Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Mkuu macho yako yako vizuri?
Dah...unahitaji 4115rpm kufikia 180km/h ukiwa kwenye gia hiyo hiyo.... Kitu ambacho si sahihi kwenye injini ya uwezo Chini ya 3000cc.... Kuna hitilafu kwenye cable ya spidi ya injini au ya gia boksi..... Au ubunifu mbovu wa injini....[emoji13]
 
kina premio tatizo ni transmission.. hata ikipewa turbo bado haiwezi ikamata.
kina premio tatizo ni transmission.. hata ikipewa turbo bado haiwezi ikamata.
kina premio tatizo ni transmission.. hata ikipewa turbo bado haiwezi ikamata.


kina premio zina gear box nzuri sana ratio yake na ukubwa wa tairi mfano ya 1.5L tu inaeza stay 125kph kwa 3000rpm au kwa econmy zaidi lighter foot kwenye mafuta pale just 1900rpm spidi 80 nzuri sana engine haizunguki kivile kwa spidi kubwa
 


unafika kwa baadh ya magari cha kufanya kadiria kutokana na nguvu yake je itafika ?? mfano una audi A4 diesel wenzako german wamekamua had mwsho na kule miundo mbinu mizuri lakn wameishia 230 na dash ina 260 afu ww uko bongo unataka ufike!? ?? cha kufanya chek weight ya gari plus nguvu husika utaweza jua inafika au haifiki l


yan una ki vw polo vina cc 1200 cylinder tatu kama za passo nguvu sawa na passo 65hp ila dash yake inaonesha 240 sasa si maajabu hayo kikitestiwa kikifika 165kph chali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] fujo nyiiingi basi ulikanyaga kibati sipati picha hiyo ruti.....!
 
Mnyama [emoji123]
 
Hizo speed lazima zifike vinginevyo tayari kunakuwa kuna shida kwenye gearbox au engine. So far tunanunua magari used ambayo tayari yameshapungua efficiency NOTE THAT ALSO
 
Uliamua kuwa mstaarabu nikupongeze pia kwa hilo. Spidi kubwa roho mkononi jamani.
 
Nipe maelezo kidogo mkuu, nijuavyo mimi speed ya 100km/h ni 100km/h kote koye haijalishi.. Sasa hapo iweje 260 iwe cha mtoto kwa 200!?
260 haiwezi kuwa cha mtoto kwa 200 labda hiyo 260 iwe ni gari ya diesel kwa kawaida zinachelewa kuchanganya hilo tu lakini vinginevyo ni ndoto za abunuasi
 
hivi mnapo sema wale wa desemba mnamaanisha nini...? wale wanosafiri sikukuu tu kama za mwisho wa mwaka xmas na mwaka mpya au?
 
Hizo speed lazima zifike vinginevyo tayari kunakuwa kuna shida kwenye gearbox au engine. So far tunanunua magari used ambayo tayari yameshapungua efficiency NOTE THAT ALSO
Mkuu ulichosema ni ukweli kabsaa kuna watu wana mahaba niue niteketeze na gar zenye top speed 180 yaani wanafikia hatua hata ya kusema eti hicho kicrown kinaweza kuishinda gari kama vw gti top speed 300 au european cars zenye top speed 200 plus tena zenye gear box ya dsg!!! au kwa mfano mitsubishi lancer evolution 10 huyo crown ashindane na akina brevis, camry, hao ndo size yake!! na hizo top speed 300 au 200 plus zinafikiwa walotengeneza hawawezi sema uwongo na wala hizo sio toys na hizo teknolojia sio shivo aka chinese!!!
 
Kak
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we nawe unachekesha!! Carina Ti ni cc 1480 (isomeke 1500) ulitaka ulale sambamba na Crown Athlete ya cc 2500 hadi 3500 kulingana na model na mwaka iliongenezwa! Utapasua engine bro!
Kaka najua Ti na crown ni vitu viwili tofauti ila niliamua kujaribu kibishana na crown niangalie ataniacha umbali gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…