Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Huwez fananisha gar ya mjerumani yoyote na crown au uchafu mwingne wa Toyota....

Kwa experience Yang mwez uliopita nlikua natoka Moshi nkafika same na VW TOURAGE naelekea dar dude la petrol nkaingia panone pale kuweka mafuta ikaja crown na yenyewe uelekeo dar tukajaza akaanza kuondoka tukafatana aisee hakutoboa hata sehem nkamkata alinikuta korogwe total pale nachimba dawa ikabid aje aichek mashine baada ya kutoka pale tena akafangulia nkamkata tena akanikuta msata chimba dawa.

Kuna mwana jf mwingine ana VW GOLF GTI.. alimsababishia Crown Ikarusha maji iyovi huk shaur ya kumfata mnyama gollf


Kimsing huwez fananisha mjerumani yoyote na uchafu Toyota....nasema uchafu wakat sina hata Passo
Hahahahaa
 

Attachments

  • _20180527_103406.JPG
    _20180527_103406.JPG
    35.8 KB · Views: 81
Huwa napenda kuangalia clip za madereva wakivunja record hivyo msinishangae nikisema sielewi mnachozungumzia hapa....gari gani hizo.
 
Kwani 130 ya carina ni tofauti na 130 ya crown?
Huwa tofauti ni kwenye take off speed!! Inachukua muda gani kuchanganya? Carina inachukua muda kidogo wakati Crown Kwasababu ni umeme ni pale pale tu ishachanganya......
 
Dereva wenu alikuwa mwoga sidhani kama voksiwagen anaweza kumuacha kabisa crown
ivi we unaijua voksiwagen

tuanze ligi kuanzia dsm - mwanza

nakuacha ufike morogoro,, alafu mi ndo naondoka hapa kibamba ccm, tna uhakika tutakula chakula pamoja pale singidani, baada ya hapo utanikuta nyegez lodge nimelala na shem wangu napga push up[emoji16]
 
Huwa tofauti ni kwenye take off speed!! Inachukua muda gani kuchanganya? Carina inachukua muda kidogo wakati Crown Kwasababu ni umeme ni pale pale tu ishachanganya......
Ahaaa..
 
Mkuu Brevis tunaiita Presidential Car na nilishawahi fanya ligi na Nissan Fuga dom-arusha. Huwa napenda safiri asubuhi sana hakuna trafiki, nikakutana nayo, iliniacha ikabidi nilipofika nimsimulie jamaa yangu akaniambia hata Crown nayo ni mbabe wetu!.
Lakini hivi vingine vi saloon Car havijawahi nipita kizembe!. Nasikia na Subaru Legacy nayo ni mziki mwingine, sijawahi kutana nayo njiani so siwezi ielezea kama kweli!.
Sasa mkuu ulikuwa unataka kufa au? Toka lini nisani na toyota vikafukuzana?
Hiyo Fuga habari yake sio nzuri kabisa, na usirudie tena kufukuzana na gari ya Nissan kama upo na Toyota labda uweumeizidi cc mf. ww uwe na gx100 ufukuzane na Nissan duet labda utashinda lakini sio una ki-vits chako upange ligi na duet lazima uambulie kusoma plate number tu.
 
Ila mimi huwa nacheck aina ya gari kama najua kabisa ina cc kubwa. Siangaiki na ligi ntapasua engine yangu bureee[emoji848]
 
Kuna kagari kamoja ka ujerumani niliwahi kufukuzana nako kanaitwa Mini cooper mimi nikiwa na vx v8 Land cruiser,kwa kweli kalinitoa jasho,kana pulling ya ajabu yaani ukikaacha mbali within a short time kameshanikuta,hatimaye nikakubali yaishe kakanipita kwa speed ya ajabu...
na hako ni cc1600 tu.
 
Nilikua namiliki vw touran cc 1900 speedometer inasoma 260 na ilikua inamaliza kisahani nikiamua.Japo sio mtaalam wa physics lakini naamini kuna sababu nyingi tu za kupinga theory

Gari za wajerumani zina tabia ya kuchanganya haraka sana may be kwa sababu hawatumii automatic gearbox za kawaida (vw group ambao wanamiliki Audi,Porsche, seat,Skoda gari zao zote wanatumi DSG transmission ). BMW,Benz pia in DSG au Zf transmission ambazo zipo mpaka za via 10.Toyota nyingi auto gia 5 mpaka 6 labda kama ni CVT.
unapaswa jua hiyo cc 1900 inatoa hp ngap kwa hiyo gari kuna maswala ya compresion ratio..one engine ikiwa na compresion ratio kubwa kuliko nyingne obvious itakuwa na pawa kubwa then cc sio kigezo sana kina audi A4 2.0 TDI zina 190hp ni kubwa kiliko most cruiser with 4.2L pamoja na kuwa imezidiwa 2200cc
 
Back
Top Bottom