye anayejua" pengine sio jibu sahihi kwako, lakini nakupa uelekeo wa kupata jibu la swali lako.
Imani ni nini?
 
IQ ya Mwafrika ni ndogo kuliko ya mzungu, hivyo kuvumbua kitu sio rahisi. Angalia tulivyopokea dini zao bila kuhoji, ingekuwa Mwafrika apeleke imani yake Ulaya angehojiwa na kufukuzwa. Basi wenye mtindio wa ubongo ni wale wanaopokea tu bila kuhoji. Mungu kaandaa moto wa kuchoma watu wabaya, ni kwa nini usihoji kuwa Mungu aliumbaje wabaya? Tuliitika "ndio Mzee"
 
Back
Top Bottom