Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

HAMY-D
Bahati nzuri nimewahi kutembea na Crown na pia magari ya mjerumani kama Benz na BMW.

Kiukweli nilivyosoma komenti yako nimecheka sana kuona unavyojaribu kufananisha BMW na Crown. This is a total joke.

Yani kwa komenti yako hii, kama ni Wanyama, ni sawa na kumfananisha Cheetah na Pundamilia.

Hivi BMW ata iwe 3 series ya zamani 1700 cc ikifunguka Toyota Crown inabidi ukae pembeni.....hapa sijazungumzia BMW "M" Power.

Kama hujui kuhusu magari ni vyema uende google ukajifunze.

kwa hiyo ww google ndo walikwmbia bmw ya cc1700 ikifunguka crown ikae pemben?? ha ha nimecheka sana kwa hiyo gari za kijapan hazifunguki
 
Mwaka jana siku moja niko na rafiki zangu tunatokea Moshi kurudi Jijini tukawa tunaweka mafuta pale Total Korogwe zikaja gari 3 kwa muda ule ule kuweka mafuta..

Moja: ilikua ni Mercedes-Benz W203 ya zamani kidogo hii ilikua inaendeshwa na mzee flani ivi ila anaoneka bado kijana alikua na wanawake wa 3 kwenye gari..

Mbili: ilikua ni BMW 3 series hizi 6th generation hii ilikua ni gari ya ubalozi (plate ya kijani) walikua jamaa wawili weusi wamekula suti matata.. na gari ni mpyaa

Tatu ilikua Toyota Crown Athlete inaendeshwa na muhindi

Hawa wote tuliwaona maana pale kituo cha mafuta ni kawaida mtu ashuke kwenye gari kwa sababu mbalimbali ikiwa ni kwenda kujisaidia au kununua vitu vidovidogo vya kutumia njiani..

Sasa tulivyoona vile tukajua tu hapa lazima kutakuwa na ligi moja matata tukasema ngoja tufatane nao tushuhudie..

kitu ambacho ambacho kilitokea baada ya muda kama nusu saa yule jamaa wa BMW alipotea bila kuonekana tena (disappeared without a trace) nadhani ni kutokana na sababu kwamba hawajali tochi wala traffic police.. wakabaki Benzi na Crown.. jamaa wa Crown alikua anatii sana sheria za barabarini kwenye 50 anakubali jamaa wa Benz anampita ila tulivokuja kuingia porini Benz alikatwa tena kwenye kilima..

Kiukweli siku ile tulifuraia sana ile ligi ya wale jamaa.. Unaweza ukawa dereva wa hapa mjini ila ukiwa High-way unajifunza mambo mengi.. wale wa desemba nadhani wanaelewa nachosema..
Hii stori yako kapige kwa waendesha guta na boda boda....nimetoka kuuza Crown Na. DLE Athlete kisa tu kudhalilishwa na W203 kompressor (Benz).

Gari ilinidhalilisha na Crown langu nikaamua kuuza ili ninunue Benz na mimi niwe mbabe barabarani.

Kwa kweli tangu ninunue Benz 203 hadi sasa sikumbuki ni lini nimewahi kudhalilishwa.

Mara ya mwisho nilitoka Arusha kuja Dar kwa masaa 5 tu na ilikuwa usiku.
 
HAMY-D

kwa hiyo ww google ndo walikwmbia bmw ya cc1700 ikifunguka crown ikae pemben?? ha ha nimecheka sana kwa hiyo gari za kijapan hazifunguki
Naongea kwa experience. Ni aibu kufananisha mjapan na gari za Ulaya. Ni aibu mno.
 
Huwez fananisha gar ya mjerumani yoyote na crown au uchafu mwingne wa Toyota....

Kwa experience Yang mwez uliopita nlikua natoka Moshi nkafika same na VW TOURAGE naelekea dar dude la petrol nkaingia panone pale kuweka mafuta ikaja crown na yenyewe uelekeo dar tukajaza akaanza kuondoka tukafatana aisee hakutoboa hata sehem nkamkata alinikuta korogwe total pale nachimba dawa ikabid aje aichek mashine baada ya kutoka pale tena akafangulia nkamkata tena akanikuta msata chimba dawa.

