myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sikulazimishi kuamini..bongo hiihii kuna mahali unafika 260km/h..Mkuu acha fix kwabarabara gani hizi hizi za kibongo traffic kila kona!!??? Speed 250 siyo mchezo.
Utachekwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikulazimishi kuamini..bongo hiihii kuna mahali unafika 260km/h..Mkuu acha fix kwabarabara gani hizi hizi za kibongo traffic kila kona!!??? Speed 250 siyo mchezo.
Huu mziki mwingine, Toyota sedans hawauwezi.Mmejaribu ligi na Nissan Fuga lakini!?.
Itakuwa tourage hiyo.Mi najua tu kuendesha siyajui sana magari ila ni ile iliyofanana umbo kama Niss
Mi najua tu kuendesha suyajui sana magari, kakini ni ile inayofanana na Nissan Murano kwa mbali
Mhhhhhhhhhhhhhhh kweli mambo ni motoooKuna kagari kamoja ka ujerumani niliwahi kufukuzana nako kanaitwa Mini cooper mimi nikiwa na vx v8 Land cruiser,kwa kweli kalinitoa jasho,kana pulling ya ajabu yaani ukikaacha mbali within a short time kameshanikuta,hatimaye nikakubali yaishe kakanipita kwa speed ya ajabu...
Tatizo lako umekuja kuleta ushabiki, ndio maana nilisema Benzi ilikua ya zamani na iyo BMW na Crown zote zilikua ziko kwenye hali nzuri zaidi ya iyo Benz..Hii stori yako kapige kwa waendesha guta na boda boda....nimetoka kuuza Crown Na. DLE Athlete kisa tu kudhalilishwa na W203 kompressor (Benz).
Gari ilinidhalilisha na Crown langu nikaamua kuuza ili ninunue Benz na mimi niwe mbabe barabarani.
Kwa kweli tangu ninunue Benz 203 hadi sasa sikumbuki ni lini nimewahi kudhalilishwa.
Mara ya mwisho nilitoka Arusha kuja Dar kwa masaa 5 tu na ilikuwa usiku.
Brevis anapigwa upepo na Fuga au Crown mkuu!.. Ila kibonde wake Progress!..Sasa kwa hiyo carina yako hata ungekutana na ist ungesanda tu sembuse hiyo crown babu?
Labda ungesema ulikuwa na verosa, macX, gx100/110, alterza halafu ukapitwa na crown sawa ningekuona hujui kukimbizana road
Sasa ungekutana na mnyama mwenyewe Brevis si ungeingia maporini kwa upepo wake mana ile gari ikikupiga inakupa kikumbo cha upepo kama gari kubwa.
Ni kweli IST kwa Uber ni funga kazi [emoji2]Funga kazi ni Toyota IST
Hadi wakaweka dashboard inayosoma 260 maana yake kila kitu kimewekwa Katika viwango vya kutosha.Naona wengi hapa twaongelea Dashboard inavyosoma. Ila uhalisia ni kuwa ili kumaliza dashboard yenye 260 inahitaji hiyo gari iwe na HP, cc, cylinders zakutosha.
Upo sahihi, Benz mbovu na kuu kuu inaweza kusubiri kwa Crown nzima na mpya....ngoja tuiweke hivyo to settle the matter downTatizo lako umekuja kuleta ushabiki, ndio maana nilisema Benzi ilikua ya zamani na iyo BMW na Crown zote zilikua ziko kwenye hali nzuri zaidi ya iyo Benz..
Mimi nimeeleza kilichotokea wala sikuweka ushabiki wowote maana binafsi sina uzoefu sana na magari japo route za mbali nasafirigi mara moja moja..
Kukimbia barabarani nadhani kuna vitu vingi vya kuangalia vikiwemo: uwezo wa dereva, ubora wa gari na uzoefu wa barabara..
Unaweza ukaendesha gari lenye uwezo mkubwa ila mkafika sawa na gari dogo..
Kama vile Imesimama.Kweli we ni mchokozi, umeipita Champion tuuuu
Naona wengi hapa twaongelea Dashboard inavyosoma. Ila uhalisia ni kuwa ili kumaliza dashboard yenye 260 inahitaji hiyo gari iwe na HP, cc, cylinders zakutosha.
Unajua gari kukimbia kuna vitu vingi sana,udereva,gari lenyewe likoje barabarani sasa kwa Subaru in nyepesi lakini crown no zito kwa hiyo hata stability yake no nzuri, maana kuna gari ukipita 120 zinaanza kuyumba.Jamani Subaru legacy b4 na crown yupi ana pulling kuliko mwenzake kwenye safari ndefu
Cc MANII
Crown majesta ni luxury-oriented, crown athlete ni sports-orientedFunga kazi ni Crown Majesta
Eminentia anaongelea technically issue za hizi gari na wengine mnaongelea experience ya uendeshaji.HAMY-D
kwa hiyo ww google ndo walikwmbia bmw ya cc1700 ikifunguka crown ikae pemben?? ha ha nimecheka sana kwa hiyo gari za kijapan hazifunguki