Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Aisee hayo madude yana mtindo wa ku burst tyre zake. Kuwa makini kuna case kibao watu wamekufa.
baba niliweka kitu cha spot, na tyre kutoka nje ni style yake hiyo gari ukiwa speed sana inatoa tyre nje ili iwe stable, na kupiga mluzi ni turbo imefunguka barabara,, achana na hiyo kitu kama huwezi endesha magari makubwa.
 
Aisee hayo madude yana mtindo wa ku burst tyre zake. Kuwa makini kuna case kibao watu wamekufa.
pia ni 6cylinder kumbuka,, na turbo juu,, kama ungekua na kibanda chako pembeni ya barabara ningekiangusha kwa upepo. ila mbwembwe zote zile kwa sababu nilipakia askari wakubwa wenye vyeo ndo mana sikuogopa torch, kila nikishikwa majamaa wanapunga mkono tu baaasi. safari inaendelea.
 
Funga kazi ni Crown Majesta
Hii ndio balaa kabisa
BF611747_06ccf4.jpg
 
Sikuwai Kusafiri safari ya mbali basi bwana nikapata safari ya kwenda mkoa(bukoba),nikamchukua Sista na mshikaji wangu Mmoja hivi, saa kumi alfajiri nikaanza safari,njiani baada ya kibaha,kikajitokeza hicho kicrown bwana,tulihangaishana kinatembea hatari, uzuri asubuhi kunakua hakuna magari mengi,mwisho wa siku Jamaa alinipigia honi kukubali yaishe nikampungia mkono sikuwai kumuona tena..nilikua naendesha harrier(Lexus 300) 6 cylinder..
 
Back
Top Bottom