Mmeme
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 700
- 298
Sijakuelewa!Hiyo pia ni hoja kwa njia ya mfano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa!Hiyo pia ni hoja kwa njia ya mfano
Nami sijamgusa, nimehoji dhana ambayo wewe umeiwasilisha.Huwezi kuuliza ujuzi wa Mungu bila kumgusa Mungu mwanyewe na nafsi yake.
Ni kweli unafanya mjadala na mimi, lakini ni mjadala juu ya Mungu.
Kuleta habari za Mungu hakumaanishi niko nafsi ya Mungu.
Kukuambia Mungu ndiye anayejua jibu la swali lako, pia ni jibu.
Ulikuwa unaulizia mfano, huo pia ni mfanoSijakuelewa!
Historia ipo kwa jinsi ilivyo na uhalisia wake. Historia haihitaji kusisitizwa bali hujidhihirisha yenyewe kwa yaliyotokea.Akitokea mtu akaja na madai yanayopinga hoja zako kuonesha ulichokiongea ni uongo halafu naye akasisitiza kuwa madai yake ni historia, hiyo itaonesha ni kweli wewe mi muongo?
Uhalisia unaupimaje?Historia ipo kwa jinsi ilivyo na uhalisia wake. Historia haihitaji kusisitizwa bali hujidhihirisha yenyewe kwa yaliyotokea.
Mtu anaweza kuwa muongo lakini sio historia.Hakuna uongo katika historia.
Wahenga ni neno la kiswali na sina jinsi nyingine ya kukuelezea.Nipe maana ya wahenga
Unapima vipi kujua historia hii ni kweli na sio manipulation?
Kwani kuamini kuwa Mungu yupo kunaihitaji makubaliano na dini?Kwa hiyo unakubaliana na dini gani?
Bado hujatoa maana kuhusu wahenga
La kiswahili lenye maana gani?Wahenga ni neno la kiswali na sina jinsi nyingine ya kukuelezea.
Habari ikiwa manipulated inakuwa si historia tena, ni kitu kingine.
Waone wahenga watakupa maelezo.
Mimi sijasema kuhusu makubalianoKwani kuamini kuwa Mungu yupo kunaihitaji makubaliano na dini?
Uhalisia wa historia unatokana na wahenga.Uhalisia unaupimaje?
Kuna historia imesema binadamu wametokana na nyani
Unakubali?
Uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni kwa njia ya imani. Hata wanaosema Mungu hayupo pia uthibitisho wao ni kwa njia ya imani.Nami sijamgusa, nimehoji dhana ambayo wewe umeiwasilisha.
Sasa unataka hoja yako ikubaliwe bila uthibitisho?
Hujaweza hata kuthibitisha ili kuonesha kweli yupo, so hayo madai ya nafsi yanakujaje?
Dhana ambayo umeiongelea kwa kuihusisha na vitu vingi bila kujali kuwa ni nafsi au la, ila ulivyoulizwa maswali ume switch kwa hoja ya nafsi ili kukwepa maswali.
Kuniambia Mungu ndio anayejua, sio jibu la swali langu "Mungu ana ujuzi wote au hana"
Upi?Ulikuwa unaulizia mfano, huo pia ni mfano
Angalia post yako #1380. Umeniuliza nakubaliana na dini gani.Mimi sijasema kuhusu makubaliano
Umesema hupingani na dini, kwa hiyo ni wazi kwamba unakubaliana na dini
Dini ina wigo mpana, kwa hiyo nataka uwe specific uniambie ni dini gani ambayo wewe unaikubali
Hujajibu swaliUhalisia wa historia unatokana na wahenga.
Wahenga wakisema binadamu wanatokana na nyani nitakubali, lakini si vinginevyo.
Imani ni nini?Uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni kwa njia ya imani. Hata wanaosema Mungu hayupo pia uthibitisho wao ni kwa njia ya imani.
Ni mara kwa mara umeuliza "Mungu ana ujuzi wote au hana" Mimi sijui ujuzi wake wote. Ndio maana nakujibu kuwa Mungu ni mjuzi wa uumbaji wa viumbe vyote. Huo ndio ujuzi ninaoujua.
Jibu la kusema "Mungu ndiye anayejua" pengine sio jibu sahihi kwako, lakini nakupa uelekeo wa kupata jibu la swali lako.
Kwenye post 1,367Upi?