Kuna mwana jf mwingine ana VW GOLF GTI.. alimsababishia Crown Ikarusha maji iyovi huk shaur ya kumfata mnyama gollf

Kimsing huwez fananisha mjerumani yoyote na uchafu Toyota....nasema uchafu wakat sina hata Passo
 
SOARES kwenye magari wewe utakuwa mgeni .....ukiwa na uelewa au uzoefu kidogo utagundua ni ngumu na haiwezekan gari la kwanzia ton 1.3 kuendelea la diesel 190hp kufika 260kph never on earth no matter how a car is geared thenni hivi gari zinatengenezwa na wanakuwa wanalenga masoko tofauti tofauti mfano japan wanalimit zao kwa nchi yao ndo mana most car ziko japan zina dash inasoma 180 jiulze kwann crown ama verosa yenye 1Jz gte na kina mark zenye engine hiyo wakati zinaweza futa 180 kwa sekunde pungufu ya 20 na zinaweza fika had 255+ mwsho sijui ngap lakn zina spid meter inasoma 180?? sababu zile ni spesho for JDM hamna haja ya kuweka dash 200+ wakat japan hawaruhusiwe fikisha hapo !!! hivo ukinunua nyingne kwa ajil ya masoko ya nchi zingne unaweza nunua crown hiyo hiyo but spid meter inasoma 240 ...

pia unapaswa uelewe kitu gari za germany ndo nyingi wanaweka spid meter kubwa sometime gari haufiki lakn hamna toyota isiyoweza fika spid ilioandikiwa kwenye dash sababu 180 constant gari za cc 1300 with 85-90 hp zinafika pia za 1500cc with 107-110hp mfano premio nk zenyewe had. 190 kabisa ...cha ajabu germany ki gari cha cc 1300 no turbo lkn kina dash inasoma 260 ...embu waza kwa sauti kinafikaje wakat kaka zake hawafiki ....??

we chukua hizo gari zenye ma spid makubwa kwa dash then mbele yako au nyuma yako iwe crown 4GR ha ha ha
Kwa kifupi unataka kusema Dash board ni danganya toto. Pili tukirudi kwenye Fizikia, speed ni Distance Over Time Taken, sasa hiyo dashborad ya danganya toto utawezaje kuepukana na tochi zetu? Maana itakuwa inasoma 30 kumbe upo 75, na siku hizi ni nyakuanyakua kwa wale yangeyange.
Kuhusu za Kijeremani, mi nimewahi kuona moja ikiwa inasoma 160 ilizipita V8 kama zimesimama vile na zilikuwa zinzwahi msafara. Hapo napo dashboard tunaisingizia. Kwa ytaratibu wa viwango vya kimataifa huwezi danganya kwenye dashboard.
 
Huwez fananisha gar ya mjerumani yoyote na crown au uchafu mwingne wa Toyota....

Kwa experience Yang mwez uliopita nlikua natoka Moshi nkafika same na VW TOURAGE naelekea dar dude la petrol nkaingia panone pale kuweka mafuta ikaja crown na yenyewe uelekeo dar tukajaza akaanza kuondoka tukafatana aisee hakutoboa hata sehem nkamkata alinikuta korogwe total pale nachimba dawa ikabid aje aichek mashine baada ya kutoka pale tena akafangulia nkamkata tena akanikuta msata chimba dawa.

Kuna mwana jf mwingine ana VW GOLF GTI.. alimsababishia Crown Ikarusha maji iyovi huk shaur ya kumfata mnyama gollf

Kimsing huwez fananisha mjerumani yoyote na uchafu Toyota....nasema uchafu wakat sina hata Passo

ni ujinga kuongea hivo kwan huyo jamaa uliemuacha alikwambia kakukimbiza

mbna my self nikiwa road sizid 90 kwa ajil ya mafuta na usalama wangu sasa huwa vi ist vinanipita kibao inamaana na hao wanajisifu ha ha
 
Mkuu alikua ananikimbiza Ila hakuweza kuiona mashine....
 
Kwa kifupi unataka kusema Dash board ni danganya toto. Pili tukirudi kwenye Fizikia, speed ni Distance Over Time Taken, sasa hiyo dashborad ya danganya toto utawezaje kuepukana na tochi zetu? Maana itakuwa inasoma 30 kumbe upo 75, na siku hizi ni nyakuanyakua kwa wale yangeyange.
Kuhusu za Kijeremani, mi nimewahi kuona moja ikiwa inasoma 160 ilizipita V8 kama zimesimama vile na zilikuwa zinzwahi msafara. Hapo napo dashboard tunaisingizia. Kwa ytaratibu wa viwango vya kimataifa huwezi danganya kwenye dashboard.
namaanisha mshale haufiki pale sijasema ikiwa 80 ni 30 mimi ......germany kule kwenye zile njia za autobhan hakuna spid limit kule unafunguka unavotaka miundo mbinu mizuri but hizo gari mostly hazifiki hiyo speed mfano gari ya 190hp mwisho 235hivi lkn gari inakuja na dash inasoma 280 wakat hata aje nan haifiki ndo hivo namaanisha
 
