SOARES kwenye magari wewe utakuwa mgeni .....ukiwa na uelewa au uzoefu kidogo utagundua ni ngumu na haiwezekan gari la kwanzia ton 1.3 kuendelea la diesel 190hp kufika 260kph never on earth no matter how a car is geared thenni hivi gari zinatengenezwa na wanakuwa wanalenga masoko tofauti tofauti mfano japan wanalimit zao kwa nchi yao ndo mana most car ziko japan zina dash inasoma 180 jiulze kwann crown ama verosa yenye 1Jz gte na kina mark zenye engine hiyo wakati zinaweza futa 180 kwa sekunde pungufu ya 20 na zinaweza fika had 255+ mwsho sijui ngap lakn zina spid meter inasoma 180?? sababu zile ni spesho for JDM hamna haja ya kuweka dash 200+ wakat japan hawaruhusiwe fikisha hapo !!! hivo ukinunua nyingne kwa ajil ya masoko ya nchi zingne unaweza nunua crown hiyo hiyo but spid meter inasoma 240 ...
pia unapaswa uelewe kitu gari za germany ndo nyingi wanaweka spid meter kubwa sometime gari haufiki lakn hamna toyota isiyoweza fika spid ilioandikiwa kwenye dash sababu 180 constant gari za cc 1300 with 85-90 hp zinafika pia za 1500cc with 107-110hp mfano premio nk zenyewe had. 190 kabisa ...cha ajabu germany ki gari cha cc 1300 no turbo lkn kina dash inasoma 260 ...embu waza kwa sauti kinafikaje wakat kaka zake hawafiki ....??
we chukua hizo gari zenye ma spid makubwa kwa dash then mbele yako au nyuma yako iwe crown 4GR ha ha ha