SOARES
Senior Member
- Jul 6, 2007
- 146
- 56
Toka nje ya mji uone wenzio wanavyokurua hizo 150 mpaka 200. Ukiwa ni mwendeshaji wa mjini tu unapitwa na mengiHizi speed za hapa hapa nchini kwenye speed 50 au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka nje ya mji uone wenzio wanavyokurua hizo 150 mpaka 200. Ukiwa ni mwendeshaji wa mjini tu unapitwa na mengiHizi speed za hapa hapa nchini kwenye speed 50 au?
Kweli we ni mchokozi, umeipita Champion tuuuuPasso nayo ikipata Dereva mzuri inakula mbio, Nakumbuka 2014 tuliitumia toka Dodoma Mbele yetu lilikuwepo basi la Champion tulilipita kwa spidi mithili ya Kimondo.
Passo Mnyamaaaaaaaa!
Ila mimi Mchokozi sana.
"Aliyekuja na guta aje alitoe", haaa haaaa, kama Ist ni hivyo, huyu wala hata hahitajiki kujulikana kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi najua tu kuendesha siyajui sana magari ila ni ile iliyofanana umbo kama Niss
Mi najua tu kuendesha suyajui sana magari, kakini ni ile inayofanana na Nissan Murano kwa mbali
Ama kweli napitwa na mengi.Toka nje ya mji uone wenzio wanavyokurua hizo 150 mpaka 200. Ukiwa ni mwendeshaji wa mjini tu unapitwa na mengi
nan alikwambia ma prado yanakimbia ?? tena unasema diesel kabisa ha ha ha em nitajie prado inaoeza fata brevis popote zaid ya rafu road !!!! v8 enyew la diesel ile engine ndogo sana 267hp kwa mgari wote ule ...kifupi kwa hp hizo ni wazi gari ya petrol sedan ya kawaida ilio na hata hp 200 tu haifatwi na hiyo v8 sembuse crown 4GR yenye 256niambieni na hii gari yetu landcruiser prado SKZ ENGINE DIESEL, alafu ni TURBO, niliifungua speed 140 hadi gari inapiga mluzi, na tyre zikitanuka kwenda nje,, nilivipita visubaru na vialtezza, kama napita baiskeli tu. sijui hiyo athlete crown kama ingenikamata kwa kweli.
nyie watu wa hivi siwaelewagi unamaanisha range ipi maana ziko 2.7TDV6 ,3.0TDV6 na 4.4SDV8 kwa upande wa diesel kwa hizi sport na petrol pia engine kadhaa sasa ww unamaanisha ipi ...maana ukisema range inamaana had hako cha cc2700 na hp zake 190 uipite crown?? bora na hiyo 4.4SDV8 339Hp inajitahd inaweza futa sahan ya 200 kwa sekunde 23Crown gari stable ila haina mbio,ukiwa na rangerover na unatembea,hiyo crown haitaona umepita wapi,vw bmw,benz,audi, hizo ndio gari,hiyo ingine ni jaguar sasa amua mwenyeweView attachment 783972View attachment 783976
Iyo Crown ni Toyota, Nissan au Audi au VolkswagenSiku moja tukiwa na hiyo Crown tulitaka ligi na Voksiwagen tulikuwa tunaenda Arusha ilitupita Mkata wala hatukuwahi kuiona had Ieo
VW speed 260 ndio nini?Mkuu VW speed ni 260 wakati crown ni 180 ebu acha basi utani
Magari mabovu hayo. Unajua speed ya gari kwa kusikilizia upepo na sio Dash BoardDah....ajabu sana...3200rpm kisha 140km/h....kuna tatizo mahali....
Inamaana wewe unajua zaidi ya wajerumani [Bavarian]MANI hizo speed sijui 260 usidhan kila gari yenye dash hiyo inafika wala usije ukanunua gari yenye ma speed hivo ukaacha jini crown utakuwa unajidanganya .....magari ya germany ndo yalivyo jiulize Audi A4 diesel hp 190 inakuwaje na dash inasoma 260 wakat gari ya uwezo huo au hiyo audi enyewe mwsho 230 imejitahd sana tena kwanzia spid 210 mshale unapanda taratibu had inakwamia hapo lakn ma spid ndo hayo wameweka 260 na ww ukiwa hujielewi unaweza sema inaweza fata crown ha ha ha same thng kwa bmw ya hp 190 diesel pia wameweka had 280 wakat real spd inacheza na 220-235
kila mbabe ana mbabe mwezieSiku moja tukiwa na hiyo Crown tulitaka ligi na Voksiwagen tulikuwa tunaenda Arusha ilitupita Mkata wala hatukuwahi kuiona had Ieo
Mkuu nilikuwa sijui lolote kuhusu hizi crown asante kwa kunipa elimu....vipi kuhusu crown majesta? nalo ni sports car?pureView Zeiss althelete ni new model ya wap ?? hizo zote zinatoka pamoja hizo maneno nyuma ya crown ni trim zake althelete ni sport version ya crown hivo ukiwa nayo jua una gari sport kulko crown zngne ..pia royal for luxury hivo jua ukiwa nalo unakuwa na gari ni luxury kuliko mengne mfano kuna royal zina siti nne tu nk
Kaka maisha yetu ya kuungaunga acha niseti mipango mdogomdogo alafu Ti yangu ni namba C bado lipo vizurimkuu niuzie hiyo carina TI ujichange upate hiyo crown