Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
mhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss amini usiamini hizi gari ndogo (toyota) karibia zote hakuna wa kufanya batle na Brevis ikashinda labda ujuzi wa dereva lakini sio acceleration yake, ile gari ione vilevile lakini moto wake ni balaa.Brevis anapigwa upepo na Fuga au Crown mkuu!.. Ila kibonde wake Progress!..
Kwa macho na mikono yangu nilizidiwa na Fugga lakini nikasikia hata Crown ni mbabe wa Brevis, ila hivyo vingine nitavisoma kwenye side mirrors tu!..
Kuna jamaa anauza Corolla Sprinter manual na C....duuh tena natafuta C hiyo hiyo..!!
Mimi ni dereva nimeendesha kuanzia trucks na magari ya mashindano(safari rally)najua nilisemalo!Huwezi kukimbia na gari ukawa katika lane yako bila kukaa katikati na mwendo huo(km140/saa) na hesabu za haraka iwe kusimama au kupishana ni kuanzia mita 500 mbele.Kaka gari kama crown unapishana na hata semitrailer kwa mwendo huo haliyumbi.
Moyo upo kwa ka carina Ti sijui kwanini!!Kuna jamaa anauza Corolla Sprinter manual na C....
Mkuu Brevis tunaiita Presidential Car na nilishawahi fanya ligi na Nissan Fuga dom-arusha. Huwa napenda safiri asubuhi sana hakuna trafiki, nikakutana nayo, iliniacha ikabidi nilipofika nimsimulie jamaa yangu akaniambia hata Crown nayo ni mbabe wetu!.Boss amini usiamini hizi gari ndogo (toyota) karibia zote hakuna wa kufanya batle na Brevis ikashinda labda ujuzi wa dereva lakini sio acceleration yake, ile gari ione vilevile lakini moto wake ni balaa.
Wenyewe tunaiita King of the road, unafikiri tumekurupuka na jina bila ushahidi?
Sasa mkuu wewe na Eminentia mnataka kusema kuwa waloweka speed kwa mfano 300 kwa vw golf gti ni waongo? labda mseme tu kuwa ili kufuta sahani au kukamua full kunategemea na hali ya gari, umahiri na ujasiri wa dreva na ubora wa barabara but ni siamini kabsaaa kusema eti top speed za magari huwa zimewekwa tu na haiwezekani kuzifikia. Kwa sababu ikiwa hivyo ndo kusema ati waunda magari ni waongo na wamecalibrate poorly hizo dash board.Eminentia anaongelea technically issue za hizi gari na wengine mnaongelea experience ya uendeshaji.
Sio kila speed itayo onekana kwenye dashboard kufikiwa, kuna vitu kama hp ya gari ni moja ya vitu vinavyo sababisha kuweza kufikiwa au kutofikiwa.
Nissan Fuga, Gloria, Teana, Cefiro na Cedric ni balaa jingine toka Japan.Mmejaribu ligi na Nissan Fuga lakini!?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku moja tukiwa na hiyo Crown tulitaka ligi na Voksiwagen tulikuwa tunaenda Arusha ilitupita Mkata wala hatukuwahi kuiona had Ieo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we nawe unachekesha!! Carina Ti ni cc 1480 (isomeke 1500) ulitaka ulale sambamba na Crown Athlete ya cc 2500 hadi 3500 kulingana na model na mwaka iliongenezwa! Utapasua engine bro!Moja ya gari ambalo ni noma barabarani basi ni hili ndinga,nakumbuka jana nikiwa natokea maeneo ya RUFIJI kuja DAR ilinipa hii gari kama nimesimama
Nikiwa kwenye mwendo wa speed 100 sehemu yenye mwinuko kidogo huku nikijiona mimi ni bingwa barabarani niliiona gari likija kwa nyuma yangu kwa kasi sana ilikuwa kama mita 130 nyuma yangu basi nikasema haiwezekani nikapitwa kijinga kiasi hicho nikachochea moto nikafikisha speed 125 hivi.....sasa nilichokuja kunishangaza ni namna yule jamaa wa crown alivyokuwa anaomba site apite yaani ilikuwa ni kitendo cha dk 6 ile gari ilinipita na sikuiona tena.
Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuendesha CARINA Ti lakini niliambulia patupu
Hizi crown ni gari za safari ingawa inameza mafuta kama jini ila ni chombo cha maana nami namuomba mungu huku nikijichanga nichukue hii ndinga
Hongereni wote mnaoendesha athletes crown au mnaomiliki hii ndinga hakika hamjakosea
Magari ya chini ndio yana stability sana njiani ukiwa muziki mnene kuliko SUV kama Toyota Landcruiser hardtop ama benz ML seriesWazee wa league nawaona tu.. Mbona magari yenyewe yapo chini sana, Mnapata wapi ujasiri wa kutembea speed zote hizo
Wamezoea kuendesha baby walker (ist, spacio, vitz na starlet) mijini na foleni, akikimbia sana ni 60 kph. Kwa hio hizi stori za 170 kph ni ngeni kwao. Wahurumie tuWaendesha vi baby walker naona comment zao ni kutaja kaburi,sasa walio weka odometer za speed hizo hawajui kuwa kuna kifo au ndo zile za "wivu wa kike" [emoji12]
Ni VW Touareg hio. Ina 220 kph ile.Mi najua tu kuendesha siyajui sana magari ila ni ile iliyofanana umbo kama Niss
Mi najua tu kuendesha suyajui sana magari, kakini ni ile inayofanana na Nissan Murano kwa mbali
Nilikua namiliki vw touran cc 1900 speedometer inasoma 260 na ilikua inamaliza kisahani nikiamua.Japo sio mtaalam wa physics lakini naamini kuna sababu nyingi tu za kupinga theorySOARES kwenye magari wewe utakuwa mgeni .....ukiwa na uelewa au uzoefu kidogo utagundua ni ngumu na haiwezekan gari la kwanzia ton 1.3 kuendelea la diesel 190hp kufika 260kph never on earth no matter how a car is geared thenni hivi gari zinatengenezwa na wanakuwa wanalenga masoko tofauti tofauti mfano japan wanalimit zao kwa nchi yao ndo mana most car ziko japan zina dash inasoma 180 jiulze kwann crown ama verosa yenye 1Jz gte na kina mark zenye engine hiyo wakati zinaweza futa 180 kwa sekunde pungufu ya 20 na zinaweza fika had 255+ mwsho sijui ngap lakn zina spid meter inasoma 180?? sababu zile ni spesho for JDM hamna haja ya kuweka dash 200+ wakat japan hawaruhusiwe fikisha hapo !!! hivo ukinunua nyingne kwa ajil ya masoko ya nchi zingne unaweza nunua crown hiyo hiyo but spid meter inasoma 240 ...
pia unapaswa uelewe kitu gari za germany ndo nyingi wanaweka spid meter kubwa sometime gari haufiki lakn hamna toyota isiyoweza fika spid ilioandikiwa kwenye dash sababu 180 constant gari za cc 1300 with 85-90 hp zinafika pia za 1500cc with 107-110hp mfano premio nk zenyewe had. 190 kabisa ...cha ajabu germany ki gari cha cc 1300 no turbo lkn kina dash inasoma 260 ...embu waza kwa sauti kinafikaje wakat kaka zake hawafiki ....??
we chukua hizo gari zenye ma spid makubwa kwa dash then mbele yako au nyuma yako iwe crown 4GR ha ha ha
Hii stori yako kapige kwa waendesha guta na boda boda....nimetoka kuuza Crown Na. DLE Athlete kisa tu kudhalilishwa na W203 kompressor (Benz).
Gari ilinidhalilisha na Crown langu nikaamua kuuza ili ninunue Benz na mimi niwe mbabe barabarani.
Kwa kweli tangu ninunue Benz 203 hadi sasa sikumbuki ni lini nimewahi kudhalilishwa.
Mara ya mwisho nilitoka Arusha kuja Dar kwa masaa 5 tu na ilikuwa usiku.
Kwani 130 ya carina ni tofauti na 130 ya crown?carina na crown wapi na wapi. carina mwenzie paso na vits tu. crown na mark x na brevis au aud au benz au bmd apo sawa.
na carina? yerewiiiii
Tofaut sana. Ili kupa 130 karina inaweza kuchukua mita 120. wakati crown inaweza kuchukua mita 80Kwani 130 ya carina ni tofauti na 130 ya crown?
Kuna jamaa alikua na crown deluxe alinipita milima ya udzungwa natoka Moro to Iringa, Niko kibati 130 na jamaa sikumuona tenaaaa... Yani ni shida hizi Gari..Moja ya gari ambalo ni noma barabarani basi ni hili ndinga,nakumbuka jana nikiwa natokea maeneo ya RUFIJI kuja DAR ilinipa hii gari kama nimesimama
Nikiwa kwenye mwendo wa speed 100 sehemu yenye mwinuko kidogo huku nikijiona mimi ni bingwa barabarani niliiona gari likija kwa nyuma yangu kwa kasi sana ilikuwa kama mita 130 nyuma yangu basi nikasema haiwezekani nikapitwa kijinga kiasi hicho nikachochea moto nikafikisha speed 125 hivi.....sasa nilichokuja kunishangaza ni namna yule jamaa wa crown alivyokuwa anaomba site apite yaani ilikuwa ni kitendo cha dk 6 ile gari ilinipita na sikuiona tena.
Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuendesha CARINA Ti lakini niliambulia patupu
Hizi crown ni gari za safari ingawa inameza mafuta kama jini ila ni chombo cha maana nami namuomba mungu huku nikijichanga nichukue hii ndinga
Hongereni wote mnaoendesha athletes crown au mnaomiliki hii ndinga hakika hamjakosea