Kuna kagari kamoja ka ujerumani niliwahi kufukuzana nako kanaitwa Mini cooper mimi nikiwa na vx v8 Land cruiser,kwa kweli kalinitoa jasho,kana pulling ya ajabu yaani ukikaacha mbali within a short time kameshanikuta,hatimaye nikakubali yaishe kakanipita kwa speed ya ajabu...
Itakuwa alikuzidi on the road driving techniques. Wewe ilikuwa unaburuza speed ngapi?
 
Dah....ajabu sana...3200rpm
kisha 140km/h....kuna tatizo
mahali....@rohombaya

ww kibovu unaona ni nini yani speed ndogo sana ukimatch ya rpm au spid kubwa sana
Labda alitaka rpm iwe kwenye 1000
 
Wengi mmeongea kwa hisia tu!Kiukweli kwa barabara zetu huwezi kukimbia zaidi ya kasi ya km 140/saa.Na hapo gari yako inatakiwa iwe katikati ya barabara na huo mwendo hauzidi umbali wa km 15.
Na ni barabara zifuatazokutoka DSM.

Barabara ya Morogoro
Ni kuanzia Chalinze kuitafuta bwawani,hapa unaweza kuona mbele kwa umbali wa km 15 na zaidi pamenyooka sana.

Barabara ya Morogoro -Iringa
Hapa ni kuanzia Sangasanga(njia panda ya kwenda Mzumbe university) kuitafuta kijiji cha doma(kabla hujaingia hifadhi ya mikumi)
na sehemu nyingine ni kuanzia Ruaha mbuyuni(Al Jazira hotel) kuelekea kijiji kimoja kinaitwa mahenge.
Iringa -Mbeya(TANZAM road)
Hapa ni igurusi

Morogoro -Dodoma
Hapa ni kuanzia Kibaigwa kuelekea Dodoma.

Dodoma - Singida
Hapa ni kuanzia manyoni,na ndio sehemu ya pekee kulikuwa na kibao kinachorohusu km100/saa miaka ya nyuma.

Dodoma - Iringa
Hapa unaanzia sehemu moja inaitwa chipogola hadi makatapora (Mpwapwa)

Babati- Arusha
Hapa ni kuanzia Babati hadi Magugu.
Same - moshi(Kilimanjaro)
Hapa ni same na pana upepo mkali sana.
Kaka gari kama crown unapishana na hata semitrailer kwa mwendo huo haliyumbi.
 
Mkuu alikua ananikimbiza Ila hakuweza kuiona mashine....
hiyo ww ndo umesema huna uhakika hata mm nilikuwaga mwana sport mzuri sana na roadbike yangu sasa kuna siku nikakutana na mtu ananisalimia kama ananijua ndo akanambia huwa tunachuanaga sana road mi hata simjui kumbe nikitokaga kitaa napanda town na yy muda mwngi anaenda town kwa hiyo ananikimbizaga sana afu mm niko normal kumbe kuna watu wananiwindaga
 
namaanisha mshale haufiki pale sijasema ikiwa 80 ni 30 mimi ......germany kule kwenye zile njia za autobhan hakuna spid limit kule unafunguka unavotaka miundo mbinu mizuri but hizo gari mostly hazifiki hiyo speed mfano gari ya 190hp mwisho 235hivi lkn gari inakuja na dash inasoma 280 wakat hata aje nan haifiki ndo hivo namaanisha
Hapo sawa.
 
Kaka gari kama crown unapishana na hata semitrailer kwa mwendo huo haliyumbi.
Baeleze kabisa, hizi hizi barabara zetu watu wanavuta hadi 200 we unasema Chalinze tuu, tembea ujionee. kwenye 50 tunabana hivyohivyo ngoja tuvuke
 
Nilikuwa nakwenda mpaka 160 km/h,ila ile gari naiheshimu sana inaonyesha engine yake ni kubwa..
 
Naona raia mnadanganyana tu ooh 250,oh nilienda mpaka 160ara siju 235,hahah ngoja kwanza nipate kahawa nitarud
 
Nilifikiri ulikuwa unaendesha BMW au benz sedans, au hata mark x, Carina T.I kimbizana na passo au vitz.
 
Back
Top Bottom